Mbowe na Lema mbona mmejificha?

Status
Not open for further replies.
Simpendi huyu mtu Sijui mnamwita honey d Sijui hammy d coz yeye kila Siku ujinga tu ninawasiwasi nae atakua sho& yani huyu mtu Sijui anatafuta umarufu
 
Ni wakati sasa kwa watanzania kuujua 'USANII' wa CHADEMA ambao wamekuwa wakitufanyia kwa muda mrefu sasa.

USANII huo wamekuwa wakiufanya mara kwa mara bila ya watanzania kujua chochote, hali inayopelekea kuendelea kuaminiwa.

Lakini sasa kwa hili la bomu la Arusha, watanzania ni wakati muhafaka wa kujua hasa dhamira ya viongozi hawa wa CHADEMA.

Hivi karibuni, baada tu ya ajali ya bomu kutokea, Mbowe alijitokeza kwenye vyombo vya habari na kutoa TAMKO kuwa yeye ana ushahidi wa video yenye kumuonyesha mtu anaedaiwa kurusha 'bomu' kwenye mkutano wake uliofanyika viwanja vya Soweto, Arusha.

Jambo la kushangaza ni kutoweka kwa bwana Mbowe na mwenzake Lema, mara tu baada ya kuombwa wapeleke ushahidi wao polisi, lakini vilevile, jeshi la polisi limempa Mbowe fursa ya kupeleka ushahidi huo wa video IKULU, kama Mbowe hana imani na jeshi hilo.

Ndugu watanzania, kwa hali kama hii ya polisi kuomba ushirikiano wa bwana Mbowe katika kubaini muhusika wa tukio la mlipuko, na kitendo cha Mbowe kujificha na ushahidi huo (kama kweli upo), inakupa picha gani?

"HUU NDIO USANII WA CHADEMA."

Kuwa mwenye busara, hivi mlipuko wa bomu nao ni ajali au ni kitu/jambo lililopangwa? Kama ni hivyo basi kubaliana na viongozi wa CDM kuwa bomu ni mali ya polisi, waliendanalo mkutanoni na kwa bahati mbaya(ajali) bomu likamponyoka huyo polisi na likalipuka? Na kama ndo hivyo kwanini katika hali ya kiungwana (Bahati mbaya huyo polisi asijitokeze na kuomba msamaha kuwa hakukusudia? Na kama huo ndo msingi mzima tangu lini mikutano ya vyama vya siasa ikalindwa na maguruneti?

Ushahidi wapelekewe, wao wanalipwa mishahara kwa kazi gani? Historia inawahukumu-ushahidi wa Kubenea, Ndimara, Ulimboka, Mwakyembe (Waziri), Mwangosi (R.I.P), Kibanda, Padri Mkenda, Padri Mushi, sheikh wa Zanzibar, na bomu la Arusha (Olasiti), ushahidi wanao mbona wameukalia, huu wa Mbowe wanautakia nini?

Kama kuwa na ushahidi bila kuufikisha katika vyombo vya dola ni kosa la jinai, mbona Mwigulu yupo huru tangu mwezi december 2012? Kama mitandao ya jamii ni reliable source ya ushahidi kama wa Lwakatare mbona hawaombi Mbowe aweke kwenye mitandao na wao wakachukue huko? Jana Ben Saanane ameweka part one ya mkanda waanze na ile, wakishindwa waombe msaada!

Amka ndugu unatumiwa vibaya na Lumumba, hapa Jf unajificha kwa jina na avatar fake, haya baada ya hao CCM na serikali yao dhalimu kung'oka nafsi yako utaificha wapi/ Utakuwa unakuja hapa na kupost fikra mgando kila dakika kama ufanyavyo na Project Lumba wenzako?

Naiombea amani Tanzania/Tanganyika

Kwa sasa sioni faida yoyote ya hawa viongozi/serikali dhaifu ya wachumia tumbo wa CCM, nchi inataka ukombozi, mabomu, risasi, propaganda, ghiliba, usanii, uchawi, uongo, uzushi havitaiokoa CCM, kweli itawaweka huru
 
Last edited by a moderator:
We uko arusha? Lema na Mbowe wameongea na waandishi wa habari wakasema simu zao ziko on hawajapigiwa simu wanasikia kwenye radio tu wanatafutwa. Na wakawaambia wako Briston Hotel wanaendelea na vikao vya chama wakawachukue.

Hii ni aibu,unavitangazia vyombo vya habari kuwa watu wametoweka ili hali watu wanaenda mpaka redioni kukueleza wako wapi na wanafanya nini. Polisi wetu ni sawa na comedian. Na hawa vuvuzela wao mitandaoni sijui wanafikiri kwa kutumia nini maana wanashabikia ujinga bila aibu.
 
Nimekuwa nikifuatilia hizi thread za huyu mtu anayejiita HAMY-D,kweli nimegundua anatumia kichwa kufugia nywele,he is always negative even on issues which has national interest,sijui anafanya haya kwa faida ya nani?????????????????au ndo wale wale wakina M.S.E.N.G.E??tumia kichwa/ubongo kufikiri na sio kufugia nywele kama wale wakinaniiiii
Hata mimi mkuu... Zinanikera post za hili gamba!!!! Kibaraka likubwa sana la magamba hili jamaa...
 
Nimekuwa nikifuatilia hizi thread za huyu mtu anayejiita HAMY-D,kweli nimegundua anatumia kichwa kufugia nywele,he is always negative even on issues which has national interest,sijui anafanya haya kwa faida ya nani?????????????????au ndo wale wale wakina M.S.E.N.G.E??tumia kichwa/ubongo kufikiri na sio kufugia nywele kama wale wakinaniiiii

achana naye ni mwigulu nchemba.
 
Mimi nakuunga mkono kabisa. Kama kweli anasimamia haki na haogopi (kama ambavyo amekuwa akisema) kwa nini amejificha????? Ni wakati wa wanachadema kuelewa kwamba wana viongozi ambao hawako kwa ajili ya maslahi ya wananchi. Inasikitisha sana, mtu wa namna hii utaachaje kumhusisha na kilichotokea????
 
Ni wakati sasa kwa watanzania kuujua 'USANII' wa CHADEMA ambao wamekuwa wakitufanyia kwa muda mrefu sasa.

USANII huo wamekuwa wakiufanya mara kwa mara bila ya watanzania kujua chochote, hali inayopelekea kuendelea kuaminiwa.

Lakini sasa kwa hili la bomu la Arusha, watanzania ni wakati muhafaka wa kujua hasa dhamira ya viongozi hawa wa CHADEMA.

Hivi karibuni, baada tu ya ajali ya bomu kutokea, Mbowe alijitokeza kwenye vyombo vya habari na kutoa TAMKO kuwa yeye ana ushahidi wa video yenye kumuonyesha mtu anaedaiwa kurusha 'bomu' kwenye mkutano wake uliofanyika viwanja vya Soweto, Arusha.

Jambo la kushangaza ni kutoweka kwa bwana Mbowe na mwenzake Lema, mara tu baada ya kuombwa wapeleke ushahidi wao polisi, lakini vilevile, jeshi la polisi limempa Mbowe fursa ya kupeleka ushahidi huo wa video IKULU, kama Mbowe hana imani na jeshi hilo.

Ndugu watanzania, kwa hali kama hii ya polisi kuomba ushirikiano wa bwana Mbowe katika kubaini muhusika wa tukio la mlipuko, na kitendo cha Mbowe kujificha na ushahidi huo (kama kweli upo), inakupa picha gani?

"HUU NDIO USANII WA CHADEMA."

Maskini utakuwa umefikisha hela nyingi sana kwa hii kazi unayofanya, tangu lini Chadema wakakimbia Polisi??huyo Chagonja anasema ushahidi upelekwe kwa Rais, nani kakwambia Chadema wana imani na Mr Dhaifu, mkanda utapelekwa the Hague
 
Si umwambie tu kuwa MBOWE ana Mke? Mbowe hahitaji tena Binadamu mwingine kwani Eva alikuwa mmoja tu na Eva wale anaitwa Lilian. Sasa hawa wengine wanaoanza kujitokea "WAGAMBIRE STOP."

_MG_7876.JPG

Huyu jamaa kila akilala ni MBOWE tu..... akiamka ni MBOWE....iko namna....nahisi ni zaidi ya kutumwa na NAPE
 
Siku hizi haijalishi jinsia? Ukifika ukamuona dada mzuri unamuuliza "Dada, una Boyfriend au Girlfriend?" Pia Wadada huuliza hivyo hivyo mara wakimuona kijana wanayemhusudu. Kama huyu jamaa ni Msichana, basi kiherehere chake Mwigulu Nchemba au Martin Shigela watakishughulikia kama anavyowekwa kati Juliana Shonza kwa sasa.
Tatizo ni kuwa sijui jinsia yake.....na sitaki kaunzisha malumbano yasiyo na tija wakati huu
 
Mizigo mingine hakiamungu haibebeki!
HAMY-D wewe ni kati ya mzigo humu jamvini.

Serikali hii jamani!!!!!!???

Nchemba alisema naushahidi juu ya video ya Rwakatare, na jinsi CDM kinavyohusika na issue hiyo ya kigaidi. Hakupeleka ushahidi wake polisi wala si polisi wala yeyote yule ndani ya Serikali achiliambali kumtaka bali hata kuomba Nchemba apelike ushahidi polisi wala mahali popote pale!

Iweje leo Polisi hao hao waliosikia na kuona maneno ya nchemba bila kumtaka apeleke ushahidi wala kuchunguzwa wala kushitakiwa, wakomalie issue ya Mbowe???????????????????????????????????? .

