Mbowe aanza ziara kuongoza kampeni za udiwani Kanda ya Kusini.

Kuna watu wala hawahisi maumivu ya mapambano haya, yani wanashangaa chama kinazidi kuimarika, bila kujua nani anachangia uimara huo. Wao wanasubiria chama kiwe imara ndio waje watumia faida hiyo kupata nyadhifa mbalimbali. Mimi nashauri, moja ya kigezo cha kumpata mgombea yeyote ndani ya chama kwenye chaguzi ndogo mpaka uchaguzi mkuu 2015 iwe ni mchango wake kwa chama. Kama hajawai shiriki kwenye mapambano ya kuimarisha chama hakuna aja ya kumpa nafasi. Hawa ndio wanatuharibia chama maana hawana uchungu na namna chama kilivyojengwa kwa gharama za muda, Pesa na wakati mwingine kuhatarisha maisha.

Mwenyezi MUNGU atalipa kila chozi adondoshalo mtu,MUNGU awabariki sana hawa makamanda.
 
Tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu.
Molemo! nimekusoma kamanda, ile ahadi yako ya bati ndiyo umezama nayo, bado ninaendelea kusubili ila j'mos tutaezeka, na kama utachelewa sana utaleta rangi, come and see chadema hall, it carry 80-120 people.
 
Kamanda Molemo mimi langu moja tu, ulinzi wa vituo vya kupigia kura ili kuwadhibiti mamluki, hakikisheni mna copy ya daftari la kudumu la wapiga kura katika kila kata yenye uchaguzi. ccm wanachakachua sana, wanaleta mamluki wenye majina sawa na daftari lakini ukiangalia picha zinakuwa tofauti na iliyopo kwenye daftari.

Baada ya hapo ni ulinzi wa kueleweka wa mabox yenye kura kwani hapo napo ccm wanaweza chochote kuingiza kura fake kama wamedhibitiwa kuingiza mamluki wakati wa zoezi la kupiga kura. Hili nalisema kwa uzoefu nilioushuhudia katika uchaguzi mdogo wa udiwani Vijibweni Kigamboni.

Otherwise nawatakia safari njema sana huko mikoa ya kusini, sina shaka kwamba mkizingatia tahadhari hiyo na kuchukua hatua stahiki, basi tunachukua kata zote 29 zinazofanya uchaguzi jumapili ijayo!

kulinda kura ni muhimu
 
Last edited by a moderator:
dr,slaa rais wangu wewe pekee ndio mkombozi wa watanzani kwa wakati huu! ni muhimu kupanga safu yako vizuri,hatutakiwi kuwaachia nafasi kwa hawa mamluki ccm!
 
Molemo! nimekusoma kamanda, ile ahadi yako ya bati ndiyo umezama nayo, bado ninaendelea kusubili ila j'mos tutaezeka, na kama utachelewa sana utaleta rangi, come and see chadema hall, it carry 80-120 people.

Pamoja sana Kamanda.
 
Nchi ni ya watanzania wote lazima tusaidiane kuelimisha jamii na kuhabarisha siyo kila mtu akimbilie kuanzisha thread wakati ipo iliyotangulia yenye lengo moja.Pamoja mkuu.

Umenena vema sana mkuu.Kazi yetu sote ni moja tu.Kuipeleka CDM kileleni.Pamoja sana.
 
Mwenyekiti wa CDM Taifa Kamanda wa Anga Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa Bavicha Taifa John Heche wameanza ziara ya siku 8 katika mikoa yote ya Kanda ya kusini.

Lengo kubwa la ziara hii mbali na kuimarisha chama ni kushambulia kata zote zinazofanya uchaguzi mdogo wa udiwani wiki ijayo.Kuna kata mbalimbali zitafanya uchaguzi mdogo wa udiwani katika mikoa ya kusini.

Wakati Mbowe anajikita huko kusini,Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa amejichimbia kanda ya ziwa na kanda ya kati.Huku mjumbe wa Kamati kuu ya chama hicho Godbless Lema akiwa anapambana kanda ya Kaskazini.
sawa mimi nipo dar nasubira urais tu, najua tutashinda kwa kudra za mwenyezi mungu ishalla.....
 
Mwenyekiti wa CDM Taifa Kamanda wa Anga Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa Bavicha Taifa John Heche wameanza ziara ya siku 8 katika mikoa yote ya Kanda ya kusini.

Lengo kubwa la ziara hii mbali na kuimarisha chama ni kushambulia kata zote zinazofanya uchaguzi mdogo wa udiwani wiki ijayo.Kuna kata mbalimbali zitafanya uchaguzi mdogo wa udiwani katika mikoa ya kusini.

Wakati Mbowe anajikita huko kusini,Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa amejichimbia kanda ya ziwa na kanda ya kati.Huku mjumbe wa Kamati kuu ya chama hicho Godbless Lema akiwa anapambana kanda ya Kaskazini.
sipati picha jukwaa litapigwa kiasi gani maana kamanda mbowe ni master kaenda na bwana mdogo heche naye jukwaani hajambo mkuu tutaomba saana picha ila yote kwa yote inshalaah tupate viti huko kuonesha mwelekeo
 
Walkati makamanda wakichapa kazi mzee mwenye na CCM yake yeye anahangaikia duositizenship ya Oman. Pamoja na neema ya Mungu nchi yetu itakombolwa tu siku moja. CDM ni wakombozi na moyo wao wa kazi unaonekana.
 
sipati picha jukwaa litapigwa kiasi gani maana kamanda mbowe ni master kaenda na bwana mdogo heche naye jukwaani hajambo mkuu tutaomba saana picha ila yote kwa yote inshalaah tupate viti huko kuonesha mwelekeo

Usemayo ni ukweli mtupu Kamanda.
 
mngeweka na picha wakuu ili hii thread iendelee na ziara na iwe rekorded si ziara haba ya mwkt wa vijana na mwkt wa taifa hii
 
Back
Top Bottom