Mbona makanisa hayamsaidi Kikwete Katika Mgomo wa Madktari?

Status
Not open for further replies.

mlanguzi

Senior Member
Jul 15, 2012
181
10
RAIS KIKWETE ATANGAZA SERIKALI KUTOA RUZUKU YA SH 60B KWA HOSPITAL ZA MASHIRIKA YA DINI - TBC.
tayari pesa hizi kila mwaka zinatoka ukiachilia Mbali bajeti ya Serekali ya Wizara ya Afya .Haya ni Bugando, KCMC na Mengine

Mbona sioni dalili yoyote Makanisa kwa pamoja kuchukua hatua angalau kwa hizi hospital wanazozimiliki?
 
umeanza tena udini,hukumbuki topic yako ilifungwa?
 
ulitaka wamsaidiaje? waingie barabarani na kuandamana ?
chukulia sasa hivi wewe ndiyo kiongozi wa hizo hospital ungamsaidiaje Kikwete.
Hebu anika mipango yako hapa tuone
 
ulitaka wamsaidiaje? waingie barabarani na kuandamana ?
chukulia sasa hivi wewe ndiyo kiongozi wa hizo hospital ungamsaidiaje Kikwete.
Hebu anika mipango yako hapa tuone

ningalihoji matumizi ya pesa za serekali na Kuunda TUME KAMA MIMI KIONGOZI WA KANISA
 
RAIS KIKWETE ATANGAZA SERIKALI KUTOA RUZUKU YA SH 60B KWA HOSPITAL ZA MASHIRIKA YA DINI - TBC.
tayari pesa hizi kila mwaka zinatoka ukiachilia Mbali bajeti ya Serekali ya Wizara ya Afya .Haya ni Bugando, KCMC na Mengine

Mbona sioni dalili yoyote Makanisa kwa pamoja kuchukua hatua angalau kwa hizi hospital wanazozimiliki?
Naomba utoe udini wako hapo , we are not interested with religion , we are interested with politics . so go to hell
 
Yaani kila post au comment iliotoka kwako ina hoja za kidini..! Au ndio mwenzetu mkate wako unautafutia kwenye aina hizi za topics..? Kuwa makini maana athari ya haya unayotumiwa nayo hayatakuacha wewe salama..
 
Kwani ameomba msaada?? Ni yule aombaye ndiye anaweza kunyimwa au kupewa. Lakini nina shaka atakubali msaada wa aina yoyote kwa sababu:

a) Huenda hajui chanzo cha huduma duni za afya kama asivojua kwanini Tanzania ni masikini.
b) Tumesikia mara nyingi "ameptoshwa", "ameshauriwa vibaya" nk. Anaweza akawapa wengine kazi ya kufikiria kwa niaba!!
 
kama kuna hospital zinazomilikiwa misikiti, nadhani nazo pia zitafaidika na hayo mabilion! but ukumboke serikali imeingia ubia na hizi hospital za makanisa, kwamba pamoja na mambo mengine, inagharamia kuwalipa mishahara madaktari, bia madawa serikali inagawa pia..sehemu nyingine iliyobaki na makanisa nayo yanadili nayo, raia wote wa tanznaia wanapata huduma pale, tena wa upande wa pili ndio wengi zaidi.....
 
Kichwa cha topic na topic vitu viwili tofauti, nia yako ni kuchafua hali ya hewa tenanimekubaini.

Waingize kwenye huu mtego wadogo zako hapo nyumbani, propaganda za udini ni kawaida yako!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom