Mbowe aanza ziara kuongoza kampeni za udiwani Kanda ya Kusini.

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Mwenyekiti wa CDM Taifa Kamanda wa Anga Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa Bavicha Taifa John Heche wameanza ziara ya siku 8 katika mikoa yote ya Kanda ya kusini.

Lengo kubwa la ziara hii mbali na kuimarisha chama ni kushambulia kata zote zinazofanya uchaguzi mdogo wa udiwani wiki ijayo.Kuna kata mbalimbali zitafanya uchaguzi mdogo wa udiwani katika mikoa ya kusini.

Wakati Mbowe anajikita huko kusini,Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa amejichimbia kanda ya ziwa na kanda ya kati.Huku mjumbe wa Kamati kuu ya chama hicho Godbless Lema akiwa anapambana kanda ya Kaskazini.
 
Mwenyekiti wa CDM Taifa Kamanda wa Anga Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa Bavicha Taifa John Heche wameanza ziara ya siku 8 katika mikoa yote ya Kanda ya kusini.
Lengo kubwa la ziara hii mbali na kuimarisha chama ni kushambulia kata zote zinazofanya uchaguzi mdogo wa udiwani wiki ijayo.Kuna kata mbalimbali zitafanya uchaguzi mdogo wa udiwani katika mikoa ya kusini.
Wakati Mbowe anajikita huko kusini,Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa amejichimbia kanda ya ziwa na kanda ya kati.

Good Do!
 
Kwa kweli imetulia sana.Huu udiwani ni kipimo kizuri sana.

Raha ni kwamba huko vijijini watu wamefunguka pia Mkuu. Let's wait and see watavuna nini huko.
Binafsi nategemea bumper harvest! Lets wait
 
pipoooooooooooooooooozi..............
chademaaaaaaaaaaaaaaa..............
 
Raha ni kwamba huko vijijini watu wamefunguka pia Mkuu. Let's wait and see watavuna nini huko.
Binafsi nategemea bumper harvest! Lets wait

Ni kweli Kamanda.Kwa ujumla tathmini ya kampeni mpaka sasa hivi ni nzuri sana.Tuzidi kumuomba Mungu.
 
Wakibana m4c tunakuja kivingine! Wakati wapo bize wakipambana na uamsho na ponda sisi makamanda tunanadi sera zetu vijijini. Twanga kote kote mpaka kieleweke.
 
Mwenyekiti wa CDM Taifa Kamanda wa Anga Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa Bavicha Taifa John Heche wameanza ziara ya siku 8 katika mikoa yote ya Kanda ya kusini.
Lengo kubwa la ziara hii mbali na kuimarisha chama ni kushambulia kata zote zinazofanya uchaguzi mdogo wa udiwani wiki ijayo.Kuna kata mbalimbali zitafanya uchaguzi mdogo wa udiwani katika mikoa ya kusini.
Wakati Mbowe anajikita huko kusini,Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa amejichimbia kanda ya ziwa na kanda ya kati.

Nafarijika sana namna ambavyo Raisi wetu Dr Slaa na Kamanda wa anga, Freeman Mbowe wanavyojitolea kwa chama, nashangaa wapuuzi fulani kazi yao ni kukaa kutangaza nia ya kugombea tu nyadhifa ndani na nje ya chama bila kujitolea kwa chama. Mungu atawalipa makamanda hawa na historia ya CDM na Taifa hili itawakumbuka.
 
Nafarijika sana namna
ambavyo Raisi wetu Dr Slaa na Kamanda wa anga, Freeman Mbowe
wanavyojitolea kwa chama, nashangaa wapuuzi fulani kazi yao ni kukaa
kutangaza nia ya kugombea tu nyadhifa ndani na nje ya chama bila
kujitolea kwa chama. Mungu atawalipa makamanda hawa na historia ya CDM
na Taifa hili itawakumbuka.

Maneno mazito haya.
 
Ni kweli Kamanda.Kwa ujumla tathmini ya kampeni mpaka sasa hivi ni nzuri sana.Tuzidi kumuomba Mungu.

Kamanda Molemo mimi langu moja tu, ulinzi wa vituo vya kupigia kura ili kuwadhibiti mamluki, hakikisheni mna copy ya daftari la kudumu la wapiga kura katika kila kata yenye uchaguzi. ccm wanachakachua sana, wanaleta mamluki wenye majina sawa na daftari lakini ukiangalia picha zinakuwa tofauti na iliyopo kwenye daftari.

Baada ya hapo ni ulinzi wa kueleweka wa mabox yenye kura kwani hapo napo ccm wanaweza chochote kuingiza kura fake kama wamedhibitiwa kuingiza mamluki wakati wa zoezi la kupiga kura. Hili nalisema kwa uzoefu nilioushuhudia katika uchaguzi mdogo wa udiwani Vijibweni Kigamboni.

Otherwise nawatakia safari njema sana huko mikoa ya kusini, sina shaka kwamba mkizingatia tahadhari hiyo na kuchukua hatua stahiki, basi tunachukua kata zote 29 zinazofanya uchaguzi jumapili ijayo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom