Mbowe akifafanua suala la G. Lema katika viwanja vya NMC Arusha

Losambo

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
2,613
864
Naendelea kuwaletea mfululuzo wa kilichotokea katika viwanja vya NMC Arusha siku CDM ilipofanya mkutano wake na kupelekea Dr. W. Slaa na Tundu Lisu kukamatwa. Kiini cha mgogoro wote huo ni suala la mbunge machachari kabisa wa jimbo la Arusha G. Lema kunyimwa dhamana baada ya hakimu mkazi kusema siku ile ilikuwa siyo ya kesi yake hivyo aletwe siku ya kesi yake ambayo ni tarehe 14.11.2011. Ukweli jambo hilo ndilo lililozua taharuki kubwa kwa viongozi wa CDM na wafuasi wake kwa ujumla.
All in all, hiyo ilikuwa ni mbinu ya CCM kuvuruga hamasa za mbunge G. Lema kupokelewa kishujaa katika viwanja vya NMC na bungeni kwa ujumla.
Hebu msilikilize kamanda Mbowe akimwaga sera,

Nawasilisha.
 
Last edited by a moderator:
tuonyeshe na spika walizosema kamanda Dr slaa alijibanza kukwepa mkono wa polisi
 
tungependa kuona zile za kurupushani na polisi hizo unazotueleza tayari vyombo vingi vya habari vimetuambia ni kama marudio zile za mabomu zimekuwa zinafichwa fichwa sana sijui kwa malengo gani
 
tuonyeshe na spika walizosema kamanda Dr slaa alijibanza kukwepa mkono wa polisi

Hivi "spika" nilifikiri alijificha kwa mama Makinda kumve ni "speaker za matangazo"? sasa gari la maspika lilifata nini usiku kucha hapo NMC? kama si kuwaletea raia makelele?
 
Hivi "spika" nilifikiri alijificha kwa mama Makinda kumve ni "speaker za matangazo"? sasa gari la maspika lilifata nini usiku kucha hapo NMC? kama si kuwaletea raia makelele?

makelele saa 10 alfajiri.

makelele saa 6 na dakika 45 mchana.

makelele saa 10 kasoro 15 jioni

makelele saa 12 na dakika 24 jioni.

hivi kuna makelele mengine tena zaidi ya hayo?

halafu usimdhalilishe spika wa bunge letu. nani alikuambia mama makinda anaficha wanaume?
 
Hivi "spika" nilifikiri alijificha kwa mama Makinda kumve ni "speaker za matangazo"? sasa gari la maspika lilifata nini usiku kucha hapo NMC? kama si kuwaletea raia makelele?
raia nao walikesha kufanya nni ka ilikua ni kelele kao si ungeona wamerudi makwao kulala jimama.
 
makelele saa 10 alfajiri.

makelele saa 6 na dakika 45 mchana.

makelele saa 10 kasoro 15 jioni

makelele saa 12 na dakika 24 jioni.

hivi kuna makelele mengine tena zaidi ya hayo?

halafu usimdhalilishe spika wa bunge letu. nani alikuambia mama makinda anaficha wanaume?

Ulaya walisha wapiga marufuku na makelele yao ya masaa hayo wameambia wapigiane simu kama hawajui muda wao wa kukusanyika .
 
tungependa kuona zile za kurupushani na polisi hizo unazotueleza tayari vyombo vingi vya habari vimetuambia ni kama marudio zile za mabomu zimekuwa zinafichwa fichwa sana sijui kwa malengo gani
Wewe uwe na shukrani hata kwa kidogo hiki nilichokiweka hapa, mimi siyo Al - Jazeera au CNN ni mwanaJF kama ulivyo wewe.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom