Mbowe ndiye tatizo CHADEMA

Mbowe ndiye tatizo kwa cdm, mnaona jamaa anavyowamaliza wanaompinga, eti kisa anataka aendelee kufanya biashara ndani ya cdm, mnakumbuka magari yake analazimisha atuuzie, anawaondoa wote wanaomkosoa, anawatumia watu tu, wakishamfanikisha anawatupa kama cond..m,huyu jamaa hafai nasikia anataka kuggombea urais ndio maana anafanya mbwmbwe sana na kuwahujumu wenzake,mbowe huna sifa ya kuwa rais wa nchi hii, hata moshi mjini unayotaka ukagombee ubunge utaabika kabisa.
unataka ww uwe juu tu kuliko wengine na huna uimara wa kufikiri, kumbuka ulivyoropoka kwenye bajeti baada ya kikao cha bunge, sikia ulivyoropoka kuhusu madiwani arusha, halafu leo unakuja na ujinga wa kuwakana, nimeongea na wanachama wengi sana wamenipa huu ujumbe nikupe, kama ukimeza wembe umezs tu, hasa huku visiwani hutakiwi kuja kabisa shaurilo ukijipendekeza utaokona.
haya kwa uchaguzi wa cdm 2013 labda uuairishe eti, vinginevyo utaanguka na utashangaa.
tunamkumbuka chacha wangwe sana, tunammis sana msema ukweli wetu sie, kwa nini unagombana na kila mtume ajaye cdm akiwa hakubaliani na wewe mbaba? wewe ni tatizo.

Duhhh: Una ID nyingine tena??? Tunajuana vizuri.
Kwa taarifa yako Mbowe atakuwa mwenyekiti mpaka pale atakapoamua mwenyewe kustaafu.Najua nyie mnafahamu wazi kipangamizi chenu kuivuruga chadema ni Mbowe.Kama ulivyoniambia siku ile mnataka kuweka mtu mwenye njaa ili iwe rahisi kumhonga.Mmechelewa sana!!! Uongozi wa chadema utabaki kama ulivyo mpaka uchaguzi wa 2015 utakapopita,kwa hiyo pa kutokea hamtapata hakika.Mnadhani kwa kudanganya umma Shibuda atakuwa mwenyekiti chadema?? Mngekuwa wajanja msingemwambia Shibuda aanze na gia hiyo,ameshashtukiwa na siku si nyingi anarudishwa alikotoka.
Kumbuka mlitaka kutumia ujanja wa propaganda ili Dr Slaa apewe uenyekiti Chadema halafu mpandikize mtu wenu kwenye ukatibu mkuu ili iwe rahisi kuisambaratisha kama NCCR.Slaa ameshashtukia huo mchezo na sasa mwenyekiti ataendelea kuwa Mbowe mpaka kazi ya ukombozi itakapokamilika.........
Tusubiri tuone.
 
chadema mbona hatuna mwanachama kama wewe? Umetumwa na chenge nini? Mbowe amemfukuza nani? Au unazungumzia shibuda?
Magari si yalishatolewa ufafanuzi na uongozi wa chadema? Mbona unakuwa du.wa.nzi?
Hatuna mwanachama kama wewe so acha uzushi wako hapa.
Ndugu hii ni very weak defence.
Mbona nyie mnacomment sana tu juu ya cham pinzni kwenu CCM.
Ukitaka uendelee katika democracy ukubali kubeba maoni pinzani.
La sivyo CDM haina tofauti na vyama vinavyosema ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI.
 
duuu, mkuki moyoni ni mtanzania kweli, kama ni mtanzania basi ana mtindio wa ubongo
 
Mbowe ndiye tatizo kwa cdm, mnaona jamaa anavyowamaliza wanaompinga, eti kisa anataka aendelee kufanya biashara ndani ya cdm, mnakumbuka magari yake analazimisha atuuzie, anawaondoa wote wanaomkosoa, anawatumia watu tu, wakishamfanikisha anawatupa kama cond..m,huyu jamaa hafai nasikia anataka kuggombea urais ndio maana anafanya mbwmbwe sana na kuwahujumu wenzake,mbowe huna sifa ya kuwa rais wa nchi hii, hata moshi mjini unayotaka ukagombee ubunge utaabika kabisa.
unataka ww uwe juu tu kuliko wengine na huna uimara wa kufikiri, kumbuka ulivyoropoka kwenye bajeti baada ya kikao cha bunge, sikia ulivyoropoka kuhusu madiwani arusha, halafu leo unakuja na ujinga wa kuwakana, nimeongea na wanachama wengi sana wamenipa huu ujumbe nikupe, kama ukimeza wembe umezs tu, hasa huku visiwani hutakiwi kuja kabisa shaurilo ukijipendekeza utaokona.
haya kwa uchaguzi wa cdm 2013 labda uuairishe eti, vinginevyo utaanguka na utashangaa.
tunamkumbuka chacha wangwe sana, tunammis sana msema ukweli wetu sie, kwa nini unagombana na kila mtume ajaye cdm akiwa hakubaliani na wewe mbaba? wewe ni tatizo.

