Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

Status
Not open for further replies.
Zanaki
mimi nimeuliza swali nani zaidi?
sikusema kuwa Chifupa ni zaidi ya Mbowe, nimeuliza swali nataka majibu yenu.

Unadanganya watu humu kuwa Mbowe kapata uenyekiti kwa juhudi zake, jee hujui kama Mtei ni baba mkwe wake? na ndiye aliyemrithisha hicho kiti?
unasema tuwe constructive halafu unaleta story za Mume wa Chifupa na mkwa wa pili. jee zinahusu nini hapa?
habari ya akina Nchimbi au komba haina nafasi hapa. je nilete za mke wa mbowe?ni file zima.

lakini kwa vile hapa tunajadili watu wanaotuongoza sioni haja ya kwenda hadi kwenye familia zao kama ufanyavyo wewe Zanaki!

usilete uongo mtu apewe helkopter na atie mafuta tu? basi rudisheni pesa mlizochukua conservative?

wewe unasema mmetia mafuta tu, huko juu chadema mwenzio Eric, anasema zimetumia milioni mia nane.
tumuamini nani?
 
Chinga,

Nimeuliza Amina Chifupa Mpakanjia Mh (Mb) amefika Form six?, Ukimaliza shule si unapewa cheti?, naomba unijibu na wewe maana facts zako nyingi hazina ukweli.

Naomba ukweli kabla sijaanza kuwasaidia hawa jamaa wa Chadema kujibu maana mengi unapotosha, machache yana ukweli.

FD
 
Fikiraduni
usiwe na presha,
Amina CHIFUPA kamaliza kidato cha sita au form six, Makongo High school ipo mwenge Dar.
na ukitaka kujua zaidi muulize mwalimu wake mkuu kanali Iddi Kipingu.
maswali zaidi?
 
Chinga,naona kwenye masuala ya kuongelea familia una utaalam nayo...haya mimi naomba msamaha kwa kuji-contradict kinamna.

Hilo la helikopta bro utapata jibu humuhumu usiwe na presha. Maana naona una exclamation marks nyingi meaning ulikuwa unagomba.

Chill bro, kama una file la mkewe Mbowe hayo ni yako, maana i dont see why u shud have that,unless wewe ni doctor,au usalama wa taifa,au polisi,otherwise sioni why it shud be of any interest to u,or anybody here.

Again, i know i have contradicted myself and for that i apologise.Lakini usiniite mimi muongo coz i dont know u and, likewise u,me...You have ur facts and i have mine.

Let our arguments be based on that,sio wewe kuniita mimi muongo au mimi kukuita wewe muongo.This is just a forum bro,not a boxing ring.
 
Fikiraduni
usiwe na presha,
Amina CHIFUPA kamaliza kidato cha sita au form six, Makongo High school ipo mwenge Dar.
na ukitaka kujua zaidi muulize mwalimu wake mkuu kanali Iddi Kipingu.
maswali zaidi?

Chinga,

Najua hukujiunga kwa hiari. ni kwasababu ya yule kijana uliyoponaye ofisini aliyekuambia uje ku-counter attack mbowe humu ndani.

Brother, najua una kazi nzuri, mke na watoto wazuri.. iweje ukubali kutumwa na mwanaume mwenzako na wewe ukafuata?

Mimi jina lako ninalo. picha nitaiweka soon. kwani mnyika na mbowe tayari nime-watumia katika private. na mnyika kanijibu kwamba ameiona na kwamba anakujua.

kwahiyo bro. file like na sisi tunalo hapa. tunaomba kama umekuja huku kwasababu umetumwa ufunge mdogo wako.

waacha kutuaribia forum yetu. kwasababu hii ndio intension yako
 
Chinga!
Nadhani haujaelewa swali la Fikiraduni. Ukimaliza form 6 unapewa leaving certificate bila kokolo yoyote. Sasa kimbembe kinakuja kwenye cheti cha baraza, ukizungusha (div 0) unatoka mikono mitupu. Sasa kama sikosei hicho ndio Fikiraduni anakiulizia.
 
Chiga

Kabla ya kuanza kujibu hoja kwa hoja, naomba ufanye yafuatayo

1. Tuletee hiyo proposal ya CHADEMA ya kudai pound milioni moja na uthibitisho kuwa walipewa. Simple and clear

2. Pia tupatie vielelezo vya pesa ya republican waliyopewa.

3. Je una uhakika gani kuwa Mbowe anasomeshwa na CHADEMA. Nani kakuambia Katiba ya CHADEMA inasema pesa za CHAMA zitumike kusomesha viongozi wa chama.

Ukishajibu haya nadhani nitakujibu hoja kwa hoja la sivyo hutakuwa na tofauti na mmojawapo wa wajumbe kwenye kitabu cha KUSADIKIKA.
 
Najua hukujiunga kwa hiari. ni kwasababu ya yule kijana uliyoponaye ofisini aliyekuambia uje ku-counter attack mbowe humu ndani.

Brother, najua una kazi nzuri, mke na watoto wazuri.. iweje ukubali kutumwa na mwanaume mwenzako na wewe ukafuata?

Mimi jina lako ninalo. picha nitaiweka soon. kwani mnyika na mbowe tayari nime-watumia katika private. na mnyika kanijibu kwamba ameiona na kwamba anakujua.

kwahiyo bro. file like na sisi tunalo hapa. tunaomba kama umekuja huku kwasababu umetumwa ufunge mdogo wako.

waacha kutuaribia forum yetu. kwasababu hii ndio intension yako



Nyanza – Wewe nani kakutuma tuambia bila kuficha hapa forum?

Je, hii forum ni ya CHADEMA?

Unao wadhifa gani ndani ya chadema?


Nadhani haujaelewa swali la Fikiraduni. Ukimaliza form 6 unapewa leaving certificate bila kokolo yoyote. Sasa kimbembe kinakuja kwenye cheti cha baraza, ukizungusha (div 0) unatoka mikono mitupu. Sasa kama sikosei hicho ndio Fikiraduni anakiulizia.


mTz

Chifupa CV yake ni ile iliyo kwenye website ya Bunge - Je, ni huyu ambaye ni kati ya wabunge walio-forge vyeti?


Do you think this ex- form VI (Mbowe) can lead Bongo? Be serious? Sitaki uswahili hapa?



Chiga

Kabla ya kuanza kujibu hoja kwa hoja, naomba ufanye yafuatayo

1. Tuletee hiyo proposal ya CHADEMA ya kudai pound milioni moja na uthibitisho kuwa walipewa. Simple and clear

2. Pia tupatie vielelezo vya pesa ya republican waliyopewa.

3. Je una uhakika gani kuwa Mbowe anasomeshwa na CHADEMA. Nani kakuambia Katiba ya CHADEMA inasema pesa za CHAMA zitumike kusomesha viongozi wa chama.

Ukishajibu haya nadhani nitakujibu hoja kwa hoja la sivyo hutakuwa na tofauti na mmojawapo wa wajumbe kwenye kitabu cha KUSADIKIKA.


Aljazeera

Watanzania wote tunafahamu mlipata fedha kutoka Conservative na Republicans kule Marekani – Chinga hagombei cheo chochote kule Tanzania ni Mbowe na Chadema, nyinyi ndio toweni figure ili kuwa clean kama mnafichaficha hivi mtakuwa kama CCM.

Come out tell the truth you will be free. Answer genuine questions asked by Chinga; don't try to intimidate anybody.


To all other contributors who condemn Chinga

Can you tell us precisely if this is CHADEMA forum?
 
Jasusi

This is forum, are you a spokesman for Chadema? Are you wanamtandao yourself or CCM? tell us!

Or else answer questions genuine asked?
 
