Mbowe siasa sio biashara. Siasa ni maisha ya watu acha uzandiki. Rudisha chama mikononi mwa Wapinzani wa kweli

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini?

Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu?

Unadhania siasa ni kufanya collusion na watawala ili unufaike?

Japokuwa unadhania CHADEMA ni private property lakini ni mali ya umma kwa mujibu wa sheria. Unatakiwa kuiachia na kutuachia Wapinzani wa kweli
 
Chadema ni kampuni sio chama cha siasa,image ni chama cha demokrasia lakini mwenyekiti hangatuki zaidi ya miaka 30 na haambiliki,Je siku chadema wanashika nchi watakuwa mara saba ya ccm?..Tanzania hakuna wapinzani wa kweli ndio maana ccm inaendelea kutawala..Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa mwanachama wa chadema...
 
Wewe ni CCM KINDAKINDAKI
Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini?

Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu?

Unadhania siasa ni kufanya collusion na watawala ili unufaike?

Japokuwa unadhania CHADEMA ni private property lakini ni mali ya umma kwa mujibu wa sheria. Unatakiwa kuiachia na kutuachia Wapinzani wa kweli
 
Udikteta?

Food for thought.

Pamoja na kutawala nchi na siasa za Tanzania kwa miaka hamsini na, Wenyeviti wa CCM wameshabadilishwa na wamebadilika kwa Kura za Wananchi na wnachama wake.

CCM inahitaji Demokrasia ndani yake, kama CHADEMA invyohitaji.

...wapo teyari.? Wana CHADEMA wanaburuzwa sana kuliko wana CCM
 
Ningeomba debate ya January Makamba, Nape Nauye, John Heche na Msigwa wakiongea kwenye National Television misimamo yao na vyama vyao kwa miaka mitano ijayo katika kumuendeleza mtanzania kwa kupitia katiba na tume ya uchaguzi.
Hiyo itakuwa Debate au Debacle?

Naunga mkono hoja.
 
Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini?

Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu?

Unadhania siasa ni kufanya collusion na watawala ili unufaike?

Japokuwa unadhania CHADEMA ni private property lakini ni mali ya umma kwa mujibu wa sheria. Unatakiwa kuiachia na kutuachia Wapinzani wa kweli
Hatuna kiongozi wa kweli Chadema isipokuwa Freeman Mbowe basi!
 
Udikteta?

Food for thought.

Pamoja na kutawala nchi na siasa za Tanzania kwa miaka hamsini na, Wenyeviti wa CCM wameshabadilishwa na wamebadilika kwa Kura za Wananchi na wnachama wake.

CCM inahitaji Demokrasia ndani yake, kama CHADEMA invyohitaji.

...wapo teyari.? Wana CHADEMA wanaburuzwa sana kuliko wana CCM
Yakifanyika haya inamaana marupu rupu ya kustaafu hayatakuwa na maana tena. Hii minofu wanayopata wakubwa kama zawadi ya kuilinda CCM ibaki madarakani ni mikubwa sana.
 
Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini?

Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu?

Unadhania siasa ni kufanya collusion na watawala ili unufaike?

Japokuwa unadhania CHADEMA ni private property lakini ni mali ya umma kwa mujibu wa sheria. Unatakiwa kuiachia na kutuachia Wapinzani wa kweli
Ondoa unafiki wako hapa. M yuviccm mkubwa wewe.
 
Chama kongwe dola kimehodhi mamlaka zote na kuyakasimu kwa mwenyekiti wao wa CCM

TUCHAMBUE KWA UCHACHE MADARAKA YA MWENYEKITI WA CCM TAIFA:
  1. Rais wa Jamhuri ya Muungano
  2. Mwenyekiti wa CCM Taifa,
  3. kiongozi wa kamati kuu CC,
  4. Halmashauri kuu NEC,
  5. amiri jeshi mkuu CIC,
  6. balozi namba moja wa nchi,
  7. anateua jaji mkuu; mawaziri; makatibu wakuu wa wizara; manaibu wakuu wa wizara;
  8. wakuu wa mikoa,
  9. wakuu wa wilaya,
  10. RAS, DED, wakurugenzi wa wizara,: idara
  11. Majaji wa mahakama, rufaa na mahakama kuu, wasajili wa mahakama
  12. Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi; mkurugenzi wa tume ya uchaguzi; wajumbe wa tume ya uchaguzi
  13. Msajili wa Vyama vya siasa
  14. Wasimamizi wa uchaguzi (DED, Wakurugenzi wa halmshauri)
  15. Wakurugenzi wa mashirika ya umma
  16. Kuunda mikoa mipya
  17. Ardhi yote ya jamhuri ya muungano amepewa udhamini kuwa ni muangalizi
  18. Mamlaka ya kugawa mapori, ardhi za vijiji na ardhi za raia
  19. mtu aliyehukumiwa na mahakama hukumu ya kifo, saini ya Mwenyekiti inatakiwa ili aondolewe uhai
  20. Hawezi kushitakiwa mahakamani
  21. N k
Lakini bado chama dola kongwe, wanachama, wapenzi na makada wake wanahofu kuu na mwenyekiti wa taifa CHADEMA .

Mwenyekiti wa CHADEMA asiye na mamlaka ya dola lakini anaaminiwa na wanachama pia wananchi wa kawaida ndiyo inasababisha CCM kukosa usingizi.
 
Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini?

Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu?

Unadhania siasa ni kufanya collusion na watawala ili unufaike?

Japokuwa unadhania CHADEMA ni private property lakini ni mali ya umma kwa mujibu wa sheria. Unatakiwa kuiachia na kutuachia Wapinzani wa kweli
Kwani ni lazima uendelee kuwa Chadema? Anzisha chama chako au jiunge na Zitto

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini?

Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu?

Unadhania siasa ni kufanya collusion na watawala ili unufaike?

Japokuwa unadhania CHADEMA ni private property lakini ni mali ya umma kwa mujibu wa sheria. Unatakiwa kuiachia na kutuachia Wapinzani wa kweli
Mbowe can never be shaken by few hypocrite conmens.
He is very focused,
and he is on mission,
and the mission must be accomplished in full in time.
 
Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini?

Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu?

Unadhania siasa ni kufanya collusion na watawala ili unufaike?

Japokuwa unadhania CHADEMA ni private property lakini ni mali ya umma kwa mujibu wa sheria. Unatakiwa kuiachia na kutuachia Wapinzani wa kweli
Na wewe anzisha cha kwako.
 
Back
Top Bottom