Mbowe ndiye tatizo CHADEMA

mbowe ni tobwe katika siasa zote na hata siasa za maisha yake ni mtihani, kama hujui utamu wa ndowa ya mkeka kamuulize samwel sitta, Werema, na Pinda kwanini Rasimu ya marekebisho ya kuundwa kwa tume ya Maoni ya Katiba ilishindwa kuwasilishwa Bungeni? ilizuwiwa na hao unaowaita majitaka, sio nyie mambumbumbu msio elekea kwa lolote nyuma pensli mbele hakujulikani.
amii kumbe mpo wengi humuu,sio mbaya kwani hili ni jamvi la wote ila na wee mbona hueleweki atii
babu yako sheikh karume ailisainishwa muungano mchana kweupe ndani ya nusu saa na mtoto wa mjini jk wa ukweli.
sasa hapo mtasema nyie wana siasa?cuf hao weshaliwa nao mchana kweupe sasa wale ndugu zenu waliouawa kumbe ilikuwa ni hamad apate umakamu wa rais?
kweli karafuu zinaharibu kichwa njoo bara usafishe kicwa na kahawa na zabibu yakheeee..
 
Hizi ni hasira za mkizi,
Jamaa kasema ukweli, kwa kuwa hutaki kuusikia ndo maana unasema hivyo, lakini ni kweli mbowe hafai hata ujumbe wa nyumba kumi maana anaubinafisi mkubwa sana, tatizo watu wengi mnapenda kuwa washabiki tu wa watu ambao hamuwajui na kuwafahamu kwa undani.

Na kama hayo yangekuwa yamesemwa na mtu wa CCM.......!!
ni mbinafsi kuliko nani ndani ya ccm?
we umelogwa si bure ,ushabiki mwingine sijui ni wa kichawi?
 
Jamani mimi sikujua kuwa hata moderator wetu wanaside upande fulani wa kisiasa hasa linapokuja suala vyama.
maana hapa zimetumwa threads zenye maandishi ya kijani, wala hatukuziona hewani, hiii ikanihakikishia kuwa jf ni ya CDM,

tuna wasi wasi hata hii itafutwa baada ya muda mfupi ujao....!
hongera mr moderator wa jf kwa kumonita na kuzikanselia mbali threads kutoka chama kisichokuhusu na usichokipenda...!!
usiseme wana cdm sema hata mods kumbe wana uchungu na nchi?
kwa taarifa yako ccm wamebaki na pangu pakavu tia mchuzi na mafisadi kwa hiyo jitizame utajua wewe upo kundi gani ndani ya ccm.
njaa zitakuuwa dogo
 
Umetumwa na NAPE wewe,hatuna mwanachama tahira kama wewe,MBOWE ni mwamba ndani ya chadema,mamluki hamna nafasi ndani ya CHADEMA,Kama mmetumwa na watu wa MAGAMBA imekula kwenu,sisi sasahivi tunafanya kazi usiku na mchana kwa ajiri ya chama huko vijijini kufungua matawi na na kujua na wanachama wapya.
 
Mbowe ni share holder wa Chadema. kama mtu anataka zaidi basi aweke share kubwa kumpita yeye sio maneno maneno.
 
Mbowe ndiye tatizo kwa cdm, mnaona jamaa anavyowamaliza wanaompinga, eti kisa anataka aendelee kufanya biashara ndani ya cdm, mnakumbuka magari yake analazimisha atuuzie, anawaondoa wote wanaomkosoa, anawatumia watu tu, wakishamfanikisha anawatupa kama cond..m,huyu jamaa hafai nasikia anataka kuggombea urais ndio maana anafanya mbwmbwe sana na kuwahujumu wenzake,mbowe huna sifa ya kuwa rais wa nchi hii, hata moshi mjini unayotaka ukagombee ubunge utaabika kabisa.

Unataka ww uwe juu tu kuliko wengine na huna uimara wa kufikiri, kumbuka ulivyoropoka kwenye bajeti baada ya kikao cha bunge, sikia ulivyoropoka kuhusu madiwani arusha, halafu leo unakuja na ujinga wa kuwakana, nimeongea na wanachama wengi sana wamenipa huu ujumbe nikupe, kama ukimeza wembe umezs tu, hasa huku visiwani hutakiwi kuja kabisa shaurilo ukijipendekeza utaokona.
haya kwa uchaguzi wa cdm 2013 labda uuairishe eti, vinginevyo utaanguka na utashangaa.

Tunamkumbuka chacha wangwe sana, tunammis sana msema ukweli wetu sie, kwa nini unagombana na kila mtume ajaye cdm akiwa hakubaliani na wewe mbaba? wewe ni tatizo.

Mimi nakushauri utoe kwanza huo mkuki moyoni. Maana hayo maumivu unayoyapata inaelekea ni makali mpaka unaweweseka. Mmeiba, mmeiba, mmeiba na magamba yamekataa kung'oka. Sasa mmeamua kuiba mataulo na vijiko mahotelini. Bado mtaiba mpaka nanihii zenu.
 
kIKWETE ndiye tatizo ndani ya TANZANIA na CCM kwa udini wake kuweka usalama wa TAIFA WAISLAM,na mawaziri wakubwa waislam,kaifanya CCM kuwa ya waislam ambao wanatumiwa bila kujijua.
 
Tatizo ndugu zetu wa visiwani wanasiasa changa sasa kama humtak mbowe unataka uwe wewe? mnataka viongozi ambao wana hulka za tikiti ambao hawana kauli. na hawawez kufanya maamuzi!
 
Tatizo la Mbowe ni lipi umejigonga gonga tu...mara anataka ubunge moshi mjini mara uraisi we Mrs ... jipange
 
Mbowe ni kiongozi shupavu asiyeyumbishwa na vilaza kama magamba.isingekuwa uongozi madhubuti wa kamanda mbowe cdm isingekuwa ilivo leo.Mbowe alitumia hela na muda mwingi kuvumbua makamanda wapambanaji na kuwashawishi wajumuishe nguvu zao ktk cdm.Nenda kawaambie wanamagamba wenzako kwamba mmechelewa.
 
Mbowe ndiye tatizo kwa cdm, mnaona jamaa anavyowamaliza wanaompinga, eti kisa anataka aendelee kufanya biashara ndani ya cdm, mnakumbuka magari yake analazimisha atuuzie, anawaondoa wote wanaomkosoa, anawatumia watu tu, wakishamfanikisha anawatupa kama cond..m,huyu jamaa hafai nasikia anataka kuggombea urais ndio maana anafanya mbwmbwe sana na kuwahujumu wenzake,mbowe huna sifa ya kuwa rais wa nchi hii, hata moshi mjini unayotaka ukagombee ubunge utaabika kabisa.

Unataka ww uwe juu tu kuliko wengine na huna uimara wa kufikiri, kumbuka ulivyoropoka kwenye bajeti baada ya kikao cha bunge, sikia ulivyoropoka kuhusu madiwani arusha, halafu leo unakuja na ujinga wa kuwakana, nimeongea na wanachama wengi sana wamenipa huu ujumbe nikupe, kama ukimeza wembe umezs tu, hasa huku visiwani hutakiwi kuja kabisa shaurilo ukijipendekeza utaokona.
haya kwa uchaguzi wa cdm 2013 labda uuairishe eti, vinginevyo utaanguka na utashangaa.

Tunamkumbuka chacha wangwe sana, tunammis sana msema ukweli wetu sie, kwa nini unagombana na kila mtume ajaye cdm akiwa hakubaliani na wewe mbaba? wewe ni tatizo.

Wewe ni tatizo kubwa katika hii nchi.................toa uharo wako hapa...
 
Nina mashaka na ma great thinker wa humu ndani.... ivi si hata baba wa taifa alikataza biashara na siasa.. sasa iweje watu wengi humu ndani wasimpongeze huyu jamaa kwa hii very good post.. Mbowe ni mfanya biashara... hatufaii.. watu mnakuwaje vipofu namna hii...
 
Magamba hawana jipya wameshindwa kuivuruga chadema kwasababu CHADEMA ina watu makini kama MBOWE,BIG UP MBOWE,We respect you.
 
Nina mashaka na ma great thinker wa humu ndani.... ivi si hata baba wa taifa alikataza biashara na siasa.. sasa iweje watu wengi humu ndani wasimpongeze huyu jamaa kwa hii very good post.. Mbowe ni mfanya biashara... hatufaii.. watu mnakuwaje vipofu namna hii...
Naona unawaza kwa kutumia makamasi badala ya ubongo,haya nenda kachukue posho kwa NAPE.
 
Pathetic!!
Hatuna haja ya kujiuliza great thinker ni yupi na msukuma kikokoteni ni yupi kati ya hizi posts
 
zitto kuutaka urais?haungwi mkono hakuna wabunge wanaomtaka hawana imani naye ndiyo maana tulitaka kumfukuza kule bagamoyo.hoja ya ujana na umri wa miaka 35 unapigiwa kampeni kwa nguvu zote kule na mmojwapo bila kuficha.hebu makamanda rudini kule muweke mambo sawa,mimi majukumu yamenibana.Wabunge wote vijana wamekasirika sana hatua hii ya zitto isipokuwa washirika wake ambao ni wabunge wasio na fadhila kwa chama na hawajui slaa na mbowe kakifikisha chama hapa kilipo
eti miss parliament/ Regia
kwa hiyo regia wewe ni nani mpaka uwaamuru watu wahamie kule, kumbe upo humu kwa kazi kama mtumwa wa watu fulani , au unaposema fadhila kwa mbowe na slaa inamaana chama ni kampuni ya mtu, kwa hiyo kama wamekisaidia chama unataka hata wakiwa wanafanya ujinga waachwe tu kwa kuwa wamekifikisha cdm hapa, au kwa kuwa umepewa ubunge viti maalum kwa fadhila ndio maana unalipafadhila sio kosa lako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom