Mbowe aunda Baraza la Mawaziri Vivuli - ni la CHADEMA

jcb

JF-Expert Member
Jul 6, 2010
280
66
Mh. Freeman Mbowe anazungumza na atatangaza mawaziri vivuli kutoka Chadema ambapo ameteua mawaziri 29 ilikuishi kwa kile walicho kihubiri...
Msemaji mkuu
1. Mh. Freeman Mbowe Msaidizi ... Mh. silinde
tuendeleze.............
 
MAMBO YA NDANI... Mh. Godbless Lema
SHERIA....... Mh. Tindu Lisu
 
MSemaji ofisi ya Raisi: Freeman Mbowe, Msaidizi: Silinde David
Uwekezaji na Uwezeshaji: Matiko
Ofisi ya Waziri Mkuu: Vicent Kiboko
Ofisi ya Raisi: Said
Ofisi ya Raisi & Utawala Bora: Mch Nakse wa Karatu
Ofisi ya Makamu wa Raisi: Gekulu
Ofisi ya Raisi & Mazingira: Leticia Nyerere
OFisi ya Fedha: Zitto Kabwe Msaidizi: Christina Lissu
Mambo ya Ndani: Lema
Katiba ya Sheria: Tindu Lissu
Kimataifa: Wenje
Jeshi la Ulinzi: Seladhini
Mawasiliano: prof Kayili
Makazi: Mdee
Maliasili: Mch Peter Msigwa
Nishat na Madini: Mnyika
Ujenzi: Machemli
Uchukuzi: Mhonga Said
Viwanda: Olenywa
Elimu na Mfunzo: Mtinda
Afya: Dr Gilbert Mbasa
Maendeleo ya Jamii: Naomi Kaiula
Vijana na michezo: Mbilinyi Mr Two
Kilimo: Meshack Obulugwa
Maji: Haines Kiwia

Hawa ndio MAWAZIRI KIVULI WA UPINZANI
 
Baada ya kuropoka bungeni na kujionyesha kuwa si mpinzani hatimaye leo CDM wamemtosa uwaziri kivuli.....:bump:
 
Ila mimi shibuda huwa simuelewi saana kimsimamo, japo ni hodari saana wa semi.
 
Shibuda ni kada wa CCM na hana uchungu na CDM na pia ana mawasiliano ya karibu na mafisadi akiwemo Makamba na Jk
 
Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni kataja mawaziri kivuli na wote wanatokea CDM. Wachache ninaowakumbuka ni T.Lissu-sheria na katiba, Mbowe-ofisi ya Waziri mkuu, Mdee-Ardhi, Zito-Fedha, Wenje-Mambo ya nje. Mwenye list kamili atusaidie.
 
Tofauti yake na Makamba ni kwamba Makamba ni Katibu Mkuu wa CCM while yeye ni mbunge wa kawaida. If you know what I mean....
 
Back
Top Bottom