Mbowe awashangaa watanzania... Uwanja wa Ndege Kilimanjaro unakodishwa kwa Dola 1,000 kwa MWAKA!

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
177
ASUBUHI HII KAMA DKK KUMI ZILIZOPITA MUHESHIMIWA MKUU WA UPINZANI FREEMAN AIKAEL MBOWE KATIKA MASWALI KWA WAZIRI WA UCHUKUZI AMEULIZA KUHUSU KUSIKITISHWA NA MKATABA WA KIA KATI YA SERIKALI NA KIDCO AMBAPO KAMPUNI HIYO INATENGENEZA MABILIONI NA KUILIPA SERIKALI DOLA 1000 KWA MWAKA

OLESENDEKA AMESHAURI SERIKALI IWACHUKULIE HATUA KALI WOTE WALIOINGIA MKATABA HUO

WAZIRI KAKATAA KASEMA SASA NI UTEKELEZAJI TUUU

aibu kubwa kwa serikali ya CCM na JK
 
salaale!! hivi serilkali ina wanasheria kwel? au pesa nyingine inaingia kwenye mifuko yao
 
POSHO kaka, nchi hii imeshaliwa tayari na wewe ukipata chance komba tu, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake. Inafikia hadi mwakilishi wa wananchi maskini naye anaomba rushwa duh .....

Itatugharimu sana kurudisha tunu za taifa hili zilizokuwepo enzi za mwalimu.
 
"mwalimu hakuona dosari katika AZIMIO LA ARUSHA" VYOVYOTE TUFANYAVYO......! AZIMIO LINAHITAJIKA
 
Bunge la wakati huu ni gumu, nahisi dada ana lazima atoke na shell ya kutosha pale.
 
CCM ni janga kwa taifa. Tukusanye nguvu kuliondoa janga hli.
 
KAMPUNI HIYO INATENGENEZA MABILIONI NA KUILIPA SERIKALI DOLA 1000 KWA MWAKA

Hapo bold ni kweli au umekosea tarakimu?

Hebu fafanua !
 
POSHO kaka, nchi hii imeshaliwa tayari na wewe ukipata chance komba tu, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake. Inafikia hadi mwakilishi wa wananchi maskini naye anaomba rushwa duh .....

Itatugharimu sana kurudisha tunu za taifa hili zilizokuwepo enzi za mwalimu.

Kurudi zitarudi tu ilimradi tukaze buti
 
kwa ujinga na uroho wa serikali hii, hata mtoto wa darasa la tatu hawezi kukubali kuingia mkataba wa kipuuzi kama huu
 
Mkuu ni kampuni ipi hiyo na ni watu gani walihusika kuridhia huo mkataba?

halafu wanabeza sera za elimu bure na drastic changes kama wakiachia nchi
 
KAMPUNI HIYO INATENGENEZA MABILIONI NA KUILIPA SERIKALI DOLA 1000 KWA MWAKA

Hapo bold ni kweli au umekosea tarakimu?

Hebu fafanua !

Hii Ni kweli nilishawahi kuisikia kwa mfanyakzi 1 pale KIA alikuwa anasema hivyo nikamuona kama muongo lakini ilipo fuatilia kwa undani ikapata jibu ni ukweli. Tukiendelea kucheka na CCM watazidi kuifilisi hii nchi kwani wengi wao katika CCM ni mahayawani
 
ASUBUHI HII KAMA DKK KUMI ZILIZOPITA MUHESHIMIWA MKUU WA UPINZANI FREEMAN AIKAEL MBOWE KATIKA MASWALI KWA WAZIRI WA UCHUKUZI AMEULIZA KUHUSU KUSIKITISHWA NA MKATABA WA KIA KATI YA SERIKALI NA KIDCO AMBAPO KAMPUNI HIYO INATENGENEZA MABILIONI NA KUILIPA SERIKALI DOLA 1000 KWA MWAKA

OLESENDEKA AMESHAURI SERIKALI IWACHUKULIE HATUA KALI WOTE WALIOINGIA MKATABA HUO

WAZIRI KAKATAA KASEMA SASA NI UTEKELEZAJI TUUU

aibu kubwa kwa serikali ya CCM na JK

Aibu kwetu pia. Watu wa nje wanatuona wote ni mazuzu.
 
KAMPUNI HIYO INATENGENEZA MABILIONI NA KUILIPA SERIKALI DOLA 1000 KWA MWAKA

Hapo bold ni kweli au umekosea tarakimu?

Hebu fafanua !

Hata Spika aliuliza hivyo hivyo na akajibiwa kuwa ni Dola 1,000 za Kimarekani. Kashtuka kimoyomoyo sema hawezi kusema kwa sababu anajua hizo deal ni baadhi ya zilizomweka hapo, sema anashangaa kwa sababu mgawo wake ulikuwa mdogo na hakuambiwa yote haya. Atachoka mwenyewe.

Hii ndiyo TZ bana, zamani Tanganyika.
 
Anguko la CCM limetimia hawa si ndiyo waliotuaidi sisi waislam mahakama ya kadhi mwaka 2005 sasa wapo wapi sasa mbona hiyo mahakama yetu sioni
 
ASUBUHI HII KAMA DKK KUMI ZILIZOPITA MUHESHIMIWA MKUU WA UPINZANI FREEMAN AIKAEL MBOWE KATIKA MASWALI KWA WAZIRI WA UCHUKUZI AMEULIZA KUHUSU KUSIKITISHWA NA MKATABA WA KIA KATI YA SERIKALI NA KIDCO AMBAPO KAMPUNI HIYO INATENGENEZA MABILIONI NA KUILIPA SERIKALI DOLA 1000 KWA MWAKA

OLESENDEKA AMESHAURI SERIKALI IWACHUKULIE HATUA KALI WOTE WALIOINGIA MKATABA HUO

WAZIRI KAKATAA KASEMA SASA NI UTEKELEZAJI TUUU

aibu kubwa kwa serikali ya CCM na JK

Hapana Patrick, wawapeleke Kozi ya Lau Masha aliyozindua jana https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/145243-somo-la-ufisadi-larasimishwa-udsm.html
 
Anguko la CCM limetimia hawa si ndiyo waliotuaidi sisi waislam mahakama ya kadhi mwaka 2005 sasa wapo wapi sasa mbona hiyo mahakama yetu sioni

Umekaribishwa na nani JF? Naona na wewe umejoin kwa speed au ndio counter NAPE? Na kama ni counter NAPE najiuliza uko kwenye payroll ya nano?
 
salaale!! hivi serilkali ina wanasheria kwel? au pesa nyingine inaingia kwenye mifuko yao

Kwani hapa Tanzania wanasheria ndiyo wanaosaini mikataba? Siku zote tunawaona mawaziri na wakuu wengine
ndo wakisaini mikataba kwa ten percent. Kumbuka ya Buzwagi, Richmond/Dowans, nk.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom