Mbowe na Lema ni hatari kwa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Mtandao ambao mbowe anaujenga na wenzake unaoonyesha busara ndogo za mbowe na umesababisha vitendo vya sirisiri ndani ya chadema dhidi ya watu fulani, hii haijengi umoja ndani ya chama.

Busara ndogo za mbowe zinaonekana pale anapofikiria vitendo na maneno ya godbless lema yatakuwa siku zote kwa masilahi ya chadema kwasababu tu ni mmachame mwenzie.

Tukumbuke ni lema huyo huyo ndiye aliyekuja chuo kukuu cha dodoma na kutuhonga ( kutupa rushwa) ili tuandamane kupinga shibuda kuonyesha mtazamo tofauti ndani ya bunge, bahati nzuri wanafunzi wenzetu ambao hawakupata hela walikuwa wakali dhidi ya hili.

Bila ya shaka lema alifanya kitendo hiki bila ya kuwa na upeo wa kujuwa kwamba kinaweza kuchafua jina la chadema na kuharibu umoja ndani na nje ya chama.

Chuo kikuu cha dodoma kina watu wakabila mbalimbali, asifikirie wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma wanaamini mtu ambaye anaweza kutetea masilahi yao ni yule ambaye kazi yake nikusema ndio bwana mkubwa kwa mbowe.

Mimi binafsi naweka imani yangu kwa mwanasiasa mwenye mawazo huru na ambaye hawezi kuburuzwa na mtu au kundi lolote. Najiuliza je hawa watu washawahi kusikia kuhusu joe lieberman wa democratic party aliyeenda kuhutubia katika mkutano wa kuzindua kampeni za republican party na kumpinga mgombea wa chama chake(obama wa democratic party).

Labda mbowe kuna kitu anatakiwa kujifunza kutoka kwa obama au democratic party; obama anaelewa pale kura za chama chake hazitoshi ndani ya bunge mtu ambaye anaweza kumtumia kupata kura za wabunge wa republican ni joe lieberman(shibuda), kwasababu ameonekana mawazo yake yako huru.

Kama kuna mtu yoyote ndani ya chadema ambaye anaweza kushawishi wabunge wa ccm wapige kura za ndio kwajambo ambalo chadema wanataka, basi mtu huyo ni shibuda.

Watu wa shinyanga wametumia uhuru wao vizuri kuchagua mtu ambaye wanamtaka, lakini kuna watu wachache (mbowe na lema) wanataka kuwachagulia watu wa shinyanga kiongozi ambaye kazi yake itakuwa ni kujipendekeza kwa mbowe.

Watu wa shinyanga wanajuwa shibuda anavyojitolea hasa ukizingatia chadema sio chama chenye uwezo kifedha. Tumemuona akitumia muda na hela binafsi kutatua matatizo ya watu wa maswa, iwe siasa (uchaguzi) au uchumi; hapa nazungumzia juhudi binafsi sio za chadema.

Umefika wakati wa kukubali ukweli kwamba mbowe hana sifa wala busara za kujenga chadema imara, bora achaguliwe mtu mwingine (dr. Slaa).

Tukumbuke ukiwa ndani ya chadema sio maana yake wewe sio fisadi, sio maana yake wewe ni msafi. Ukichunguza historia ya mbowe au lema unaweza ukakuta hawana tofauti na rostam azizi.

Lazima tuwe makini nani tunampa madaraka ya kutuongoza. Tusiwape watu ambao wanatafuta nafasi za kufanya ufisadi. Mmesikia kuhusu ufisadi wa magari mitumba chadema.

Imekaa kiumbea zaidi,jifunza kuandika kama great thinker,vinginevyo utapaona hapakufai
 
kweli mkuu hawa watu ni hatari. Ndo maana hata sirikali imefyata mkia baada ya kuwaona hawa! Nchi yetu inataka watu hatari kama hawa ili ikombolewe kutoka kwa wakoloni mamboleo wa rejareja!
 
ok ok,kumbe sikuelewa vizuri. We wa kusoma ehe! Ok. Mawazo ya kishule shule aya. Kasome sup tunawaletea za sem.II tukutane sept dogo ukafanye sup,toa utoto wako apa!
 
Chadema sio ya Mbowe wala Lema ni chama cha wapambanaji walodhamilia kuikomboa Tanzania. Nyerere alianzisha chama hayupo leo lakini chama kipo. Kwa hiyo usifikiri kitakufa. Hata viongozi waliopo leo waondoke kitadumu kuwa tishio.

Mlianza ni chama cha familia - kikavuka kikwazo hicho
Mkasema ni chama cha kikabila - Chadema ikavuka kikwazo
Mkasema ni cha kikanda (Aruaha+Moshi) - Sasa hivi kanda ya ziwa CCM haina chake
Mkasema ni cha udini - Chadema imevuka kikwazo
Oh mara ni chama cha Vurugu - Watanzania tunakiamini
Sasa Mkama amekuja na mpya eti chadema ni cha IMF
Mwisho wa yote mtakiri kuwa ni chama cha watanzania wote.
 
Ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko ccm -magamba kuwatosa magamba wenzao
nape, chiligati, na mkulu siku ile walitoka kwa mbwembwe sasa wananywea wenyewe hivi hawakujua kwamba mapacha watatu ndio walioshikiria ccm na ndio wanoendesha serikali ya kimtandao? Tofauti na chadema na slaa hakuna mtu mwingine mwenye ubavu wa kumtosa chenge anajua madudu mengi ten years as ag. Tofauti na chadema na slaa dr wa ukweli hakuna mwingine anaweza kumtosa mzee wmenye mvi amekamata kila kona ya ccm watavua wapi waache wapi? Amekamata hadi spika -kila konaaaaaaa ni mjanja huyu isipokuwa kwa chadema tu na dr slaa ndio maana alisema ccm iangalie sana arusha, tofauti na chadema na dr slaa nani anaweza kumnyoshea roast ni gwiji la magamba anajua kila kila kona akiguswa tu anafungulia -nape ajifunze sasa ataanza kuchukua chake mapema na kuanza kuwapamba. Kifo cha ccm hicho mbele pachungu nyuma pachungu waende wapi??????? Let them dissolve the party.
 
Hisia zitatufikisha wapi? Siasa chafu na fitina ni silaha ya wanasiasa Dhaifu.
Some Political jobbers have chosen to walk the path of dishonour and character assassination, so long as it will put food on their table.

I believe that Public office is a pedestal for a good Leader to use his/her strength of character to add value to the office by serving the people he meant to serve and giving glory to our Creator.

Anyone who use devide and rule with tribal bashes,doesnt factor in the Equation of Radical reforms/changes.
I went through the posters intent and was disappointed that all he could do was to insuniate and inciting verbal war on the tribes instead of focusing on the issues
The first thing is to admit that you have a problem.Second,why will mr.Lema pay students to boycott Shibuda?...?
And lastly,Lake zoners are culturally communal farmers,small scale miners and fisherman whilst my uncles up north are traditionally private,they believe in private ownership of land and other resources,thats just the truth.
CDM was not really meant to be a socialistc party,something that most lake zoners fail to understand.
 
Sina shaka utamaliza chuo na GPA nzuri. Nina shaka na utalinufaisha taifa hili kwa namna gani. Wakati ukithibitisha kuwa Joe Lieberman wa Democratic ana mawazo tofauti na wenzake ndani ya Democratic, unazuia Lema au Mbowe kuwa na mawazo tofauti na Shibuda. Kuwa katika chama kimoja haimaanishi kuwa unakubaliana na kila mtu na kila kitu kwa ujumla wote.

Party members are indviduals with different aspirations, personalities, abilities, capabilities. Ndio maana kuna Samwel Sitta, Ana Kilango, na wengine ndani ya MAGAMBA wanapinga mambo fulani. Selelii, Shibuda, Dr. Slaa, Dr. Kahigi ni victims wa kuipinga CCM (Magamba) wakiwa ndani yake. Kwanini unashangaa Lema na Mbowe kupingana na Shibuda????

Sharpen you analytical skills, otherwise spend less time making references you can hardly explain and defend!!!
 
The first thing is to admit that you have a problem.Second,why will mr.Lema pay students to boycott Shibuda?...?
And lastly,Lake zoners are culturally communal farmers,small scale miners and fisherman whilst my uncles up north are traditionally private,they believe in private ownership of land and other resources,thats just the truth.
CDM was not really meant to be a socialistc party,something that most lake zoners fail to understand.

eeh! I dont have any problem

Secondly,are you sure that Mr.Lema bribed them?Pls do research and Credibility a favour,substantaite your claims

Thirdly,Socialist party? Chadema is a center party,find out what does it mean if you really care.Thank you
 
Mtandao ambao mbowe anaujenga na wenzake unaoonyesha busara ndogo za mbowe na umesababisha vitendo vya sirisiri ndani ya chadema dhidi ya watu fulani, hii haijengi umoja ndani ya chama.

Busara ndogo za mbowe zinaonekana pale anapofikiria vitendo na maneno ya godbless lema yatakuwa siku zote kwa masilahi ya chadema kwasababu tu ni mmachame mwenzie.

Tukumbuke ni lema huyo huyo ndiye aliyekuja chuo kukuu cha dodoma na kutuhonga ( kutupa rushwa) ili tuandamane kupinga shibuda kuonyesha mtazamo tofauti ndani ya bunge, bahati nzuri wanafunzi wenzetu ambao hawakupata hela walikuwa wakali dhidi ya hili.

Bila ya shaka lema alifanya kitendo hiki bila ya kuwa na upeo wa kujuwa kwamba kinaweza kuchafua jina la chadema na kuharibu umoja ndani na nje ya chama.

Chuo kikuu cha dodoma kina watu wakabila mbalimbali, asifikirie wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma wanaamini mtu ambaye anaweza kutetea masilahi yao ni yule ambaye kazi yake nikusema ndio bwana mkubwa kwa mbowe.

Mimi binafsi naweka imani yangu kwa mwanasiasa mwenye mawazo huru na ambaye hawezi kuburuzwa na mtu au kundi lolote. Najiuliza je hawa watu washawahi kusikia kuhusu joe lieberman wa democratic party aliyeenda kuhutubia katika mkutano wa kuzindua kampeni za republican party na kumpinga mgombea wa chama chake(obama wa democratic party).

Labda mbowe kuna kitu anatakiwa kujifunza kutoka kwa obama au democratic party; obama anaelewa pale kura za chama chake hazitoshi ndani ya bunge mtu ambaye anaweza kumtumia kupata kura za wabunge wa republican ni joe lieberman(shibuda), kwasababu ameonekana mawazo yake yako huru.

Kama kuna mtu yoyote ndani ya chadema ambaye anaweza kushawishi wabunge wa ccm wapige kura za ndio kwajambo ambalo chadema wanataka, basi mtu huyo ni shibuda.

Watu wa shinyanga wametumia uhuru wao vizuri kuchagua mtu ambaye wanamtaka, lakini kuna watu wachache (mbowe na lema) wanataka kuwachagulia watu wa shinyanga kiongozi ambaye kazi yake itakuwa ni kujipendekeza kwa mbowe.

Watu wa shinyanga wanajuwa shibuda anavyojitolea hasa ukizingatia chadema sio chama chenye uwezo kifedha. Tumemuona akitumia muda na hela binafsi kutatua matatizo ya watu wa maswa, iwe siasa (uchaguzi) au uchumi; hapa nazungumzia juhudi binafsi sio za chadema.

Umefika wakati wa kukubali ukweli kwamba mbowe hana sifa wala busara za kujenga chadema imara, bora achaguliwe mtu mwingine (dr. Slaa).

Tukumbuke ukiwa ndani ya chadema sio maana yake wewe sio fisadi, sio maana yake wewe ni msafi. Ukichunguza historia ya mbowe au lema unaweza ukakuta hawana tofauti na rostam azizi.

Lazima tuwe makini nani tunampa madaraka ya kutuongoza. Tusiwape watu ambao wanatafuta nafasi za kufanya ufisadi. Mmesikia kuhusu ufisadi wa magari mitumba chadema.
Peter mkali,

i was very enthusiastic to read your post lakini baada ya para moja tu nikajua ndio walewale... kwanza kabisa umekubali kwamba umekula rushwa/umepokea hongo..... mtu kama tayari ni hatari sana kwa taifa, ni bora ungekataa na kuripoti

sisomi tena hii habari na nashauri wanaJF wa kweli wapishe hii najisi humu ndani
 
re: Mbowe na Lema ni hatari kwa CHADEMA
vyama vya msimu vinatuumiza kichwa! HEBU KAMALIZIENI MAGAMBA YENU ACHENI UJINGA WENU! HV MWENYEAKILI CCM NI NAPE PEKEYAKE WENGINE PUMBA TUU!
mnh! hapa nd' home of great thinker! mimi nashangaa kitu kimoja wapendwa, hivi humu ha2ruhusiwi kuongelea isue ya chadema... maana mtu kaleta mada lakini cha ajabu mnamshambulia kwa maneno ya ghadhabu! mimi nadhani 2natakiwa kuongea vitu ambavyo vinaigusa jamiii yetu na siyo kuipotosha jamii kwa kubeza upande mmoja wa shilingi. Tusilazimishe kukisafisha kitu ambacho cyo kisafi ili imradi tu jamii ikione kizuri....! kuna kipindi fulani watu fulani walipga vuvuzela sana hapa kuhusu hii CCJ lakini mwishoni wakapotea ghafla! Mabadiliko hayaletwi na chama fulani, mabadiliko yanaletwa na Mimi na ww! huyo Mbowe ana usafi gani kama cyo kulinda maslahi ya biashara zake tu! Max aliwai kusema hivi. "The English have all the material requisites for the revolution. What they lack is the spirit of generalization and revolutionary ardour."
 
haya bwana hapa kuna ishu mbili kuna watu wanamsupport zitto then wanampinga lema na wengine wanamsupport lema na wanampinga zitto.

kwa upande wangu lema yuko sahihi kusimamia anachosema tuwe makini na watu waoga na mamluki wasije wakaharibu chama,nimeshangaa kusikia udom walipewa fedha kwa akili ya haraka huwezi gawa fedha kwa wanafunzi wakafanya kitu kilichopo ni kwamba walishawishiwa na wakakubali, lema anajijenga vizuri kwa kupambana kila mkoa

nawatakia heri wanachama wote wa chadema amani na upendo

Amina mkuu.
 
CCM tuwaenzi Jk,EL,RA,CHEGE,MUKAMA etc,ni wazuri wanatufaa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Tukumbuke ni lema huyo huyo ndiye aliyekuja chuo kukuu cha dodoma na kutuhonga ( kutupa rushwa) ili tuandamane kupinga shibuda kuonyesha mtazamo tofauti ndani ya bunge, bahati nzuri wanafunzi wenzetu ambao hawakupata hela walikuwa wakali dhidi ya hili.
Kwa hiyo wewe Ulinunuliwa na Lema

Bila ya shaka lema alifanya kitendo hiki bila ya kuwa na upeo wa kujuwa kwamba kinaweza kuchafua jina la chadema na kuharibu umoja ndani na nje ya chama.
Na wewe ukala pesa bila kujua kwamba inakunyang'anya Uhuru wako na Fikra kama Msomi mwenye " Upeo" Mkubwa sasa sijui wewe ulikuwa na "Upeo" gani wakati unahongwa

Mimi binafsi naweka imani yangu kwa mwanasiasa mwenye mawazo huru na ambaye hawezi kuburuzwa na mtu au kundi lolote.
Kama umeweza kuburuzwa na Pesa Uhuru wa Mawazo yako uko Wapi?

Mkuu Kajipange Sawa Sawa Mwambie Mukama Kazi aliyokupa hapa iko juu ya Uwezo wako
 
eeh! I dont have any problem

Secondly,are you sure that Mr.Lema bribed them?Pls do research and Credibility a favour,substantaite your claims

Thirdly,Socialist party? Chadema is a center party,find out what does it mean if you really care.Thank you
Not you!...ur party.
secondly, there's no better source than my lil cousin that got bribed...we all know tha game!
Thirdly,it's called CENTRIST.And I know what that means(Armophous,irresponsible and Menshevik philosophy)....but the mass that you are trying to CAPTURE believes that you are socialist,your manifesto is socialistic and naturally most Tanzanians like socialism.
Honestly,centrist parties dont have a philosophy!
 
Tukumbuke ni lema huyo huyo ndiye aliyekuja chuo kukuu cha dodoma na kutuhonga ( kutupa rushwa) ili tuandamane kupinga shibuda kuonyesha mtazamo tofauti ndani ya bunge, bahati nzuri wanafunzi wenzetu ambao hawakupata hela walikuwa wakali dhidi ya hili.

Huyu PETERMKALI yawezekana siyo Mwanafunzi wa UDOM bali ni mfagiaji wa pale Chuo asiye na upeo wa kudadavua mambo. Hivi yawezekanaje Lema atoe rushwa ya pesa ili apate nini ikiwa wanafunzi wataandamana kwa suala la Shibuda?
 
Mbowe na Lema ni safi sana kwa uhai wa Chama. Hisia zako ndo zina matatizo.
 
Mtandao ambao mbowe anaujenga na wenzake unaoonyesha busara ndogo za mbowe na umesababisha vitendo vya sirisiri ndani ya chadema dhidi ya watu fulani, hii haijengi umoja ndani ya chama.

Busara ndogo za mbowe zinaonekana pale anapofikiria vitendo na maneno ya godbless lema yatakuwa siku zote kwa masilahi ya chadema kwasababu tu ni mmachame mwenzie.

Tukumbuke ni lema huyo huyo ndiye aliyekuja chuo kukuu cha dodoma na kutuhonga ( kutupa rushwa) ili tuandamane kupinga shibuda kuonyesha mtazamo tofauti ndani ya bunge, bahati nzuri wanafunzi wenzetu ambao hawakupata hela walikuwa wakali dhidi ya hili.

Bila ya shaka lema alifanya kitendo hiki bila ya kuwa na upeo wa kujuwa kwamba kinaweza kuchafua jina la chadema na kuharibu umoja ndani na nje ya chama.

Chuo kikuu cha dodoma kina watu wakabila mbalimbali, asifikirie wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma wanaamini mtu ambaye anaweza kutetea masilahi yao ni yule ambaye kazi yake nikusema ndio bwana mkubwa kwa mbowe.

Mimi binafsi naweka imani yangu kwa mwanasiasa mwenye mawazo huru na ambaye hawezi kuburuzwa na mtu au kundi lolote. Najiuliza je hawa watu washawahi kusikia kuhusu joe lieberman wa democratic party aliyeenda kuhutubia katika mkutano wa kuzindua kampeni za republican party na kumpinga mgombea wa chama chake(obama wa democratic party).

Labda mbowe kuna kitu anatakiwa kujifunza kutoka kwa obama au democratic party; obama anaelewa pale kura za chama chake hazitoshi ndani ya bunge mtu ambaye anaweza kumtumia kupata kura za wabunge wa republican ni joe lieberman(shibuda), kwasababu ameonekana mawazo yake yako huru.

Kama kuna mtu yoyote ndani ya chadema ambaye anaweza kushawishi wabunge wa ccm wapige kura za ndio kwajambo ambalo chadema wanataka, basi mtu huyo ni shibuda.

Watu wa shinyanga wametumia uhuru wao vizuri kuchagua mtu ambaye wanamtaka, lakini kuna watu wachache (mbowe na lema) wanataka kuwachagulia watu wa shinyanga kiongozi ambaye kazi yake itakuwa ni kujipendekeza kwa mbowe.

Watu wa shinyanga wanajuwa shibuda anavyojitolea hasa ukizingatia chadema sio chama chenye uwezo kifedha. Tumemuona akitumia muda na hela binafsi kutatua matatizo ya watu wa maswa, iwe siasa (uchaguzi) au uchumi; hapa nazungumzia juhudi binafsi sio za chadema.

Umefika wakati wa kukubali ukweli kwamba mbowe hana sifa wala busara za kujenga chadema imara, bora achaguliwe mtu mwingine (dr. Slaa).

Tukumbuke ukiwa ndani ya chadema sio maana yake wewe sio fisadi, sio maana yake wewe ni msafi. Ukichunguza historia ya mbowe au lema unaweza ukakuta hawana tofauti na rostam azizi.

Lazima tuwe makini nani tunampa madaraka ya kutuongoza. Tusiwape watu ambao wanatafuta nafasi za kufanya ufisadi. Mmesikia kuhusu ufisadi wa magari mitumba chadema.

Dah ungesubiri hata kawiki kapite tungekuamini kuwa haujatumwa na magamba!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom