Mbowe aunda Baraza la Mawaziri Vivuli - ni la CHADEMA

JJ Mnyika-Nishati na Madini
ZZ Kabwe-Fedha na Uchumi
Mdee-Makazi
Wenje-Mambo ya nje
 
MSemaji ofisi ya Raisi: Freeman Mbowe, Msaidizi: Silinde David
Uwekezaji na Uwezeshaji: Matiko
Ofisi ya Waziri Mkuu: Vicent Kiboko
Ofisi ya Raisi: Said
Ofisi ya Raisi & Utawala Bora: Mch Nakse wa Karatu
Ofisi ya Makamu wa Raisi: Gekulu
Ofisi ya Raisi & Mazingira: Leticia Nyerere
OFisi ya Fedha: Zitto Kabwe Msaidizi: Christina Lissu
Mambo ya Ndani: Lema
Katiba ya Sheria: Tindu Lissu
Kimataifa: Wenje
Jeshi la Ulinzi: Seladhini
Mawasiliano: prof Kayili
Makazi: Mdee
Maliasili: Mch Peter Msigwa
Nishat na Madini: Mnyika
Ujenzi: Machemli
Uchukuzi: Mhonga Said
Viwanda: Olenywa
Elimu na Mfunzo: Mtinda
Afya: Dr Gilbert Mbasa
Maendeleo ya Jamii: Naomi Kaiula
Vijana na michezo: Mbilinyi Mr Two
Kilimo: Meshack Obulugwa
Maji: Haines Kiwia

Hawa ndio MAWAZIRI KIVULI WA UPINZANI
:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 
HIVI CDM TUKIMFUKUZA HUYU JAMAA SASA HIVI TUNA HASARA GANI

nafikiri kama hamna hasara Mbowe tunakuagiza chukua hatua huyu kirusi aondolewe
 
MSemaji ofisi ya Raisi: Freeman Mbowe, Msaidizi: Silinde David
Uwekezaji na Uwezeshaji: Matiko
Ofisi ya Waziri Mkuu: Vicent Kiboko
Ofisi ya Raisi: Said
Ofisi ya Raisi & Utawala Bora: Mch Nakse wa Karatu
Ofisi ya Makamu wa Raisi: Gekulu
Ofisi ya Raisi & Mazingira: Leticia Nyerere
OFisi ya Fedha: Zitto Kabwe Msaidizi: Christina Lissu
Mambo ya Ndani: Lema
Katiba ya Sheria: Tindu Lissu
Kimataifa: Wenje
Jeshi la Ulinzi: Seladhini
Mawasiliano: prof Kayili
Makazi: Mdee
Maliasili: Mch Peter Msigwa
Nishat na Madini: Mnyika
Ujenzi: Machemli
Uchukuzi: Mhonga Said
Viwanda: Olenywa
Elimu na Mfunzo: Mtinda
Afya: Dr Gilbert Mbasa
Maendeleo ya Jamii: Naomi Kaiula
Vijana na michezo: Mbilinyi Mr Two
Kilimo: Meshack Obulugwa
Maji: Haines Kiwia

Hawa ndio MAWAZIRI KIVULI WA UPINZANI

Baraza hili halina macho, macho yaliisha chukuliwa kwenye uundaji wa kamati (oversight committees)
 
Default Wasemaji wa upinzani watajwa - mawaziri kivuli

MSemaji ofisi ya Raisi: Freeman Mbowe, Msaidizi: Silinde David
Uwekezaji na Uwezeshaji: Matiko
Ofisi ya Waziri Mkuu: Vicent Kiboko
Ofisi ya Raisi: Said
Ofisi ya Raisi & Utawala Bora: Mch. Israel Natse
Ofisi ya Makamu wa Raisi: Paulina Gekul
Ofisi ya Raisi & Mazingira: Leticia Nyerere
OFisi ya Fedha: Zitto Kabwe Msaidizi: Christina Lissu
Mambo ya Ndani: Lema
Afrika Mashariki: Mustafa Akunaay
Katiba ya Sheria: Tindu Lissu
Kimataifa: Wenje
Jeshi la Ulinzi: Joseph Selasini
Mawasiliano: prof Kayili
Makazi: Halima Mdee
Maliasili: Mch Peter Msigwa
Nishat na Madini: Mnyika
Ujenzi: Machemli
Uchukuzi: Mhonga Said
Viwanda: Owenya
Elimu na Mfunzo: Mtinda
Afya: Dr Gilbert Mbasa
Maendeleo ya Jamii: Naomi Kaiula
Vijana na michezo: Mbilinyi Mr Two
Kilimo: Meshack Obulugwa
Maji: Haines Kiwia

