King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 54,687
- 76,154
Sredi zako zote ni cdm oh cdm mbowe mbowe lema lema vp wewe?
Ni wakati sasa kwa watanzania kuujua 'USANII' wa CHADEMA ambao wamekuwa wakitufanyia kwa muda mrefu sasa.
USANII huo wamekuwa wakiufanya mara kwa mara bila ya watanzania kujua chochote, hali inayopelekea kuendelea kuaminiwa.
Lakini sasa kwa hili la bomu la Arusha, watanzania ni wakati muhafaka wa kujua hasa dhamira ya viongozi hawa wa CHADEMA.
Hivi karibuni, baada tu ya ajali ya bomu kutokea, Mbowe alijitokeza kwenye vyombo vya habari na kutoa TAMKO kuwa yeye ana ushahidi wa video yenye kumuonyesha mtu anaedaiwa kurusha 'bomu' kwenye mkutano wake uliofanyika viwanja vya Soweto, Arusha.
Jambo la kushangaza ni kutoweka kwa bwana Mbowe na mwenzake Lema, mara tu baada ya kuombwa wapeleke ushahidi wao polisi, lakini vilevile, jeshi la polisi limempa Mbowe fursa ya kupeleka ushahidi huo wa video IKULU, kama Mbowe hana imani na jeshi hilo.
Ndugu watanzania, kwa hali kama hii ya polisi kuomba ushirikiano wa bwana Mbowe katika kubaini muhusika wa tukio la mlipuko, na kitendo cha Mbowe kujificha na ushahidi huo (kama kweli upo), inakupa picha gani?
"HUU NDIO USANII WA CHADEMA."
We uko arusha? Lema na Mbowe wameongea na waandishi wa habari wakasema simu zao ziko on hawajapigiwa simu wanasikia kwenye radio tu wanatafutwa. Na wakawaambia wako Briston Hotel wanaendelea na vikao vya chama wakawachukue.
Hata mimi mkuu... Zinanikera post za hili gamba!!!! Kibaraka likubwa sana la magamba hili jamaa...Nimekuwa nikifuatilia hizi thread za huyu mtu anayejiita HAMY-D,kweli nimegundua anatumia kichwa kufugia nywele,he is always negative even on issues which has national interest,sijui anafanya haya kwa faida ya nani?????????????????au ndo wale wale wakina M.S.E.N.G.E??tumia kichwa/ubongo kufikiri na sio kufugia nywele kama wale wakinaniiiii
Nimekuwa nikifuatilia hizi thread za huyu mtu anayejiita HAMY-D,kweli nimegundua anatumia kichwa kufugia nywele,he is always negative even on issues which has national interest,sijui anafanya haya kwa faida ya nani?????????????????au ndo wale wale wakina M.S.E.N.G.E??tumia kichwa/ubongo kufikiri na sio kufugia nywele kama wale wakinaniiiii
Wadanganyika watakuwa wameelewa sasa usanii wa wanasiasa
Mizigo mingine hakiamungu haibebeki!
HAMY-D wewe ni kati ya mzigo humu jamvini.
Wadanganyika watakuwa wameelewa sasa usanii wa wanasiasa
Ni wakati sasa kwa watanzania kuujua 'USANII' wa CHADEMA ambao wamekuwa wakitufanyia kwa muda mrefu sasa.
USANII huo wamekuwa wakiufanya mara kwa mara bila ya watanzania kujua chochote, hali inayopelekea kuendelea kuaminiwa.
Lakini sasa kwa hili la bomu la Arusha, watanzania ni wakati muhafaka wa kujua hasa dhamira ya viongozi hawa wa CHADEMA.
Hivi karibuni, baada tu ya ajali ya bomu kutokea, Mbowe alijitokeza kwenye vyombo vya habari na kutoa TAMKO kuwa yeye ana ushahidi wa video yenye kumuonyesha mtu anaedaiwa kurusha 'bomu' kwenye mkutano wake uliofanyika viwanja vya Soweto, Arusha.
Jambo la kushangaza ni kutoweka kwa bwana Mbowe na mwenzake Lema, mara tu baada ya kuombwa wapeleke ushahidi wao polisi, lakini vilevile, jeshi la polisi limempa Mbowe fursa ya kupeleka ushahidi huo wa video IKULU, kama Mbowe hana imani na jeshi hilo.
Ndugu watanzania, kwa hali kama hii ya polisi kuomba ushirikiano wa bwana Mbowe katika kubaini muhusika wa tukio la mlipuko, na kitendo cha Mbowe kujificha na ushahidi huo (kama kweli upo), inakupa picha gani?
"HUU NDIO USANII WA CHADEMA."
Huyu jamaa kila akilala ni MBOWE tu..... akiamka ni MBOWE....iko namna....nahisi ni zaidi ya kutumwa na NAPE
Si umwambie tu kuwa MBOWE ana Mke?
mbowe na lema hawawezi kujificha hata siku moja. Wajifiche kwa kumuogopa nani, chagonja?????
Tatizo ni kuwa sijui jinsia yake.....na sitaki kaunzisha malumbano yasiyo na tija wakati huu
Mizigo mingine hakiamungu haibebeki!
HAMY-D wewe ni kati ya mzigo humu jamvini.
Mizigo mingine hakiamungu haibebeki!<br>
<strong><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=54817" target="_blank">HAMY-D</a></strong> wewe ni kati ya mzigo humu jamvini.[/QUOTE
Serikali hii jamani!!!!!!???
Nchemba alisema naushahidi juu ya video ya Rwakatare, na jinsi CDM kinavyohusika na issue hiyo ya kigaidi. Hakupeleka ushahidi wake polisi wala si polisi wala yeyote yule ndani ya Serikali achiliambali kumtaka bali hata kuomba Nchemba apelike ushahidi polisi wala mahali popote pale!
Iweje leo Polisi hao hao waliosikia na kuona maneno ya nchemba bila kumtaka apeleke ushahidi wala kuchunguzwa wala kushitakiwa, wakomalie issue ya Mbowe????????????????????????????????????
CDM wakisema Serikali na Chama tawala ndiyo mnaratibu haya matukio mnageuka kuwa mbogo, kisa ni kuambiwa ukweli au? Kwa nini hamtekelezi yale mnayotaka wapinzani wenu watekeleze? Wakiwaomba mtekeleze majukumu yenu mbona hamtekelezi? Nyie ndiyo wenye nchi ya kuamua mtekeleze mnayotaka kwa faida yenu na si kwa masirahi ya Taifa? Acheni hizo, ni za kitoto au hamuoni, hamsikii na hamfikirii?? Mkiitwa dhaifu mwachachamaa.... matendo yanawasuta kuwa hamuamini kile mnachonadi katika vyombo vyenu vya habari, vya maamuzi. Mnatekeleza mipango ya nyuma ya pazia.
Mnataka Mbowe apeleke ushahidi wake kwa Rais, Rais anafanyaje upelelezi? Kama anayelalamikiwa na jamii kwa vitendo vyake viouvu hupewa asante kwa kupandishwa vyeo na mishahara wakiwemo wale wanao ongezewa muda wa utumishi hata kama muda wao umekwisha na wanatakiwa kujiuzuru wala kuchukuliwa hatua na mteuzi wao UNAHISI / UNAFIKIRIA NINI UKIWA NJE YA WATENDAJI HAO RAHISI HADI DC???
SASA ya tosha,,,No more killings!
Hili kuondoa utata miongoni mwetu kuhusiana na tukio hili, ni vyema Mh. Mbowe akatoa ushahidi wa video hiii, kwani wananchi tunashindwa kuelewa.