Nyanza
Mie niko humu kabla ya Mbowetizama michango yangu, na Mwenyekiti wako kaingia humu december so far ana posts 2 tu.

kama counter Attack atakuwa anafanya mwenyekiti wako.

weka picha yangu na hata toa roho yangu, niko radhi kufa lakini kuona ukweli unazungumzwa, jee huo uhuru wa kweli mnaodai uko chadema unatumia vipi? ikiwa sasa mnanifuta chama kizima kupambana na mimi. kisa natoa ukweli, naona ingekuwa busara hata jina la chama chenu mngebadilisha na kuwa chama cha kidikteta.

Mheshimiwa mrema anajadiliwa kila kona lakini nimegundua ana demokrasia zaidi kuliko nyinyi.

Ningekuwa naongopa hapo ningeogopa. mithali nasema kweli kwa faida ya Taifa langu basi peleke Private messege hadi kwa Mtei na Ndesamburo nao wananijua.

Nyanza unanitisha? mbona kuna ubabe kiasi hicho chadema?

akina mwanasiasa kila siku wanakosowa watu humu, lakini hawajawahi kupewa vitisho, hiyo waone wenzao walivyo na demokrasia.

mimi sitishwi na vitimbi vyetu,jibuni hoja kama mnaweza? au mlitaka kutumia hii forum kwa malengo yenu?

kuna mwanachama wa chadema anasema hakuna fungu la kusomesha viongozi.
mie sishangai kwani ni chama cha wajinga.
 
Nyanza
nilisahau aliyenituma humu ni mwana chadema mwenzeo Philimon mikael, aliniasa nifungue thread yangu, kuliko kudowea ile ya chadema-Tamko.

Nimetekeleza toka juzi.pia niwemeka hiyo kauli yake.
 
Nyanza
nani kakutuma? nimeona una posts 3 tu, umemzidi mwenyekiti wako kwa one post, mwanzo mzuri.
 
Duh!

Yaani hii thread imefika page ya sita ... mostly ni personal attacks, mikwara, vitisho na side issues. Maswali ya chinga hayaguswi.

Anyway... probably maswali yanahitaji kikao na tamko rasmi la chama.
 
Kulikoni.

usishangae hivyo vitisho vyao, just imagine hata Ikulu hawajaingia ubabe kiasi hiki na demokrasia ya kuhoji haipo kabisa. Ndio maana akina Mnyika walikuwa wanalazimishwa kuvaa maguo ya mgambo huku miili yao haifani na ile sare, lakini uwezo wa kuhoji haupo kwenye chama.

kweli litakoka Tamko soon la kupambana na Chinga. hiyo hainitishi kafa Katabalo nini Chinga?
nadhani wakiingia madarakani magazeti na TV zote zitafutwa. tukakuwa tunasoma Tanzania Daima tu.
Al-jazeera.
acha kuweweseka mie sio jina langu Chiga ni Chinga.
 
Hukisikia mtu mzima kaangukia mdomo na pua ndo huku kulia na kucheka vyote vinajichanganya... yaani kulia unataka, kucheka unataka... upo kati kati.

Jibuni maswali ya Chinga au ndo yanafanyiwa kazi...!!?
 
mTz, Thanks umeelewa swali, mimi kujiandikisha kufanya mitihani ya Form six na kuhudhuria vipindi hakunifanyi mi i kumaliza form six.

Chinga, Ingawaje sikubaliani na akina Nyanza na wengineo wanaokutisha, lakini nina walakini na data zako. Kama unaangalia tovuti na kutuletea data hapa, ndugu yangu kaa pembeni, sisi sio watu wa aina hiyo. Tupo makini kuliko kawaida. Bado ninasema Amina Chifupa sio Form six, kwasababu hana cheti cha baraza la mitihani Tanzania. Umemkosea Mbowe hilo kumlinganisha na form four, naomba muombe msamaha kwa hilo nami nitakuheshimu.

Kuhusu wanaokutishia, hapo ndio na geuka na kuwa upande wako, Why?, niliwapa mbinu rafiki zangu akina Mwanasiasa, kama wanadhani hawana majibu na wanafikiri unatumia njia chafu nao watumie njia chafu! Period. Upo sahihi Mbowe ni public figure wewe ni kama mimi mlalahoi anatakiwa ajibu baadhi ya maswali.

Kidumu chama cha mapinduzi!

FD
 
Kwako Chinga

Mimi nitajaribu kukujibu hoja zako kama ifuatavyo no. 4 na no. 5, ukienda kule masasi kwa raisi wetu mstaafu(samahani) ukauliza Hivi Chifupa na mbowe nani zaidi.
Majibu yatakuwa Amina ni mzuri, anajua kucheza muziki(kwa sababu alifika masasi na Bongo fleva), anavaa vizuri. Kwangu mimi majibu kama haya hayatanishangaza sababu mojawapo ni watu wa masasi (Nafikiri sitakiwi kuendelea).

Ndege ya Mbowe: Chadema na Mbowe wake mpka wanaingia uchaguzi ukilinganisha na uwekezaji wa wapinzani wao kulikuwa hakuna uwiano. Watanzania waliowengi wameisha kuwa na akiri ya kushangilia bila kujiuliza kwa sababu za kihistoria. Mojawapo ikiwa nyimbo mbali mbali na kukaririshwa mambo yasiyokuwa ya maendeleo.

Leo hii ukitaka kumuondoa mtanzania ktk usingizi inatakiwa initiative mbali mbali. Adha tunazozipata kwa kutokuwa na mawazo endelevu/kutobadilika ni a ghali sana kulinganisha na gharama ya helkopita(Sina haja ya kuzitaja zinaeleweka). Kwa kifupi huwezi kupanda mtama ukategemea kuvuna mahindi.

Hoja No.2: Wakati wa uchaguzi bahati mzuri nilikwenda Tz, Niliwasikiliza wagombea wote. Ktk kujenga hoja na kuielezea kinaga ubaga mbowe alimzidi hata professor aliyepata first Class wakati kinara wetu anasoma BCOm pale kileleni. Sasa kama wengine walivyokuwa wanaelezea nafikiri ktk kusoma tunatafuta kuelimika. Mara nyingi ni wachache sana wameweza kuelimika bila kwenda shule. Ukiwa na degree nyingi zilizofanyiwa kazi unakuwa na uhakika wa kujenga/kuwa na better knowledge. Lakini pia haimaanishi kuwa kila aliyesoma ameelimika na anaweza kujenga hoja. wachache ambao hawana uwezo huu huwa wanakimbilia kutafuta vyeti vingi na kujiita majina makubwa ya Kielimu hili waonekane kuwa wamesoma. Hii maanake huwa wanawoga na upeo wao. Kwa mbowe hana haja ya kuwa na degree za namna hiyo. Ushauri wangu kama anataka degree(moja inamtosha kulingana na upeo wake) tayari anauwezo wa kuitwa mtu aliyesoma. nakumbuka kuna mtaalamu mmoja alikuwa na Masters lakini alikuwa anasimamia wanafunzi wa PhD siyo Tanzania.

Hoja no. 1: Nafikiri huwezi kumjaji mtu kutokana na makaratasi (Cv tu) na ndio maana ili mtu apewe kazi huwa anahitwa kwenye interview.


Hoja no. 3: Mbowe alikuwa mbunge wa hai kwa uelewa wangu watu wa hai wanamkubali. Chifupa ni mwakilishi wa vijana kwa hiyo madawa ya kulevya yanayoathiri vijana ni moja ya kazi yake kama mbowe alingeshiriki ktk suala la kujenga daraja kule hai.

Kwa kifupi sikuona haja ya kuwa na ulinganifu wa watu hawa wawili. or kwa kifupi ni sawa sawa na kujenga nyumba hewani.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom