Mbowe ndiye tatizo CHADEMA

km hamjui yy yuko kimaslah zaidi na chunguza zaidi uone jinsi alivyoleta mgogoro kuhusu ruzuku,huyo ndo m.kiti wao cjui akiwa rais itakuwaje atakuwa fisad mara 100

Kwa sasa hivi Mbowe ni fisadi mara ngapi?! Inamaana serikali ya Tanzania haichukui hatua kwa mafisadi?Mbona Mbowe anapeta mtaani.
 
wewe unafaa basi nenda kagombee.

Hizi ni hasira za mkizi,
Jamaa kasema ukweli, kwa kuwa hutaki kuusikia ndo maana unasema hivyo, lakini ni kweli mbowe hafai hata ujumbe wa nyumba kumi maana anaubinafisi mkubwa sana, tatizo watu wengi mnapenda kuwa washabiki tu wa watu ambao hamuwajui na kuwafahamu kwa undani.

Na kama hayo yangekuwa yamesemwa na mtu wa CCM.......!!
 
mti wenye matunda siku zote ndio unaopigwa mawe! hakuna kama mbowe!
 
Kwenye red na Nyekundu imekaaje hapo mkuu? Au ndio umbea wa kwenye vijiwe vya Kahawa na Kashata?

QUOTE=mkuki moyoni;2192130]Mbowe ndiye tatizo kwa cdm, mnaona jamaa anavyowamaliza wanaompinga, eti kisa anataka aendelee kufanya biashara ndani ya cdm, mnakumbuka magari yake analazimisha atuuzie, anawaondoa wote wanaomkosoa, anawatumia watu tu, wakishamfanikisha anawatupa kama cond..m,huyu jamaa hafai nasikia anataka kuggombea urais ndio maana anafanya mbwmbwe sana na kuwahujumu wenzake,mbowe huna sifa ya kuwa rais wa nchi hii, hata moshi mjini unayotaka ukagombee ubunge utaabika kabisa.

Unataka ww uwe juu tu kuliko wengine na huna uimara wa kufikiri, kumbuka ulivyoropoka kwenye bajeti baada ya kikao cha bunge, sikia ulivyoropoka kuhusu madiwani arusha, halafu leo unakuja na ujinga wa kuwakana, nimeongea na wanachama wengi sana wamenipa huu ujumbe nikupe, kama ukimeza wembe umezs tu, hasa huku visiwani hutakiwi kuja kabisa shaurilo ukijipendekeza utaokona.
haya kwa uchaguzi wa cdm 2013 labda uuairishe eti, vinginevyo utaanguka na utashangaa.

Tunamkumbuka chacha wangwe sana, tunammis sana msema ukweli wetu sie, kwa nini unagombana na kila mtume ajaye cdm akiwa hakubaliani na wewe mbaba? wewe ni tatizo.[/QUOTE]
 
kama ni kuhusu shibuda kwani anafukuzwa na nani? Huyu mkuki hivi haoni kama shibuda anjifukuza mwenyewe? kama huko kwenu magamba hamna maadili basi msituletee mamluki cdm
 
Wasio jua historia ya Chama ch Chadema ndiyo wao babwaja hapa .Mbowe ana andamwa kwa sababu za kijinga san .Waleta mada hawana hoja wana vioja hawa .Chadema si CUF au TLP .Watu wamefanya kazi sana na akina Shibuda wamekuja Chama kikiwa na hadhi .Mtasema yote hadi kusema chama cha ukoo , Ukatoliki nk lakini ndiyo mkuki mkali kwa CCM na watanzania wamesha amka vibaya mno .
 
There are currently 57 users browsing this thread. (18 members and 39 guests)
hao wasomi hapo kwenye Red si watoe maoni yao kuhusu hii thread?nimewaona hapo muda wote.wana maslahi gani na haya yaliyoandikwa mbona hawakitetei chama kama sisi? wanachekelea tu haya yaliyoandikwa kwa sababu yanawasaidia yanawabeba kiaina.toeni maoni yenu kuhusu hili
 
Nasema ndani ya ccm hakuna mtu makini hata mmjoa, hata mada zao humu JF , ni porojo nyepesi sana, zinazorudia porojo zilezile ambazo Tambwe Hiza, Nape, MAKAMBA, hawakufanikiwa lolote...nasema CCM inaukosefu wa watu muhimu, mambo muhimu na ni genge la watu rojorojo kifikra.
 
Jamani mimi sikujua kuwa hata moderator wetu wanaside upande fulani wa kisiasa hasa linapokuja suala vyama.
maana hapa zimetumwa threads zenye maandishi ya kijani, wala hatukuziona hewani, hiii ikanihakikishia kuwa jf ni ya CDM,

tuna wasi wasi hata hii itafutwa baada ya muda mfupi ujao....!
hongera mr moderator wa jf kwa kumonita na kuzikanselia mbali threads kutoka chama kisichokuhusu na usichokipenda...!!
 
Mtoa mada ungebadili na uiweke namna hii " Kikwete ndiye tatizo CCM" nafikiri ingependeza zaidi hasa kuwa na wingo mpana kwa wachangiaji.
 
Jamani mimi sikujua kuwa hata moderator wetu wanaside upande fulani wa kisiasa hasa linapokuja suala vyama.
maana hapa zimetumwa threads zenye maandishi ya kijani, wala hatukuziona hewani, hiii ikanihakikishia kuwa jf ni ya CDM,

tuna wasi wasi hata hii itafutwa baada ya muda mfupi ujao....!
hongera mr moderator wa jf kwa kumonita na kuzikanselia mbali threads kutoka chama kisichokuhusu na usichokipenda...!!

Mbona suala hili lilisha julikana siku nyingi sana,kuna mods wa chama fulani humu ukisema ukweli tu wa chama chao kwanza wanawasiliana na makao makuu halafu kwishney.
Na ndio maana unaona thread haikui kama mtoto wa mwenye kwashiokor.
Isipokuwa kukiuka kanunu za JF, mods acheni upupu ,pumba na mchele vinawiri uwanjani.
 
Mchango wa Mbowe usingekuwepo Chadema isingefika hapa ilipo! Chadema bila mbowe si kitu, Mbowe kaifanyia mengi chadema, always amekua akiitakia mema chadema, yupo kwa ajili ya chadema! Humu Jf wachonganishi mmekua wengi sana!

Basi tubadili jina kiitwe Chama cha Mbowe (CCM)
 
Mbowe ndiye tatizo kwa cdm, mnaona jamaa anavyowamaliza wanaompinga, eti kisa anataka aendelee kufanya biashara ndani ya cdm, mnakumbuka magari yake analazimisha atuuzie, anawaondoa wote wanaomkosoa, anawatumia watu tu, wakishamfanikisha anawatupa kama cond..m,huyu jamaa hafai nasikia anataka kuggombea urais ndio maana anafanya mbwmbwe sana na kuwahujumu wenzake,mbowe huna sifa ya kuwa rais wa nchi hii, hata moshi mjini unayotaka ukagombee ubunge utaabika kabisa.

Unataka ww uwe juu tu kuliko wengine na huna uimara wa kufikiri, kumbuka ulivyoropoka kwenye bajeti baada ya kikao cha bunge, sikia ulivyoropoka kuhusu madiwani arusha, halafu leo unakuja na ujinga wa kuwakana, nimeongea na wanachama wengi sana wamenipa huu ujumbe nikupe, kama ukimeza wembe umezs tu, hasa huku visiwani hutakiwi kuja kabisa shaurilo ukijipendekeza utaokona.
haya kwa uchaguzi wa cdm 2013 labda uuairishe eti, vinginevyo utaanguka na utashangaa.

Tunamkumbuka chacha wangwe sana, tunammis sana msema ukweli wetu sie, kwa nini unagombana na kila mtume ajaye cdm akiwa hakubaliani na wewe mbaba? wewe ni tatizo.

Unaonaje ukawa na AVATAR?........Nakupa hii.......

Spear_Through_The_Heart_by_doodles18.jpg
 
Shida yako ni ndogo sana acha papara,kukurupuka ,hasira, tulia jifunza, dadisi utamkubali tu Mbowe kuwa ni kiongozi makini.
 
sisi wenye chama tunakukemea ushindwe mfululizo, hata mje mia moja hamtatuyumbisha, bila shaka utakuwa ni mmoja wa waliokatwa katika uchaguzi. Nenda kwenye chama chenu mkajivue magamba.
 
Mbowe ndiye tatizo kwa cdm, mnaona jamaa anavyowamaliza wanaompinga, eti kisa anataka aendelee kufanya biashara ndani ya cdm, mnakumbuka magari yake analazimisha atuuzie, anawaondoa wote wanaomkosoa, anawatumia watu tu, wakishamfanikisha anawatupa kama cond..m,huyu jamaa hafai nasikia anataka kuggombea urais ndio maana anafanya mbwmbwe sana na kuwahujumu wenzake,mbowe huna sifa ya kuwa rais wa nchi hii, hata moshi mjini unayotaka ukagombee ubunge utaabika kabisa.

Unataka ww uwe juu tu kuliko wengine na huna uimara wa kufikiri, kumbuka ulivyoropoka kwenye bajeti baada ya kikao cha bunge, sikia ulivyoropoka kuhusu madiwani arusha, halafu leo unakuja na ujinga wa kuwakana, nimeongea na wanachama wengi sana wamenipa huu ujumbe nikupe, kama ukimeza wembe umezs tu, hasa huku visiwani hutakiwi kuja kabisa shaurilo ukijipendekeza utaokona.
haya kwa uchaguzi wa cdm 2013 labda uuairishe eti, vinginevyo utaanguka na utashangaa.

Tunamkumbuka chacha wangwe sana, tunammis sana msema ukweli wetu sie, kwa nini unagombana na kila mtume ajaye cdm akiwa hakubaliani na wewe mbaba? wewe ni tatizo.

Nepi nnaule amekulipa posho kiasi gani?
Wewe ndiye kilaza original. CDM hawako kama wewe.
Haya mbio mfuate aliyekutuma rudisha pochi umeshindwa kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom