Mbowe aunda Baraza la Mawaziri Vivuli - ni la CHADEMA

Huyo ni kibaraka wa CCM. Mimi sikupenda kabisa mchango wake wa siku ile. Naona CDM wawe makini sana na mtu huyu.
 
Bora alivyoachwa maana watu wengi walishaanza kuwa na wasiwasi nae kutokana na mchango wake wa wiki iliyopita. Hivi mawaziri vivuli nao wana packages za maana kama kiongozi wa kambi ya upinzani au wajumbe wa kamati za bunge???
 
Naunga mkono kuwa hoja haina mashiko,sababu sio kila mtu lazima awe waziri sababu nafasi ni chache..wengine lazima wakose...wengine wapate
 
januari makamba ameongea ongea tuuu mpaka muda ukaisha akapigiwa kengele na sikumuelewa amechangia nini....kweli taxpayers money inakua misused
 
myh zitto kabwe (fedha), Peter msigwa(utalii), Prof Kahigi (science&techno), Joseph mbilinyi (vijana, michezo na utamaduni)
 
shibuda chali

.
Tungekuwa nae Mpendazoe ndio mpinzani wa kweli na dhati. Mungu amjalie ashinde kesi dhidi ya wathulumati.
Huyu Shibuda yeye amekariri mashairi yake na popote anapopewa nafasi huanza kuyaimba bila kuwa na shabaha yoyote. Nadhani huyu mh hata akishtuka tu kutoka usingizini huimba beti moja mbili hivi kabla ya kulala tena.
.
 
Shibuda ni SSM, ni UWT, yuko kazini!!! Asikudanganye mtu. CDM inabidi iwe makini sana na baadhi ya watu waliotimkia kwao!! Marando sina la zaidi, nyote mnaelewa kuwa amekunywa maji ya bendera pia. So CDM again be careful, not to get fooled!! Cha msingi waliobahatika kuwa wabunge kwa kutimkia kwenu treat them kama members wenu tu ili kuongeza idadi ya viti bungeni but not to maamuzi mazito ya chama.
 
Back
Top Bottom