lkn mkuu mbona unamakengeza? MAADA ZA DINI YAKO UNAZIFUMBIA MACHO?
kama kuna hospital zinazomilikiwa misikiti, nadhani nazo pia zitafaidika na hayo mabilion! but ukumboke serikali imeingia ubia na hizi hospital za makanisa, kwamba pamoja na mambo mengine, inagharamia kuwalipa mishahara madaktari, bia madawa serikali inagawa pia..sehemu nyingine iliyobaki na makanisa nayo yanadili nayo, raia wote wa tanznaia wanapata huduma pale, tena wa upande wa pili ndio wengi zaidi.....
RAIS KIKWETE ATANGAZA SERIKALI KUTOA RUZUKU YA SH 60B KWA HOSPITAL ZA MASHIRIKA YA DINI - TBC.
tayari pesa hizi kila mwaka zinatoka ukiachilia Mbali bajeti ya Serekali ya Wizara ya Afya .Haya ni Bugando, KCMC na Mengine
Mbona sioni dalili yoyote Makanisa kwa pamoja kuchukua hatua angalau kwa hizi hospital wanazozimiliki?
kwani inamkataba na Serekali? Makanisa unayo. ndio maana wakati wa Mkapa wakitimika vizuri tu
Imani ya shetani humhadaa shatani so wewe ni shetani in a frastrated mind.Mtaendelea kulialia mpak nyumbani kwenu jehanum cote my wordskaziyao kula sadaka zetu waumini na kuuza dawa za kulevya hilo ndowanalOweza kulitetea
misikiti imemsaidiaje?RAIS KIKWETE ATANGAZA SERIKALI KUTOA RUZUKU YA SH 60B KWA HOSPITAL ZA MASHIRIKA YA DINI - TBC.
tayari pesa hizi kila mwaka zinatoka ukiachilia Mbali bajeti ya Serekali ya Wizara ya Afya .Haya ni Bugando, KCMC na Mengine
Mbona sioni dalili yoyote Makanisa kwa pamoja kuchukua hatua angalau kwa hizi hospital wanazozimiliki?
vipi wanaofirwa kupata pesa ya iran? au wale wanaopokea pesa ya iran na kushindwa hata kopo la juchambiakaziyao kula sadaka zetu waumini na kuuza dawa za kulevya hilo ndowanalOweza kulitetea
[font=&]rais kikwete atangaza serikali kutoa ruzuku ya sh 60b kwa hospital za mashirika ya dini - tbc[/font].
Tayari pesa hizi kila mwaka zinatoka ukiachilia mbali bajeti ya serekali ya wizara ya afya .haya ni bugando, kcmc na mengine
mbona sioni dalili yoyote makanisa kwa pamoja kuchukua hatua angalau kwa hizi hospital wanazozimiliki?
Kama ungejua laana mliyolaaniwa nyinyi usingetamka lolote Mungu anijua dini yake iliyoyahaki na ninani aliowabariki! Nyie ndi mnalaana mpaka Maaskofu wenu ni Mashoga na mnang'ang'ania kuongozwa na mashoga hiyo siyo laana?Makanisa ndio yalikuwa na taasisi nyingi ambazo serikali ilizichukuwa kama hospitali, shule n.k. Misikiti haikuwa na taasisi nyingi kama kawaida. Pili swaala la madaktari na mgomo na Makanisa kumsaidia Raisi ni kitu kingine. Wakati Makanisa yanaendesha taasisi hizo bila kuchukuliwa na eti kurudishwa tena mgomo haukuwepo. Sasa na Makanisa hayawezi kuingilia sababu wao sio wanaolipa mishahara ya madokta na pia hawana mamlaka kamili ya hospitali hizo. ACHENI UDINI, kulalamika kila kukicha ndio maana hiyo itikadi imekuwa ni laana hapa duniani, sehemu mbalimbali vita, migogoro nk. Kaa ingekuwa ni mimi ningebadili manake huko naona shetani ana nafasi. Bora muwe kama mimi nisiyekuwa na haya maitikadi ya kigeni ya wahuni
Kama ungejua laana mliyolaaniwa nyinyi usingetamka lolote Mungu anijua dini yake iliyoyahaki na ninani aliowabariki! Nyie ndi mnalaana mpaka Maaskofu wenu ni Mashoga na mnang'ang'ania kuongozwa na mashoga hiyo siyo laana?
Mungu alishuka kukwambia? Au wewe ni msemaji wa Mungu?