Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,856
- 46,610
Upinzani na CHADEMA bado kwa kiasi kikubwa inahitajika siasa za harakati ili kurejesha mabadiliko na mwamko mkubwa wa upinzani vilivyopotea baada ya uchaguzi wa mwaka 2020.
Kama uchaguzi wa mwaka 2020 ungekuwa sawa na uchaguzi nyingine zilizotangulia basi Mbowe angefaa sana wakati huu ila kwa sababu mwaka 2020 upinzani ulididimizwa kabisa basi kwa sasa wanahitajika viongozi machachari wa harakati kuleta joto kubwa la kisiasa kutoka upinzani.
Mbowe astaafu na kisha awe mwenyekiti wa baraza la wazee ili busara zake na utulivu wake viendelee kuwapa faida CHADEMA.
Mwenyekiti wa CHADEMA kwa sasa wanafaa watu aina ya Lissu na John Heche.