CDM wakisema Serikali na Chama tawala ndiyo mnaratibu haya matukio mnageuka kuwa mbogo, kisa ni kuambiwa ukweli au? Kwa nini hamtekelezi yale mnayotaka wapinzani wenu watekeleze? Wakiwaomba mtekeleze majukumu yenu mbona hamtekelezi? Nyie ndiyo wenye nchi ya kuamua mtekeleze mnayotaka kwa faida yenu na si kwa masirahi ya Taifa? Acheni hizo, ni za kitoto au hamuoni, hamsikii na hamfikirii?? Mkiitwa dhaifu mwachachamaa.... matendo yanawasuta kuwa hamuamini kile mnachonadi katika vyombo vyenu vya habari, vya maamuzi. Mnatekeleza mipango ya nyuma ya pazia.

Mnataka Mbowe apeleke ushahidi wake kwa Rais, Rais anafanyaje upelelezi? Kama anayelalamikiwa na jamii kwa vitendo vyake viouvu hupewa asante kwa kupandishwa vyeo na mishahara wakiwemo wale wanao ongezewa muda wa utumishi hata kama muda wao umekwisha na wanatakiwa kujiuzuru wala kuchukuliwa hatua na mteuzi wao UNAHISI / UNAFIKIRIA NINI UKIWA NJE YA WATENDAJI HAO RAHISI HADI DC???

SASA ya tosha,,,No more killings!
 
Mizigo mingine hakiamungu haibebeki!<br>
<strong><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=54817" target="_blank">HAMY-D</a></strong> wewe ni kati ya mzigo humu jamvini.[/QUOTE

Serikali hii jamani!!!!!!???

Nchemba alisema naushahidi juu ya video ya Rwakatare, na jinsi CDM kinavyohusika na issue hiyo ya kigaidi. Hakupeleka ushahidi wake polisi wala si polisi wala yeyote yule ndani ya Serikali achiliambali kumtaka bali hata kuomba Nchemba apelike ushahidi polisi wala mahali popote pale!

Iweje leo Polisi hao hao waliosikia na kuona maneno ya nchemba bila kumtaka apeleke ushahidi wala kuchunguzwa wala kushitakiwa, wakomalie issue ya Mbowe????????????????????????????????????

CDM wakisema Serikali na Chama tawala ndiyo mnaratibu haya matukio mnageuka kuwa mbogo, kisa ni kuambiwa ukweli au? Kwa nini hamtekelezi yale mnayotaka wapinzani wenu watekeleze? Wakiwaomba mtekeleze majukumu yenu mbona hamtekelezi? Nyie ndiyo wenye nchi ya kuamua mtekeleze mnayotaka kwa faida yenu na si kwa masirahi ya Taifa? Acheni hizo, ni za kitoto au hamuoni, hamsikii na hamfikirii?? Mkiitwa dhaifu mwachachamaa.... matendo yanawasuta kuwa hamuamini kile mnachonadi katika vyombo vyenu vya habari, vya maamuzi. Mnatekeleza mipango ya nyuma ya pazia.

Mnataka Mbowe apeleke ushahidi wake kwa Rais, Rais anafanyaje upelelezi? Kama anayelalamikiwa na jamii kwa vitendo vyake viouvu hupewa asante kwa kupandishwa vyeo na mishahara wakiwemo wale wanao ongezewa muda wa utumishi hata kama muda wao umekwisha na wanatakiwa kujiuzuru wala kuchukuliwa hatua na mteuzi wao UNAHISI / UNAFIKIRIA NINI UKIWA NJE YA WATENDAJI HAO RAHISI HADI DC???

SASA ya tosha,,,No more killings!
 
Hili kuondoa utata miongoni mwetu kuhusiana na tukio hili, ni vyema Mh. Mbowe akatoa ushahidi wa video hiii, kwani wananchi tunashindwa kuelewa.

Ushahidi wautoe kwa nani?
Kwa huyu Chagonja aliyewatuhumu CHADEMA kumuua MWANGOSI??
Ikulu ambako Polisi na Wassira wamesheheni??
Waulete Dar Es Salaam alikohamishiwa Kamhuhanda aliyewatuhumu CHADEMA kumuua MWANGOSI?
Kama Ikulu haina nia ovu na ushahidi huo, kwa nini Ikulu naijatoa tamko juu ya shutuma za Wassira kuhusu uhusika wa CHADEMA?
Mnafikiri tumesahau kwamba Ikulu yetu inakaliwa na KANALI?
Papo mahali pengi pa kupeleka ushahidi ila si kwa Chagonja!
 
Kwa kweli nimeamini ukiwa kada wa CCM kila walifanyalo upinzani kwako ni KOSA.
Ivi ushahidi unampelekea CHAGONJA ambaye jeshi lake lahusika?kwani Mwangosi na Ulimboka ushaidi ulifanyiwa kazi?
Ata kuupeleka ushahidi IKULU nako si salama,ikulu ambayo KAMUHANDA NI MTUMISHI aliyetukuka na wamemwongeza mda wa kulitumikia jeshi!
Omi langu huo ushahidi wawape tume HURU kama itaundwa plus the PUBLIC via blog/forums mbalimbali na polisi watautoa uko
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom