Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

Status
Not open for further replies.
"CCM wanasafisha Chama chao na sisi tusafishe chetu, tusibweteke na umaarufu binafsi wa baadhi ya viongozi wetu''.

CCM hawasafishi Chama bali wanakipaka rangi kwa nje kwa kutumia umaskini wa Wadanganyika wengi . Wangekuwa wanasafisha Chama ubadhirifu uliofanyika NSSF, Mikataba mibovu ya IPTL, CITY Water na Uanzishwaji wa makampuni ya kuchota fedha za wadanganyika ungekwisha na waliohusika wangefukuzwa uanachama na kuozea segerea.


''Mwenyekiti ana historia chafu ya ufuska na uasherati . Hili ni tatizo kwa maadili lakini ni tatizo zaidi kwa Mwenyekiti Mbowe kwasababu analeta hizi tabia kwenye kazi na kuleta mifarakano''.


Kwani mjomba yeye msafi??


Ninachojua sasa hivi ni suala la wakati tu lakini nguvu ya Sisiemu inapungua na hata kule vijinini kama Sitalike, Chankabwimba, Vudee, Kazaroho(Urb) wadanganyika wameanza kuamka kwenye usingizi mzito.
 
GT ni sumu mbaya sana...huwa sikuelewi elewi kwa kweli...samahani kama nitasema una dalili ama chembe za kidini na kibaguzi...
 
5. u-DJ
Wote wawili wamekuwa ma-DJ. Mmoja wa Night club, mwingine redioni.
Kwa hiyo hapa ngoma draw, isipokuwa tu u-DJ wa Mbowe utakuwa umeleta Maambukizi zaidi ya ukimwi kuliko ule wa redioni.
.

....wow, now thats something. Assuming this was posted awhile back, current happenings suffice to contradict. Whilst Amatus is already incacerated and Chifupa (+) RIP is gone to the other side, victims in the third angle of the triangle remain sick to the bone. Any names?
1.
2.
3.
ad infinitum
 
....wow, now thats something. Assuming this was posted awhile back, current happenings suffice to contradict. Whilst Amatus is already incacerated and Chifupa (+) RIP is gone to the other side, victims in the third angle of the triangle remain sick to the bone. Any names?
1.
2.
3.
ad infinitum

sasa huu uchokozi! watu wanafikiri hii thread imeshasahaulika.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom