MBOWE kuwasha moto MEATU hivi punde

Msabaha lk

Member
Apr 21, 2012
84
21
nipo hapa mwanhuzi makao makuu ya wilaya naona vijana wa M4C wanashughulika kuhakikisha mkutano wa mwenyekiti mbowe na ugeni mzima wa chadema unatikisa huku kwa wasukuma kila mtu ana hamu ya kuiona timu hiyo CCM hoi huku. mji wote nasikia peoples power
 
Back
Top Bottom