Mbowe awashangaa watanzania... Uwanja wa Ndege Kilimanjaro unakodishwa kwa Dola 1,000 kwa MWAKA!

Mimi nimechoka kabisa ...Mkapa, as well as his ministers, ought to be prosecuted. This is preposterous, KADCO will be around for twenty five years and our government will collect only $ 25,000. Thanks Wananchi for electing these selfish and corrupt politicians; chicken are now coming home to roost, so Wananchi shouldn't complain!

"Akijibu maswali haya, Waziri Nundu alisema tangu KIA ilipobinafsishwa mwaka 1998, umekuwa ukiendeshwa na KADCO, ambayo iliingia mkataba wa miaka 25 na serikali. "

 
Kwani hapa Tanzania wanasheria ndiyo wanaosaini mikataba? Siku zote tunawaona mawaziri na wakuu wenginendo wakisaini mikataba kwa ten percent. Kumbuka ya Buzwagi, Richmond/Dowans, nk.
Acha ukiazi wewe! Unajua mkataba hadi utoke unakuwa umepitia hatua ngapi? Huyo anaesaini wala usimtupie lawama na kama ni hivyo hata mkuu wa kaya nae anatakiwa alaumiwe
 
hapo KADICO mbona pia nasikia mkuu wa usalama ni darasa la 7, pia ni wizadi waukweli. Na sasahivi amesafiri kwenda kuloga ili ile kesi ya kusafirisha wanyama nje ya Nchi kinyume cha sheria iishe kimya kimya.
Mkuu wataloga mpaka lini? Hebu wakenya wamalize kujenga airport pale Taveta tuone kama atawaloga wakenya ndege zisitue kwao zije KIA.

Sio kwamba nafurahi kupotezwa kwa KIA, kwenye ramani ya biashara, ila haina msaada kwa Watz, wanakusanya mabilion, wanatorosha wanyama wetu na hakuna wa kuwauliza. Bora KIA ife tu, watu washuke Taveta watakamata Shuttle kuja Tz, wakipenda wanaweza wasije wakaishia huko huko Kenya. Nawakilisha tu.e
 
Anguko la CCM limetimia hawa si ndiyo waliotuaidi sisi waislam mahakama ya kadhi mwaka 2005 sasa wapo wapi sasa mbona hiyo mahakama yetu sioni

Kwani makongamano mliyofanya Tabora na UDOM yakumiliki UDOM na kuua ukristo hayawatoshi bado mnadai mahakama ya kadhi?

Mmejipanga kuinua uislam popote na mnasema akiajiriwa muislam mahala kama boss lazima aajiri waislamu kwanza nayo haiwatoshi?

Acha ufisi wewe
 
Mbona hakuna majibu ya swali la msingi. Kama kupotezeana muda vile
Waziri Nundu ana nafasi nzuri kueleza hayo maana alifanya kazi katika lile hangar kubwa pale KIA alipofanya kazi Air Tanzania kabla halijanyang'anywa na kupewa KADCO,kwa bei ya karibu na bure.Siasa bwana!!Mhe Nundu tueleze ule ukweli wa moyoni mwako,kama Mtanzania mzalendo.
 
Mh. Mbowe fanya kazi ya ziada kutuamsha wa-tz kwani tumelala sana hata SIMON wa UDA mwisho wa siku ataibuka mshindi na ataondoka na UDA kama ananawa vile
 
hayo ya KLM hayo tumeyajua mbona yaliishaongelewa na Lipumba hapa tanzania hakuna wanainchi wa ku react unapoteza muda bure!
 
hayo ya KLM hayo tumeyajua mbona yaliishaongelewa na Lipumba hapa tanzania hakuna wanainchi wa ku react unapoteza muda bure!

kaka taratibu usiwachanganye watu.Nahisi unamaanisha Kilimanjaro na siyo KLM -Koninklijke Luchtvaart Maatschappij N.V. yaani shirika la ndege la ufalme wa Uholanzi!
 
hayo ya KLM hayo tumeyajua mbona yaliishaongelewa na Lipumba hapa tanzania hakuna wanainchi wa ku react unapoteza muda bure!

Mzee wa Mawe,
Hayo ndo mawazo yako yalikofikia mwisho wa kuwaza?
Sasa kama yalishaongelewa hapa kwenye jukwaa basi tuache kujadili?

Mimi nadhani sasa tuwe serious na maoni yanayotolewa na wana mageuzi
otherwise tutakuta kila kitu kisha uzwa na sisi tumebaki kama yatima ndani ya
ardhi ya wenye nacho,maana wameshanunua ardhi yote sasa.na sasa ni kampeni ya
kununua mashirika yote ili wajihakikishie usalama wa kumiliki jeshi na askari wa Tanzania kwa
kuwapa ma-VX ili wasikumbuke umaskini wa watanzania.
 
kwakweli nchi yetu watu wanapenda amani....ingekuwa hapo Kenya kuna madudu kama ya hp kwetu mbona JK angekua keshautema upresident....ashukuru mungu wa TZ kwa kuenzi amani
 
Kilimanjaro International Airport (KIA), Usafiri Dar Es Salaam (UDA), Tanganyika Packers,
 
Mh Mbowe amesema dunia inashangaa Tanzania ni nchi ya ajabu ambayo watu hawajui kuhoji mashirika yao yanavyofilisiwa na watu wachache. ametolea mfano kukodishwa kwa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro(KIA) kwa Dola za kimarekani 1000 kwa mwezi.

Nawasilisha

Sio Mbowe tu,hata mimi hua nawashangaa sana Watanzania.Nikiwasikiliza wengi wakiongea nagundua kwamba reasoning capacity ya walio wengi is very low! Kama kuna nchi ambayo mind control technologies za Illuminati zimefanikiwa sana, nadhani ni Tanzania.Possibility ni kubwa kwamba they are using Tanzania as a pilot project.
 
Back
Top Bottom