Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,786
Wakali wa habari,
Mwenzenu nimetoka nje. Hii inakuwa kama unaangalia ile FILM ya LOST.
Nashindwa kuelewa kuwepo kwa Marehemu Wangwe na KUKOSEKANA kwa Zitto.
Ngoja nisubiri PICHA maana kama huelewi litaishaje, ndiyo UNAFAIDI ZAIDI.
Kweli mkuu raha ya film usijue mwisho wake pia usiwe mshabiki wa starring wala adui LOL!! angalia style tu! ama sivyo.. presha i-ta-ku-pa-nda!!Very same story different people. Akili mu kichwa
Inakuwa kama film ya Wild things, kuna twist kibao, hujui nani wa kumuamini!