Unamchukia tu.
Najua umetumwa, Mbowe anawaumiza kichwa sana. mmejaribu mbinu zote mmemshindwa mmebakia na majungu sasa. Ngoma inapaa hiyo. Ninyi chukieni sisi tunakata mbuga.

Mbowe kamanda wa ukweli. Wote wanaomchukia ni mapandikizi ya CCM.
 
Duhhh: Una ID nyingine tena??? Tunajuana vizuri.
Kwa taarifa yako Mbowe atakuwa mwenyekiti mpaka pale atakapoamua mwenyewe kustaafu..

Naunga mkono hoja na atakaye pinga atafute chama chake asituletee majotrooo na CDM 'yetu'
 
Kazi kweli kweli.........Mbona kila mara naposoma hoja za hawa ndugu wanaokuja kupinga, kulalamika, kupotosha, kuongopa huwa nakosa mtirirko hasa wa madai yao? Mbona huwa sioni hoja yoyote ya msingi? Heading huwa inanivuta kusoma Post lakini nachokutana nacho ni kinyume kabisa na mataration yangu completely. Hakuna vivid example, hakuna evidence zozote wanazotoa zaidi ya kulalama tuuuu. Jamani hebu ficheni upumbavu wenu kwa kukaa kimya, aharabu hekima yenu itafichwa kwa ukimya wenu. Hili linatusaidia nini hasa watanzania, kwa kulalamika Mbowe ni Gaidi, Mkandamizaji, Mbishi n.k inatutatulia vipi matatizo ya umeme, maji, barabara, huduma za afya n.k. Hizi lawama zinatusaidia nini kupambana na ufisadi unaotisha kwa sasa.
Fungeni midomo yenu enyi wapumbavu msioweza kujadiri mambo ya msingi katika kuleta ukombozi wa nchi yetu na mustakabari wa taifa letu.

MY Take: Mods nadhani ufike wakati ambapo Post ambazo hazina msingi zifutiliwe mpali kabla watu hawajachangia. Hatupingi mtu kutoa maoni kama ilivyo haki ya kikatiba rahisi, maoni hayo yana mchango gani kwa maendeleo ya taifa letu? Je maoni au acquisition zinazotolewa zinauthibitisho au ni malalamiko yasiyo kuwa na msingi?. Nimekuwa nikifatilia sana post nyingi, kusema ukweli zilizonyingi ni upuuzi mtu, na wakati mwingine unakuta mambo ya mahusiano (love affairs) yanaletwa kwenye jukwaa la siasa still post inaendelea kuwepo kwa nini.
 
Duhhh: Una ID nyingine tena??? Tunajuana vizuri.
Kwa taarifa yako Mbowe atakuwa mwenyekiti mpaka pale atakapoamua mwenyewe kustaafu.Najua nyie mnafahamu wazi kipangamizi chenu kuivuruga chadema ni Mbowe.Kama ulivyoniambia siku ile mnataka kuweka mtu mwenye njaa ili iwe rahisi kumhonga.Mmechelewa sana!!! Uongozi wa chadema utabaki kama ulivyo mpaka uchaguzi wa 2015 utakapopita,kwa hiyo pa kutokea hamtapata hakika.Mnadhani kwa kudanganya umma Shibuda atakuwa mwenyekiti chadema?? Mngekuwa wajanja msingemwambia Shibuda aanze na gia hiyo,ameshashtukiwa na siku si nyingi anarudishwa alikotoka.
Kumbuka mlitaka kutumia ujanja wa propaganda ili Dr Slaa apewe uenyekiti Chadema halafu mpandikize mtu wenu kwenye ukatibu mkuu ili iwe rahisi kuisambaratisha kama NCCR.Slaa ameshashtukia huo mchezo na sasa mwenyekiti ataendelea kuwa Mbowe mpaka kazi ya ukombozi itakapokamilika.........
Tusubiri tuone.

kumbe umeshamjua?Magamba ni wapuuzi sana.fukuzeni mafisadi wenu.achaneni nao makamanda wote wa chadema hamieni kwenye ile thread nyingine kule.kuna mchango mkali sana kuna mtu anapotosha watu kule na inaelekea ameshawishi wengi kwa sababu napata PM nyingi mno.twendeni kule tafadhali na nimemuomba moderator afunge ile thread lakini hawafungihttps://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/152109-zitto-kikwete-anataka-rais-ajaye-awe-kijana-kama-mimi.html
 
zitto kuutaka urais?haungwi mkono hakuna wabunge wanaomtaka hawana imani naye ndiyo maana tulitaka kumfukuza kule bagamoyo.hoja ya ujana na umri wa miaka 35 unapigiwa kampeni kwa nguvu zote kule na mmojwapo bila kuficha.hebu makamanda rudini kule muweke mambo sawa,mimi majukumu yamenibana.Wabunge wote vijana wamekasirika sana hatua hii ya zitto isipokuwa washirika wake ambao ni wabunge wasio na fadhila kwa chama na hawajui slaa na mbowe kakifikisha chama hapa kilipo
 
Mbowe ni mwenyekiti milele na anayempinga amepandikizwa na CCM, hakuna mtu yeyote duniani anayeweza kuwa mwenyekiti wa CDM hadi hapo mwenyewe atakapo amua kung'atuka. MBOWE ni mtu makini hawezi kukosea, hajawahi kukosea na wala hatokuja kukosea so nyie mlio tumwa jueni hivyo MBOWE will forever be CDM Chairman.
 
km hamjui yy yuko kimaslah zaidi na chunguza zaidi uone jinsi alivyoleta mgogoro kuhusu ruzuku,huyo ndo m.kiti wao cjui akiwa rais itakuwaje atakuwa fisad mara 100
Mbona magamba mnawatetea mafisadi hadi mjengoni? Mbowe sio size yenu hata kidogo.. Shame on you!
 
amiii mbona waleta taarabu atiiii, wewe si ulitaka kugombea chukua fomu amii acha longolongo za kimagamba atii.
huko visiwani hakuna upinzani baada ya ndoa ya mkeka na tunaomba mtuachie siasa zetu za bara kwani nasi tumewaachia siasa za maji taka visiwaniatii.
mbowe ni tobwe katika siasa zote na hata siasa za maisha yake ni mtihani, kama hujui utamu wa ndowa ya mkeka kamuulize samwel sitta, Werema, na Pinda kwanini Rasimu ya marekebisho ya kuundwa kwa tume ya Maoni ya Katiba ilishindwa kuwasilishwa Bungeni? ilizuwiwa na hao unaowaita majitaka, sio nyie mambumbumbu msio elekea kwa lolote nyuma pensli mbele hakujulikani.
 
usilete matusi hapa
Wengi tunaelewa ni kivipi ccm wameshindwa kuibomoa CDM kwa sababu ya Mbowe.
Mbowe usibadilike na kama ni ubabe ongeza manake umekifaa sana kiti cha uenyekiti CDM
 
zitto kuutaka urais?haungwi mkono hakuna wabunge wanaomtaka hawana imani naye ndiyo maana tulitaka kumfukuza kule bagamoyo.hoja ya ujana na umri wa miaka 35 unapigiwa kampeni kwa nguvu zote kule na mmojwapo bila kuficha.hebu makamanda rudini kule muweke mambo sawa,mimi majukumu yamenibana.Wabunge wote vijana wamekasirika sana hatua hii ya zitto isipokuwa washirika wake ambao ni wabunge wasio na fadhila kwa chama na hawajui slaa na mbowe kakifikisha chama hapa kilipo

kumbe umeshamjua?Magamba ni wapuuzi sana.fukuzeni mafisadi wenu.achaneni nao makamanda wote wa chadema hamieni kwenye ile thread nyingine kule.kuna mchango mkali sana kuna mtu anapotosha watu kule na inaelekea ameshawishi wengi kwa sababu napata PM nyingi mno.twendeni kule tafadhali na nimemuomba moderator afunge ile thread lakini hawafungihttps://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/152109-zitto-kikwete-anataka-rais-ajaye-awe-kijana-kama-mimi.html

mwanzoni nilianza kuamini wewe ni mbunge wetu, mnafiki mkubwa wewe na propaganda zako kafie mbele
 
takataka za ccm, ni takataka za watu wapuuzi na wajinga.................
273992_100001343780940_1295044_n.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom