Mbowe sasa avuka mipaka, afanya matumizi ya gari la serikali kwa shughuli za CHADEMA

Na Rais wa nchi anapotumia ofisi za Ikulu kuendesha mikutano ya Kamati Kuu ya Chama chake utamuita vipi?

Taiga letu linazidi kukosa mtetezi,yaani hat a Mzee Mwanakijiji unatetea upuuzi kwa hoja nyepesi kiasi hicho?

Unataka kuhalalisha makosa ya Mbowe kwa kuwa Raids Wa ccm kakosea? yaani kwa akili zako kosa LA ccm linahalalisha kosa LA chadema?

Kama chadema haitendi tofaufi name ccm sasa inapata wapi ujasili wa kujiita chama cha upinzani?

Kama fikra za chadema kutaka kuongoza nchi huku ikitumia vibaya Mali ya umma ni fikra za kuendeza Yale tunayoyapinga.

Ni Msingi huu unaotufanya kutafuta chama mbadala kitachoteda tofauti name ccm
 
Huyu jamaa mbowe wa kishimundu,na yale makengeza yake huwa nashindwa kumdefine ata kidogo, sijui nimuweke kundi gani. Mwizi sio mwizi kibaka sio kibaka.....yani balaa tupu.

Mbona inaonesha una hasira sana na Mbowe?.
Uzuri ni kwamba ni gari la Kambi ya upinzani,wewe ulitaka alitumie kuitangaza CCM?.
 
Sioni tofauti ya CCM na CDM mimi siioni hata kidogo.

Wakati wazalendo tukipinga mali ya umma kutumika kisiasa, Kiongozi wa Upinzani Bungeni haoni aibu kutumia Gari ya Serikali, mafuta ya kodi zetu na dereva anayelipwa kwa kodi zetu kwenye mikutano ya chama chake.
Mbowe ana tofauti gani na Mawaziri wa CCM.

Mbowe anapata wapi ujasiri wa kuisemea serikali ya CCM wakati na yeye anatenda kama wao.

Kwanini Leo Mkoani Kagera Bukoba mjini atumie kodi zetu kwa ajili ya kutangaza chama chake?

Huu ni Ufisadi na Mbowe ni fisadi papa.

Wazalendo kwetu ni Taifa kwanza mafisadi yote lazima tuyaanike wananchi wayajue.

attachment.php

Tuliposema tunahitaji chama Mbadala ,watu wengi hawakutuelewa tunachomaanisha.

CCM ni chama dola,yaani huoni mipaka kati ya shughuli za chama na Zile za serikali.

Chadema nayo haina tofauti na ccm,nayo inajiandaa kuwa chama dola siku ikishika madaraka.

Tunahubiri tusiyoyatenda,kwenye hii picha ukitaza kwa makini linaonekana gari Landcruiser V8 lenye usajili wa KUB (KAMBI YA UPINZANI BUNGENI)

Gari ni mali ya serikali lakini linatumika katika shughuli za chama,hili halina tofauti na Mgombea Urais wa ccm kutumia fedha na rasilimali za serikali kubaki madarakani.

Mbowe anatumia gari la serikali na linalotumia mafuta ya serikali kufanya kazi za chama.
Mh.Freeman Alkael Mbowe ametumia gari la Serikali katika ziara yake y Chama huko Mjini Bukoba.

Huyu chama chake kikishika dola atawezaje kujitofautisha na ccm ambao hutumia rasilimali za serikali kufanyia kazi za chama?

Ndio maana tukasema kuwa lazima tupate chama Mbadala ,Chama kitakacho tenda yale kinayoyahubiri.

Team Wazalendo.

ACT wao wanahongwa Magari na Mafuta na CCM.
Hawa ndo hatar zaidi maana ni kama Mapanya Buku yanayokula na kuiba kwa kificho.
Mule mule
 
Magari hayo walipewa kwa ajili ya siasa na anacho kifanya mbowe ni uenezaji wa siasa. Gari hilo si la bungeni.
 
Tuliposema tunahitaji chama Mbadala ,watu wengi hawakutuelewa tunachomaanisha.

CCM ni chama dola,yaani huoni mipaka kati ya shughuli za chama na Zile za serikali.

Chadema nayo haina tofauti na ccm,nayo inajiandaa kuwa chama dola siku ikishika madaraka.

Tunahubiri tusiyoyatenda,kwenye hii picha ukitaza kwa makini linaonekana gari Landcruiser V8 lenye usajili wa KUB (KAMBI YA UPINZANI BUNGENI)

Gari ni mali ya serikali lakini linatumika katika shughuli za chama,hili halina tofauti na Mgombea Urais wa ccm kutumia fedha na rasilimali za serikali kubaki madarakani.

Mbowe anatumia gari la serikali na linalotumia mafuta ya serikali kufanya kazi za chama.
Mh.Freeman Alkael Mbowe ametumia gari la Serikali katika ziara yake y Chama huko Mjini Bukoba.

Huyu chama chake kikishika dola atawezaje kujitofautisha na ccm ambao hutumia rasilimali za serikali kufanyia kazi za chama?

Ndio maana tukasema kuwa lazima tupate chama Mbadala ,Chama kitakacho tenda yale kinayoyahubiri.

Team Wazalendo.

Wewe naona unaweweseka sana ulitegemea hilo gari alitumie wakati wa kwenda bungeni tu?hilo ni la kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni na hapo alipo anaimalisha shughuli za chama cha upinzani.Bora ukose shibe kuliko akili
 
Ukikosa elimu ni janga maishani mwako.Huyo ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni na hapo anaimalisha huo upinzani full migebuka wewe
 
Bora ukose mali; upate ufahamu! kola lake lipo wapi na sikiongozi au bunge limesha vunjwa?

Kwa hiyo Rais kwa kuwa ni mwanachama wa CCM akienda kufungua mikutano aache gari lake apande Land cruiser mkonga kisa eti kaenda mkutano wa Chama! Mleta mada umepotoka! Gari la Kiongoz anaruhusiwa kulitumia ili mradi analitumia kama sheria inavyotaka. Sijaona kosa lolote hapo! Ingekuwa kosa kama angechukua gari STK,STL et al!
 
Wewe naona unaweweseka sana ulitegemea hilo gari alitumie wakati wa kwenda bungeni tu?hilo ni la kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni na hapo alipo anaimalisha shughuli za chama cha upinzani.Bora ukose shibe kuliko akili
Hivi hilo gari la KUB Mbowe alilikataa inakuwaje tena analitumia?
 
huyu jamaa yuposahihi lkn hamumuelewi ukiwa kwenye shughuli za chama tumiavyombo vya chama ukiwa kwenye shughuli za serikali tumia vya serikali.Huyu bwana alikuwa akilalamikia matumizi ya mali ya serikali kwa shughuli za chama kwa mawaziri na rais sasa kinachomshangaza ni kimkuta aliyekuwa analalamika naye baada tu ya kupata kidogo naye kama walewale.Tatizo letu chetu cdm tunateteaga mpaka ujinga ilimradi imefanywa nacdm ,mi nasema mbowe kafanyaujinga.
 
Ukiiangalia hoja haraka haraka utafikiri mleta mada ana hoja ukweli ni kwamba mleta mada alitakiwa kuainisha kwanza kazi za KUB na angeleta na uthbitisho,pia angechora mstari kwa kutumia kanuni,sheria,mipaka na miiko ya matumizi ya gari la KUB badala ya kutoa tuhuma za jumla.

Mtoa mada pia alitakiwa kuainisha iwapo kufanya mikutano ya chama ni sehemu ya kazi za KUB au hapana na angefanya haya kwa kutumia mamlaka na sheria zinazoongoza matumizi ya gari la KUB.

Sisema kama KUB alifanya vizuri au alifanya sahihi kwa kutumia gari la KUB ila hoja ninayosema hapa tujifunze kukaa chini na kufanya uchunguzi mdogo wa taarifa zetu badala ya kukurupuka na kutoa tuhuma za jumla kwa sababu tu tumepata mwanya wa kufanya hivo.Tukiweza kuyazingatia hayo tutakomaa namna tunavyofanya siasa zetu.

Mkuu nsisi umeandika hoja za msingi kabisa,lakini mimi nina tatizo moja.
Kwa nini nyuzi zinazohusu watu wengine hatutilii maanani hayo uliyoyasema,bali huwa tunashambulia tu bila hata ya kuona chembe ya ushahidi au uchambuzi wa yale yaliyoandikwa? Hii kitu inayoitwa double standard nayo inatumika humu jukwaani?Wengine habari zao zikiletwa,tunataka zifanyiwe uchunguzi hizo taarifa,lakini wengine za kwao hazina hata uthibitisho ila atu watatokwa na mapovu kushambulia kwa kutukana,kukejeli n.k?
 
huyu jamaa yuposahihi lkn hamumuelewi ukiwa kwenye shughuli za chama tumiavyombo vya chama ukiwa kwenye shughuli za serikali tumia vya serikali.Huyu bwana alikuwa akilalamikia matumizi ya mali ya serikali kwa shughuli za chama kwa mawaziri na rais sasa kinachomshangaza ni kimkuta aliyekuwa analalamika naye baada tu ya kupata kidogo naye kama walewale.Tatizo letu chetu cdm tunateteaga mpaka ujinga ilimradi imefanywa nacdm ,mi nasema mbowe kafanyaujinga.
 
huyu jamaa yuposahihi lkn hamumuelewi ukiwa kwenye shughuli za chama tumiavyombo vya chama ukiwa kwenye shughuli za serikali tumia vya serikali.Huyu bwana alikuwa akilalamikia matumizi ya mali ya serikali kwa shughuli za chama kwa mawaziri na rais sasa kinachomshangaza ni kimkuta aliyekuwa analalamika naye baada tu ya kupata kidogo naye kama walewale.Tatizo letu chetu cdm tunateteaga mpaka ujinga ilimradi imefanywa nacdm ,mi nasema mbowe kafanyaujinga.

Ungejua hilo gari kazi yake ninini husingeleta matapishi yako hapa jukwaani,hilo gari ni la kiongozi wa upinzani bungeni na kiongozi wa upinzani kazi yake moja wapo ni kuimalisha upinzani unataka kunambia hapo bukoba mbowe kaja kuangalia mechi ya kagera sugar na mtibwa?Yupo kwenye kuimalisha upinzani hivyo analitendea haki hilo gari na ndio kazi yake.
 
Watanzania wengi si wanavyama wa
vyama vya siasa ni mashabiki tu wanaongalia kinachomfaa kwa wakati huo ndiyo maana kwenye kura urais anaweza kumpa ccm, ubunge chadema, udiwani cuf moja ya sababu hakuna chama cha kukiamini, leo waziri akionekana anatumia gari yenye 'plate number' ya uwaziri kwenye mikutano ya kuijenga ccm ni kosa, kesho kiongozi wa cdm akitumia gari ya yenye 'plate number' ya KUB ni sawa japo zote ni mali ya serikali na zinahudumiwa na serikali...

Upinzani wakiteleza wakafanya kosa fulani badala ya kulikemea majibu yanayotolewa ni mbona ccm wanafanya!?

Mbunge darasa la saba akiwa wa ccm ni kosa ila akiwa wa upinzani tunaambiwa kuongoza si lazima elimu ni utendaji bora kwa wananchi tu..

Acha tundelee kuwa mashabiki
 
UKAWA 2015 ni yetu. CCM&ACT are no longer in our hearts.

Loading October..........

Mleta uzi inawezekana una hoja... Lakini tunaomba maelezo kuhusu kazi za gari la KUB pamoja na yale magari mengine ya wabunge ambao bila shaka yana bendera ya kibunge....!!
Gari ni chombo cha usafiri je umethibitisha bila kuacha shaka kuwa hapo lilipo muda huu dereva na mafuta yanalipwa na nani...??

Kama matumizi ya KUB yanagharimiwa na kodi za wananchi kuna makosa gani akienda kwa wananchi kuwaonesha kile wanachokigharimia...??

Sheria inasemaje kuhusu matumizi kama hayo make hoja inaweza ikapigiwa kelele ikaonekana kama ni nzito kumbe sheria na taratibu zingine hazitambui kitu hicho...!!

Kuna kanuni ya negligible endapo kitu kinaonekana kuwa athari yake ni kiduchu sana.... Sasa ebu tuambie hasara kwa taifa ni gari moja la KUB ukilinganisha na msafara wa Nape (mikoani, wilayani, katani, mitaani, vijijini, vitongojini) ambao unakuwa na magari ya SU, STK, STJ, PT zisizokuwa na idadi maalumu...
Hasara gari la KUB au ni ule utaratibu wa CCM kujimilikisha viwanja vya michezo na ofisi zilizojengwa kwa fedha na nguvu za wananchi..??

Kama kweli hujatumwa au hauna maslahi binafsi au ulipitiwa tu kidogo ingependeza kama hoja yako ungeilekeza kwenye kudai uwepo wa sheria kuthibiti matumizi yanayoleta migongano ya maslahi...
 
Ukiiangalia hoja haraka haraka utafikiri mleta mada ana hoja ukweli ni kwamba mleta mada alitakiwa kuainisha kwanza kazi za KUB na angeleta na uthbitisho,pia angechora mstari kwa kutumia kanuni,sheria,mipaka na miiko ya matumizi ya gari la KUB badala ya kutoa tuhuma za jumla.

Mtoa mada pia alitakiwa kuainisha iwapo kufanya mikutano ya chama ni sehemu ya kazi za KUB au hapana na angefanya haya kwa kutumia mamlaka na sheria zinazoongoza matumizi ya gari la KUB.

Sisema kama KUB alifanya vizuri au alifanya sahihi kwa kutumia gari la KUB ila hoja ninayosema hapa tujifunze kukaa chini na kufanya uchunguzi mdogo wa taarifa zetu badala ya kukurupuka na kutoa tuhuma za jumla kwa sababu tu tumepata mwanya wa kufanya hivo.Tukiweza kuyazingatia hayo tutakomaa namna tunavyofanya siasa zetu.

Team wazalendo hawana KUB hivyo hawawezi kufanya uchambuzi kama huo.
 
Back
Top Bottom