Mbowe atajwa sakata la TANESCO

Kik-ls1.gif
kik-pl1.gif
Kik-shpl1.gif
kiku20s.JPG
 
HUYU JAMAA ALISOMA MPAKA KIDATO CHA NNE, BAADA YA HAPO AKAJIENDELEZA NA MASOMO YA U _DJ HUKO UK. NAPENDA KUWATAARIFU KUWA HANA ELIMU NYINGINE YEYOTE ZAIDI YA HIYO

Kikwete ana shahada ya uchumi na vile vile alishakuwa waziri wa fedha lakini bado hajui kwanini Tanzania ni maskini...Go figure.
 
Aaaah, shit, mi nilifikiri gazeti makini, kumbe Rai? mnaofanya utafiti, hivi hili gazeti huwa linauza nakara ngapi kwa wiki? huku kwetu huwa sioni hata kama watu huwa wanaliulizia, ni gazeti la kifisadi, mmiliki wake ni fisadi na habari zake ni kutetea ufisadi na kuisema vibaya CDM basi!
 
Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Freeman Mbowe ametajwa kuwa katikamazungumzo na Tanesco ya kuuziwa mtambo wa kufua umeme unaoitwa KIKULETWA ulioko hai, Ili baada ya kununua aweze tena kuizia umeme Tanesco, Hata hivyo mbowe hakupatika kuthibitisha hilo lakini John mrema mkurugenzi wa Chadema Sera na Bunge amesema si kweli kuwa Mbowe alitaka kununua bali halimashauri ya hai ndiyo wapo kwenye mpango huo na Mbowe kama mbunge alikuwa akifanikisha hilo.
Gazeti la Rai la Leo.


Ukiwa muongo uwe pia na kumbukumbu nzuri, leo ni Jtano na gazeti la Rai utoka kila alhamis sasa weye hilo gazeti la Rai la leo lenye habari hii ya Mh Mbowe umelitoa wapi?
 
Sioni tatizo mbona kikuletwa ilikufa miaka mingi na tena ipo jimbon kwake. Hvi milango c iko wazi watu kuzalisha kusambaza na kuuza umeme? Tatizo nn sasa kama mtu akiiuzia tanesco umeme? Au kwa vle ni mbowe na c wazungu? Cha muhmu ni kufuata taratibu zitakazo wekwa tuache kubaguana wenyewe.
 
HUYU JAMAA ALISOMA MPAKA KIDATO CHA NNE, BAADA YA HAPO AKAJIENDELEZA NA MASOMO YA U _DJ HUKO UK. NAPENDA KUWATAARIFU KUWA HANA ELIMU NYINGINE YEYOTE ZAIDI YA HIYO


Ni mmoja wa Watz wachache sana aliyesimama na kuamua kuwatetea wanyonge wasio sikilizwa kwa miaka mingi, pia atakumbwa kwa kuongaza chama cha upinzani mpaka kufikia hatua ya kuwa na nguvu kubwa ya kuingia Ikulu! Sasa jaribu wewe kufuata nyayo zake kama utafika popote zaidi ya kuishia kama Mapalala, Lamwai au Kaborou!!
 
[h=6]HUYU JAMAA ALISOMA MPAKA KIDATO CHA NNE, BAADA YA HAPO AKAJIENDELEZA NA MASOMO YA U _DJ HUKO UK. NAPENDA KUWATAARIFU KUWA HANA ELIMU NYINGINE YEYOTE ZAIDI YA HIYO[/h]
Ingekuwa kusoma ndiyo uongozi leo leo hii usingemjua mtu anayeitwa Zuma, Rais wa Afrika Kusini. Niwekee hapa hata shule ya Sekondari aliyoosma au chuo. NI hakuna lakini anawaongoza mamilioni ya wasomi. Uongozi ni kipaji elimu huongezea uelewa zaidi. Na hata hapa Tanzania Kikwete ana shahada ya uchumi lakini kashindwa kumfikia Mkapa ambaye yeye ni mwandishi na aliupaisha uchumi wa Tanzania. Lakini hata wasomi wa Tanzania waliowengi ndo waliotufikisha katika umaskini. Jitahidi unapochangia kufikiri kwanza.
 
Mtambo wa kikuletwa, mbalizi, na tosamaganga iltangazwa wazi kuuzwa kwa tenda, kwani kama mbowe akinunua kwa njia za wazi kuna ubaya gani? Ni mitambo ya kufua umeme lakini ilikuwa dormant kwa kuwa imechakaa
 
HUYU JAMAA ALISOMA MPAKA KIDATO CHA NNE, BAADA YA HAPO AKAJIENDELEZA NA MASOMO YA U _DJ HUKO UK. NAPENDA KUWATAARIFU KUWA HANA ELIMU NYINGINE YEYOTE ZAIDI YA HIYO


Bora DJ mwenye uwezo wa kuongoza nchi kuliko msomi mwenye digrii ya uchumi asiyejua chanzo cha umasikini wa Tanzania
 
Watatafuta hadi mchicha wajishikilie wasiende na maji, but where!
Hiyo habari wala haina tuhuma, na wala haichekeshi..sijui uliiweka isaidie nini?

Humu ndani chadema wanashangaza sana, kila siku zinazushwa hoja hasa kwa Ridhiwani anamiliki hiki na kile matusi na maneno ya kashfa yanarushwa ya kila aina, leo ametajwa rais wao mtarajiwa anatetewa, nashangaa sana sana na chadema wa humu jamvini.

Hivi mnavomzushia mtoto wa watu kila siku mara ana hiki mara kile halafu mnaanza kumtukana, leo limewafika nyie mnatetea.

Nimegundua kitu kimoja, kila siku zinaletwa Cv za watu wa CCM, kumbe chadema ni SIFURI kabisa, huyu mbowe anajulikana ni mbabaishaji tu, alipewa huo uongozi kwa kuwa mkwe wake mzee Mtei ndio muanzilishi wa chadema kwa hiyo chama cha kikabila na kichifu tukisema hivi tunakosea? kumbe hata elimu hana, na vipi kila siku kuwaandama CCM ilhali kumbe na nyie vichwani hakuna kitu.

Nimegundua kumbe Mbowe ni FISADI nambari moja anaependa umaarufu kupitia migongo ya watu, kwa mfano alijidai kuigomea posho kumbe huku ameweka kama collateral katika mkopo alochukuwa bank.

Sasa anataka kununua mtambo auzie TAnesco, hivi mtu huyu akija kuwa rais itakuwaje ? si tutafilisiwa kila kitu Duuuuh! mpaka natweta kwa kuandika.

Kila siku nasema ni bora mbu alie ndani ya net ambae ameshiba hawezi kukutafuna tena kuliko yule mbu alie nje ya net akiingia ndani atakutafuta kila upande, TUJIHADHARI NA CHADEMA , hawana jipya ni ufisadi tu ndio jadi yao! leo tumegundua mengi kumbe hata kamati za bunge huwa wanahongwa ili wasiseme madudu ! TUTAFIKA KWELI ?
 
HUYU JAMAA ALISOMA MPAKA KIDATO CHA NNE, BAADA YA HAPO AKAJIENDELEZA NA MASOMO YA U _DJ HUKO UK. NAPENDA KUWATAARIFU KUWA HANA ELIMU NYINGINE YEYOTE ZAIDI YA HIYO


Lete elimu yako kwanza ndo tujadili vizuri na wewe masuala ya elimu! Hivi wewe hujasoma kweli shule za kata?
 
Mtambo wa kikuletwa, mbalizi, na tosamaganga iltangazwa wazi kuuzwa kwa tenda, kwani kama mbowe akinunua kwa njia za wazi kuna ubaya gani? Ni mitambo ya kufua umeme lakini ilikuwa dormant kwa kuwa imechakaa

Yeye kama ana uchungu wa nchi hii na rasilimalizake kwanini asiishauri serikali kununua na iwe mali ya serikali kama sio wa serikali, na kama wa serikali kwanini haishauri kuukarabati ili serikali isipate hasara ya kukodisha ! hivi huyu ndio rais mtarajiwa, NAPATA SHIDA SANA NA CHADEMA !
 
Hawa waandishi wa gazeti la rai nadhani huwa wana vimatatizo kwani mara nyingi huwa hawana ukweli wao kupondea upinzani

Jenerali Ulimwengu ana tabia ya kuuza magazeti yake kwa mafisadi wa ccm kila unapokaribia uchaguzi mkuu. Alifanya hivyo kabla ya 2005 na Rai ilitumika kumsafisha JK na kueneza propaganda za uzuri wa Kikwete.

Yawezekana sasa anaelekea kufanya yale yale ya kabla ya 2005. Raia Mwema haliaminiki tena kwa sasa.
 
Back
Top Bottom