Mbona wageni wanazidi kuongezeka mjini?

Wapo hapo
kwa bashara,pleasure
, au wanaishi hapo
Mie bado sikuona tatizo ..
 
uwekezaji wa kikwete..........si mnakumbuka huwa anaenda ng'ambo kuvutia wawekezaji?,,,,,,ndio hawa
 
Huu ni mwanzo tu, wataongezeka zaidi siku za usoni kwasababu sisi katika region ya EAC ndiyo wenye rasilimali kubwa sana ya aridhi. Wamekuja kujua jinsi wanaweza kuingia mikataba ya kumiliki aridhi. Tuwe macho kwa hili, tusijekuishia kama wazimbabwe.
Thanks
 
wazee kuna siri gani hapa tanzania naona wageni wanazidi kuwa wengi tu ukulinga nisha na miaka na nyuma .wageni namaanisha watua ambao sio watanzania. Waejazana wanafanya madeal tofauti tofauti. Kuna siri gani humu?

wageni waache waje ila wawe documented. Wasipewe au wasiibe pasi za tz
 
kubali kusahihishwa ndio kwenda mbele

mimi kama ni wewe ningejigundua kuwa ninadonoa bila kusoma ninachoandika na kujikosoa kabla hujarusha

kwa hiyo namaanisha jifunze kuwa unakosea na ukiwa na tabia ya kusoma unachoandika na kubadilisha mambo itakusaidia kwenye mambo muhimu utakayoandika maishani mwako as hii kitu inakushushia point kuwa wewe hujui au hauko makini unadoanoa tu
 
wazee kuna siri gani hapa Tanzania naona wageni wanazidi kuwa wengi tu ukulinga nisha na miaka na nyuma .wageni namaanisha watua ambao sio watanzania. waejazana wanafanya madeal tofauti tofauti. kuna siri gani humu?

Kijana kama hutaki wageni kwenu maanake na Wabongo wanaopiga boxi huku juu wardi nyumbani?
 
Back
Top Bottom