Losambo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 2,612
- 864
Naendelea kuwaletea mfululuzo wa kilichotokea katika viwanja vya NMC Arusha siku CDM ilipofanya mkutano wake na kupelekea Dr. W. Slaa na Tundu Lisu kukamatwa. Kiini cha mgogoro wote huo ni suala la mbunge machachari kabisa wa jimbo la Arusha G. Lema kunyimwa dhamana baada ya hakimu mkazi kusema siku ile ilikuwa siyo ya kesi yake hivyo aletwe siku ya kesi yake ambayo ni tarehe 14.11.2011. Ukweli jambo hilo ndilo lililozua taharuki kubwa kwa viongozi wa CDM na wafuasi wake kwa ujumla.
All in all, hiyo ilikuwa ni mbinu ya CCM kuvuruga hamasa za mbunge G. Lema kupokelewa kishujaa katika viwanja vya NMC na bungeni kwa ujumla.
Hebu msilikilize kamanda Mbowe akimwaga sera,
Nawasilisha.
All in all, hiyo ilikuwa ni mbinu ya CCM kuvuruga hamasa za mbunge G. Lema kupokelewa kishujaa katika viwanja vya NMC na bungeni kwa ujumla.
Hebu msilikilize kamanda Mbowe akimwaga sera,
Nawasilisha.
Last edited by a moderator: