Mbowe: Tupeni madaraka kwa masharti

Stick to the point zomba, I said you still not understand the responsibilities of the shadow ministries in the government, and ofcourse you do not understand the responsibilities of your government!

The Shadow Cabinet is a senior group of opposition spokespeople in the system of government who together under the leadership of the Leader of the Opposition form an alternative cabinet to the government's, whose members shadow or mark each individual member of the government. Members of a shadow cabinet are often but not always appointed to a Cabinet post if and when their party gets into government. It is the Shadow Cabinet's responsibility to pass criticism on the current government and its respective legislation, as well as offering alternative policies.

You have answered your question, now you know that shadow ministry is part and parcel of the government as you and I.

Mbowe can do better in pushing the wheel of development by being in the shadow, that is his capacity for now. You do not tell what you will do when even the elections are not I sight, what he should be doing now is work on his capacity as shadow government and not campaign for elections. That is what he is paid for for now. We do not pay him to campaign as yet and we have not yet approved the campaign budget, but we have approved his current expenditures as opposition leader to work on shadowing the ministries he is paid for.
 
Sasa morogoro kila mara wanaipa kura ccm kwa kigezo kipi? Kweli watanzania wanahitaji elimu sana kuhusu haki na wajibu wao
 
Sasa morogoro kila mara wanaipa kura ccm kwa kigezo kipi? Kweli watanzania wanahitaji elimu sana kuhusu haki na wajibu wao

Inawezekana ccm hawakuchaguliwa na wananchi wa morogoro, bali nec waliwatangaza ccm washindi
 
Hivi huyu Mbowe ndio peupe namna hii? Dah!

Yeye mwenyewe ana madaraka makubwa sana kama kiongozi wa upinzani bungeni, ana mawaziri kivuli kibao, anashindwa kuwaingiza wawatumikie wananchi? anashindwa kuisimamia Serikali kwa wadhifa alionao? anataka madaraka yepi tena?

Kama unaona kazi ya kuisimamia serikali inatosha kuwaletea wananchi mabadiriko, ni mategemeo yangu kwamba CCM itaachia madaraka kiulaini 2015 ili ichukue nafasi ya kuisimamia serikali ya CHADEMA.
 
You have answered your question, now you know that shadow ministry is part and parcel of the government as you and I.

Mbowe can do better in pushing the wheel of development by being in the shadow, that is his capacity for now. You do not tell what you will do when even the elections are not I sight, what he should be doing now is work on his capacity as shadow government and not campaign for elections. That is what he is paid for for now. We do not pay him to campaign as yet and we have not yet approved the campaign budget, but we have approved his current expenditures as opposition leader to work on shadowing the ministries he is paid for.

Wewe kweli ni renowed propagandist.
 
You and I are the government, I may not know what is your knowledge about governing as you seem to be so shallow in your judgement on my understanding of the government(s). I simply know that I and any other citizen are the government, without you and me and the others how can you have "the" so called government? What would we govern? cats and dogs?

I may also give you the lessons on shadows if you have the capacity, but based on your comments, I doubt.
Stop kidding, One of the duty of the Government is to collect tax, are you collecting taxes or paying? I dought if you are even paying your taxes, because I have recently found that those who support CCM do not pay the taxes.
 
Nyie ndio wenye hasara mnaofikiri maendeleo yanaletwa na madaraka ya kuwa na dola. Ukiwaa fikra zenu ndio hizo? hata mshushiwe malaika hamtoendelea.

MAendeleo ni kila mtu atajiletea mwenyewe, lakini watawala mmeshindwa hata kuweka mazingira ya kuwawezesha wananchi wajiletee maendeleo! kazi yenu ni kama mchwa kutafuna kila kitu kilichombele yenu! Lakini kuleni vyote mmalizie tumboni maana mnazojilimbikizia lazima mtakuja kunyang'anywa na watanzania wenye nia njema na hii nchi!
 
Stick to the point zomba, I said you still not understand the responsibilities of the shadow ministries in the government, and ofcourse you do not understand the responsibilities of your government!

The Shadow Cabinet is a senior group of opposition spokespeople in the system of government who together under the leadership of the Leader of the Opposition form an alternative cabinet to the government's, whose members shadow or mark each individual member of the government. Members of a shadow cabinet are often but not always appointed to a Cabinet post if and when their party gets into government. It is the Shadow Cabinet's responsibility to pass criticism on the current government and its respective legislation, as well as offering alternative policies.

You can drive a donkey the liver but you cannot force it to drink water!
You are wasting your time; Zomba has no clue about the government and is not eager to learn.
 
MAendeleo ni kila mtu atajiletea mwenyewe, lakini watawala mmeshindwa hata kuweka mazingira ya kuwawezesha wananchi wajiletee maendeleo! kazi yenu ni kama mchwa kutafuna kila kitu kilichombele yenu! Lakini kuleni vyote mmalizie tumboni maana mnazojilimbikizia lazima mtakuja kunyang'anywa na watanzania wenye nia njema na hii nchi!

Wachina, Wahindi, Wazungu, Waafrika kusini, Wayemen, Waemirate, Wakenya, Wasudan, Waethiopia, Wachagga na wengine wengi wote wanakuja na kuziona fursa, wewe tu ndio huzioni? utabaki hivyo hivyo kungoja kuwekewa mazingira. Wacha sisi tunaoziona tufanyie kazi.

Kweli, usimwamshe aliyelala, utalala wewe, kalagabaho!
 
Ntagazwaa!! hivi lazima na wewe uendelee kuwa mwanasiasa? siamini maneno na viongozi wa siasa, maneno yao yanapambwa katika kumtia ujinga mwananchi.Uwajibikaji si katika utawala wa nchi tu bali hata kwa ngazi ya ubunge,udiwani n.k labda swali kwa Mh Mbowe uliyoyaahidi katika jimbo lako la Hai utekelezaji wake uko vipi? Ulisema unarudisha gari la kiongozi wa upinzani bungeni na picha ukapiga ukifanya matembezi ya mshikamano leo unapiga nalo misele, tafadhalini ebu tafuteni cha kutuambia watanzania hatutaki kuwaita wababaishaji.
Kichwa kinauma, kuna watua wagumusana kuelewa chochote.
 
Kama tunaviongozi ambao wanafikiria zaidi matumbo yao na familia zao tu maendeleo yatakuwepo?Tukiongelea habari za maendeleo ya mtu binafsi au jumuia siyo sahihi kuiweka pembeni serikali iliyoko madarakani.

Zomba naomba ujiulize kama mgonjwa anakufa hospitali sababu amekosa dawa,je kuna haja ya kuwa na hospitali?
Viongozi wetu hawajali wananchi wake ndio maana tumefika hapa tulipo.Swala la dola siyo pesa ya kimarekani bali anaongelea serikali,hivyo usipindishe maana ya neno.

Watanzania tujitahidi kuwa na Umoja kama watanzania tusiganyike kwa vyama vya siasa.Maendeleo yatakuja kama tutakuwa na viongozi imara,wenye uchungu na raslimali za Tanzania na wenye nia ya kuwapeleka watanzania kwenye mwanga.Tanzania haihitaji Bora viongozi tulionao leo kwenye serikali yetu hii sikivu.
 
MAendeleo ni kila mtu atajiletea mwenyewe, lakini watawala mmeshindwa hata kuweka mazingira ya kuwawezesha wananchi wajiletee maendeleo! kazi yenu ni kama mchwa kutafuna kila kitu kilichombele yenu! Lakini kuleni vyote mmalizie tumboni maana mnazojilimbikizia lazima mtakuja kunyang'anywa na watanzania wenye nia njema na hii nchi!
Nakutakia mafaniko, ujenge hospitali yako, shule yako, barabara yako, steet light zako NK. Ubarikiwe.
 
Maneno ya Mh naona yana kila sababu ya watu makini kuhoji.

Madaraka kwa mashari ni neno pana sana kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania. Kwani Katiba yenu inaruhusu mtu kukaa madarakani kwa miaka Mitano. sasa ina maana maana Kutakuwa na utawala wa majaribio.

Ushauri wangu kwa waTz ni kuweka kipengele cha VOTE OF NO CONFIDENCE kwa viongozi wote wa kisiasa wanaochaguliwa na wananchi kama wameshindwa kutimiza ahadi zao walizokuwa wamezitoa wakti wa kuomba ridhaa ya wananchi kuwachagua.

Kwa kuingiza kipengele hicho mtapunguza umangimeza na ulaghai wa wanasiasa wa kutoa ahadi hewa.
 
Dola haitolewi kwa masharti wala majaribio . Wananchi wanagawa madaraka kwa kuamini umadhubuti wa uongozi unaoambatana na sera. Chadema haina uongozi wa kuweza kukabidhiwa nchi ndiyo maana hata Mbowe anataka madaraka kwa majaribio. Baraza lenyewe kivuli ni la kina Kiwia, Godbless Lema mr tuu! Sera zenyewe ni matusi vurugu dola unamkabidhi nani ili iweje . Endeleeni kutukana na kuandamana maana ndiyo kazi mnaweza. Nyinyi wenyewe hamuaminiki fedha kidogo za Ruzuku mnagawana Mbowe pan Dr Slaa na Josephine mushumbushi, watanzania tuwape dola tumelogwa?
 
Hio ni kauli safi sana ,na hapo wananchi umewapa uhuru wa kuchagua ,hongera Mbowe kwa kauli hiyo.

Mimi ni mwana CCM damu lakini nakubaliana na wewe kuwa kauli hii ya Mbowe inaonesha ukomavu wa hali ya juu. Sio ujinga wa kile kizee kila siku uwongo mara kontena la kura mara siraha sijui sukari inashambulia ubongo.
 
Back
Top Bottom