Mbona tunaotafuta wakuoa hatupati

Edgarcoco

JF-Expert Member
Jul 14, 2011
229
78
Natafuta mdada mwenye msimamo na kujua nini maisha, naoa kabisa, Elimu yangu darasa la pili nilifukuzwa shule baada ya kumtongoza mwalimu, nikaanza kubeba zege mpaka nikapata mtaji na sasa namiliki genge kitaani kwetu. kama kweli wewe ni mdada wa kujua maisha ni nini na real life kwa ujumla ni PM anytime
 
Kwa CV hiyo mkuu utatafuta sana. Labda ujaribu uwanja wa fisi, kule unaweza kubahatika.
 
Me najua maisha tena nahitaji mwanaume anayejua kutumia nguvu kutafuta pesa bila kuangalia eleimu kama wewe nime.kupm.
 
long gone are the days where utamu was available to every man, rich or poor
 
Sema sipata siyo hatupati kwani mko wangapi? Mwanangu tetea nafsi yako na uache mjumlisho vinginevyo utaonekana mzushi hata kama uko serious.
 
Nadhani ntakufaa maana mie niliishia darasa la kwanza, kwa sasa nachoma Vitumbua maisha yanakwenda..!
 
Back
Top Bottom