--------------
 
MSemaji ofisi ya Raisi: Freeman Mbowe, Msaidizi: Silinde David
Uwekezaji na Uwezeshaji: Matiko
Ofisi ya Waziri Mkuu: Vicent Kiboko
Ofisi ya Raisi: Said
Ofisi ya Raisi & Utawala Bora: Mch Nakse wa Karatu
Ofisi ya Makamu wa Raisi: Gekulu
Ofisi ya Raisi & Mazingira: Leticia Nyerere
OFisi ya Fedha: Zitto Kabwe Msaidizi: Christina Lissu
Mambo ya Ndani: godbless Lema
Katiba ya Sheria: Tindu Lissu
Kimataifa: Wenje
Jeshi la Ulinzi: Seladhini
Mawasiliano: prof Kahigi
Makazi: Mdee
Maliasili: Mch Peter Msigwa
Nishat na Madini: Mnyika
Ujenzi: Machemli
Uchukuzi: Mhonga Said
Viwanda: Olenywa
Elimu na Mfunzo: Mtinda
Afya: Dr Gilbert Mbasa
Maendeleo ya Jamii: Naomi Kaiula
Vijana na michezo: Mbilinyi Mr Two
Kilimo: Meshack Obulugwa
Maji: Haines Kiwia

Hawa ndio MAWAZIRI KIVULI WA UPINZANI


Du sasa hawa askari polisi bado du wataendelea kumnyanyasa huyu jamaa?
 
Asanteni kwa kutujuza. Naomba mtupe updates zaidi pindi Mhe. Lema takapotakiwa kutoa ushahidi.
 
hili bonge la baraza....rais Dr Slaa...kudadek wanabahati walichakachua matokeo....hapo maendeleo siku 100 tu...maji vijijini...umeme wa kumwaga....elimu bure...mashuleni mchana lunch....hospital dawa unalazimishwa kunywa na kuchukua za ziada
 
Mtu wa shoka Joseph Selasini kapewa wizara gani, mtu muhimu sana Chadema
 
januari makamba ameongea ongea tuuu mpaka muda ukaisha akapigiwa kengele na sikumuelewa amechangia nini....kweli taxpayers money inakua misused

Anataka kuonyesha vema jinsi alivyo iba mtihani wa kidato cha nne" ulitegemea arithi TRAITS GANI KUTOKA kwa Katibu mkuu wa Chama Tawala mzee YM; Pumba haziwezi kuzaa mahindi, pumba huzaa pumba nothing more.
 
hili bonge la baraza....rais Dr Slaa...kudadek wanabahati walichakachua matokeo....hapo maendeleo siku 100 tu...maji vijijini...umeme wa kumwaga....elimu bure...mashuleni mchana lunch....hospital dawa unalazimishwa kunywa na kuchukua za ziada
Teh! teh! teh! tehhhhhhhhhhhhhhhhh!
Sijacheka kwa dharau lkn nimefurahi sn sn, kwani ingewezekana kabisaaaaaaaaaa! Ole wao siku 40 zaja.
 
Wana na package fulani, Waziri kivuli maana yake ni kufuatilia masuala yote ya Wizara husika pindi wa kutoa budget kila wizara na wewe unatoa yako kama mpinzani kwa maana kwamba kama wewe ungekuwa serikalini ungefanya hivi tofauti na ya serikali tawala. Kusema Shibuda si mpinzani sdhani maana si yeye tu aliyeachwa na uangalie lini ameingia CHADEMA pia hii ni kazi ngumu unaweza usiwe unalala na ukasahau jimbo lako. Muulize Dr Slaa alikuwa halala kabisa.
 
Samahani mkuu unamaana wabunge wote wa CDM wamepewa uwaziri kivuli ila yeye tu au sijakusikia vizuri?
 
Back
Top Bottom