Wile GAMBA
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 1,809
- 595
freedom fighter ulitaka asome kiasi gani alafu aende wapi ili kjiendeleza na nini? unaruksa ya kufanya kile ambacho yeye ajafanya.
Mbowe namjua ni mtu wa maslahi yeye anaangalia kwanza pesa haya mambo ya chama baadae...safi sana Mbowe.
jamaa ni mbabaishaji since then..,aliwahi kuwa bank officer lakini alisomea u-dj..,duh...!So what ??!
Hawa waandishi wa gazeti la rai nadhani huwa wana vimatatizo kwani mara nyingi huwa hawana ukweli wao kupondea upinzani
hivyo ni kweli Chadema na watu wake wote wako safi? Kwa sababu kila kinachoelezwa kuhusu CDM watu humu ndani wanaandamana kwa maneno makali.mi nnachokiamini ktk maisha kukosea kupo na ndio maana tukaambiwa hakuna aliyekamilika.ila unapokuja ktk hoja za cdm ni hatari kwa utetezi.CCM wanaharibu na CDM pia wanaharibu baadhi ya mambo wanayoyafanya ila tu CCM inaonekana kwa sababu ndio imeshika nchi.kumbukeni hata gadaffi alikua poa ila baadhi ya wananchi wake wakamwona shetani.mi nadhani kwenye ukweli tukili. Sio kwa hili ila hata ikitokea pa kusema kweli tuseme na ndio tutajenga nchi yetu vzur.mungu ibariki TZ na watu wake.
Inavyoonekana, hii mitambo ya IPTL, DOWANS na wazalishaji umeme wengine wote nishati ya kuendesha mitambo yao inagharamiwa na TANESCO. Hii imefanywa kwa makusudi na viongozi wetu waroho na kusababisha gharama za umeme kuwa juu sana. Huu ni ufisadi unaotakiwa kupingwa kwa nguvu zote iwe wanaotaka kutufisadi ni Halmashauri ya Hai au Mbowe mwenyewe. TANESCO wanashindwa nini wenyewe kuzalisha umeme wakati wana itambo hadi waununue kwa Mbowe au Halmashauri?habari hii mimi nimeisoma "RAIA MWEMA" na wameeleza vizuri na nitanukuu kwa sehemu kama ifuatavyo....
quote
.....Kwa mujibu wa vyanzo kadhaa vya habari, Mbowe, ambaye ni M/Kiti wa Chadema amekuwa katika mazungumzo yanayotajwa kwenda vizuri ili auziwe mtambo wa kufua umeme unaoitwa Kikuletwa ulioko katika jimbo la Hai ili baada ya kununua aweze tena baadaye kuiuzia umeme Tanesco kama inavyofanyika kwa kampuni nyingine za uwekezaji nchini ambazo kwa muda sasa zimekuwa zikitajwa kuuza umeme kwa bei kubwa.
Kweli wewe umeamkia pombe au akili yako ni kama yule aliyekamatwa na Kova. Eti gazeti la RAI la leo! leo jumatano kuna gazeti la Rai?Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Freeman Mbowe ametajwa kuwa katikamazungumzo na Tanesco ya kuuziwa mtambo wa kufua umeme unaoitwa KIKULETWA ulioko hai, Ili baada ya kununua aweze tena kuizia umeme Tanesco, Hata hivyo mbowe hakupatika kuthibitisha hilo lakini John mrema mkurugenzi wa Chadema Sera na Bunge amesema si kweli kuwa Mbowe alitaka kununua bali halimashauri ya hai ndiyo wapo kwenye mpango huo na Mbowe kama mbunge alikuwa akifanikisha hilo.
Gazeti la Rai la Leo.
Wewe uliye na elimu umeifanyia nini Tanzania zaidi ya Kutumika kama kibaraka wa Nape?HUYU JAMAA ALISOMA MPAKA KIDATO CHA NNE, BAADA YA HAPO AKAJIENDELEZA NA MASOMO YA U _DJ HUKO UK. NAPENDA KUWATAARIFU KUWA HANA ELIMU NYINGINE YEYOTE ZAIDI YA HIYO
KIKULETWA HYDROPOWER DEVELOPMENT FOR TANZANIA | ||
COUNTRY: Tanzania | REGION: Kilimanjaro | CAPACITY: 17MW |
Click to go back to Main Page | CLIENT: IBRD | ENERGY: 100GWh |
SECSD performed the task of Identification, Planning, Design and preparation of pre investment reports for a series of hydropower plants in four regions of United Republic of Tanzania for The International Bank for Reconstruction and Development (IBRD). On Kikuletwa river in Kilimanjaro region four plants were identified and pre-investment reports prepared. | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||
| |||||||||||||||||||||||||||||||||||||
| |||||||||||||||||||||||||||||||||||||
| |||||||||||||||||||||||||||||||||||||
| |||||||||||||||||||||||||||||||||||||
| |||||||||||||||||||||||||||||||||||||
| |||||||||||||||||||||||||||||||||||||
Copyright 2002 SECSD Private Limited SECSD reserves all rights to the project planning, design and information presented herein. The designs may not be adapted or reproduced or utilized in any form without permission. This website is entirely Designed, Developed and maintained by SECSD. No part of this website or its contents may be reproduced. For Details contact webmaster |