Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,323
- 18,793
hivi mswati ni wa wapi?
Ila yuko 'busy'! lakini makosa yangu binadamu mie, akiwa mbaya maneno, akiwa mzuri maneno, hakuna kuridhika kabisa!
oooh huyu madame kanivutia naona anajipenda kujikwatua ukiangalia na ka umri
huyu ndo Firslady wa wapi?
HUYU NI FIRST LADY WA LESOTHO
Ni wa ngapi katika mlolongo wa mswati???HUYU FISRT LADY WA Swaziland
HUYU NI FIRST LADY WA LESOTHO
kajichubuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mpaka anaboa!
utasema creopatra?