Mbona michel tu huyu nae mnamjua? Cameroon first lady!

hahahaha napata picha alivyokuwa binti yaani huyo madame hakufaa kuwa firstlady bali alitakiwa awe hukooooooookwenye mambo ya fashions za kina dada

Kwa taarifa, jamaa zangu wa Cameroon wanasema awali alikuwa girlfriend wa mtoto wa Rais. Aidha, pia alikuwa model. Mzee alivyomng'aza katika madisco yaliyokuwa yakipigwa Ikulu akaamua kumpindua mwanaye na kumshauri atafute mwingine kwani yeye (Mtoto) bado kijana hivyo ana mtaji mwingi. ;)
 
duh!haya umeheki na hao wengine kwenye first page?tupe habari zao

aaaah kumbe mie sikuwa mbali sana kimawazao .baba na mwana wameshea tundi
 
Daima mwanamke hawezi kumsifia mwenzie hata kama kapendeza.. Hoooo amekaaaaa kishangingi, jamani acheni hizoooooo!
 
Jamani first lady wa swazland ni noma, kitu kimetulia kwa kujipumzisha!! Kweli mwanamke ni maua ndani ya nyumba!!
 
Kwa taarifa, jamaa zangu wa Cameroon wanasema awali alikuwa girlfriend wa mtoto wa Rais. Aidha, pia alikuwa model. Mzee alivyomng'aza katika madisco yaliyokuwa yakipigwa Ikulu akaamua kumpindua mwanaye na kumshauri atafute mwingine kwani yeye (Mtoto) bado kijana hivyo ana mtaji mwingi. ;)

Hata ningekuwa mimi ningempokonya mwanangu huyo binti, si unajua nyama nzuri ni ya baba!! Huyo mama anatamanisha sana aisee!!
 
duh!haya umeheki na hao wengine kwenye first page?tupe habari zao

Janja yangu imeishia hapo. Tena ilikuwa bahati tu kuutokea udaku huo. Huko kwingine mweupe kabisa!
icon10.gif
 
Wadau hebu tuleteeni ma first lady wa nchi uganda, kenya na tz tuone nani anamkimbiza mwenzake kwenye urembo na 'kulipuka kisasa'!
 
fungua first na second page mbona nimetuma?
Wadau hebu tuleteeni ma first lady wa nchi uganda, kenya na tz tuone nani anamkimbiza mwenzake kwenye urembo na 'kulipuka kisasa'!
 
nimewatumia ma first ladies woteeeeeeeeeeeeeee kazi kwenu sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom