Mbona makanisa hayamsaidi Kikwete Katika Mgomo wa Madktari?

Status
Not open for further replies.
Wamsaidie kwa sababu wanapewa ruzuku...? Au. Wamsaidie kuwalipa mishahara na allowances ma Dr's Tanzania? ....au ndio Ubongo wako umelala kwenye Udini...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hichi kitu mimi nakishangaa sana kuna watu hawataki kuelewa. Kutoa huduma za matibabu, elimu, barabara nk ni jukumu la serikali yeyote ile duniani. Kwa vile serikali haina hospitali kila mahali sehemu ambapo kuna hospitali za taasisi inabidi izilipe ili wafanye kazi kwa niaba ya serikali. Mfano kutoa chanjo, huduma za mama na mtoto na kutoza gharama nafuu kwa baadhi ya magonjwa. Vile vile serikali inapaswa kuwalipa watumishi wake iliowapangia kwenye hivyo vituo. Sasa kama kuna mgogoro kati ya serikali na watumishi wake kwenye hivyo vituo unataka mlimiki afanye nini? Yaani kwa mfano sisi tumeshindwa kumlipa mshahara balozi wetu Uingereza ulitaka serikali ya Uingereze imlipe au itatue huo mgogoro?
 
kama kuna hospital zinazomilikiwa misikiti, nadhani nazo pia zitafaidika na hayo mabilion! but ukumboke serikali imeingia ubia na hizi hospital za makanisa, kwamba pamoja na mambo mengine, inagharamia kuwalipa mishahara madaktari, bia madawa serikali inagawa pia..sehemu nyingine iliyobaki na makanisa nayo yanadili nayo, raia wote wa tanznaia wanapata huduma pale, tena wa upande wa pili ndio wengi zaidi.....

Itakuwa vizuri kama serikali yetu ingejenga na kuimarisha Hospitali zake si kupeleka hela za walipa kodi kwenye hospitali binafsi/na wasizozisimamia. Hata hivyo kwa kuwa wapanga mipango na sera ndio wamiliki na waendeshaji wa hospitali hizo itakuwa ni ndoto serikali kujikomboa. Ni kama serikali kuweza kuisimamia Mbuga ya Selou huku wakubwa hao hao wana mtandao wa uwindaji haramu. Utasemaje bwana.

Wacheni tujadili kwa uhuru - Acheni ukweli usemwe hata kama unawauma. Poleni sana. Kunakofuka moshi chini kuna moto. Serikali fanya kazi zako acha kukumbatia baadhi ya dini.
 
RAIS KIKWETE ATANGAZA SERIKALI KUTOA RUZUKU YA SH 60B KWA HOSPITAL ZA MASHIRIKA YA DINI - TBC.
tayari pesa hizi kila mwaka zinatoka ukiachilia Mbali bajeti ya Serekali ya Wizara ya Afya .Haya ni Bugando, KCMC na Mengine

Mbona sioni dalili yoyote Makanisa kwa pamoja kuchukua hatua angalau kwa hizi hospital wanazozimiliki?

kwani serikali inaishirikisha kanisa katika kuchakachua uchaguzi, uteuzi wa washika madaraka, ujahili, matumizi mabaya ya resource, mikataba mibovu nk?
 
Makanisa ndio yalikuwa na taasisi nyingi ambazo serikali ilizichukuwa kama hospitali, shule n.k. Misikiti haikuwa na taasisi nyingi kama kawaida. Pili swaala la madaktari na mgomo na Makanisa kumsaidia Raisi ni kitu kingine. Wakati Makanisa yanaendesha taasisi hizo bila kuchukuliwa na eti kurudishwa tena mgomo haukuwepo. Sasa na Makanisa hayawezi kuingilia sababu wao sio wanaolipa mishahara ya madokta na pia hawana mamlaka kamili ya hospitali hizo. ACHENI UDINI, kulalamika kila kukicha ndio maana hiyo itikadi imekuwa ni laana hapa duniani, sehemu mbalimbali vita, migogoro nk. Kaa ingekuwa ni mimi ningebadili manake huko naona shetani ana nafasi. Bora muwe kama mimi nisiyekuwa na haya maitikadi ya kigeni ya wahuni
 
lakini si waliomba kukutana naye ili kuweza kutatua mgomo wa madaktari, kwa harakaharaka ikulu ikatoa statement ya kwamba mgomo wa madaktari umeisha kwa hiyo hakuna haja ya viongozi wa madhehebu ya kikristo ya kuonana na kikwete.
 
kwani inamkataba na Serekali? Makanisa unayo. ndio maana wakati wa Mkapa wakitimika vizuri tu

Mh ! UDINI, UDINI, Kuna siku JK alituuliza sisi waislam, je, Tumeomba hiyo mikataba tukanyimwa ? Je, tunazo hizo Hospitali za kuombea mikataba ? alisema Kila taasisi inaweza kuomba hiyo mikataba. sijasikia tukijibu, SISI TUNATAKIWA KUJIPANGA.
 
Haya yote yamesababishwa na upuuzi wa CCM kuweka maslahi ya wanasiasa mbele na kusahau watoa huduma nyingine. Makanisa ni wana CCM? Acha mawazo finyu yenye kuendeleza udini. Huna shukrani wewe.
 
RAIS KIKWETE ATANGAZA SERIKALI KUTOA RUZUKU YA SH 60B KWA HOSPITAL ZA MASHIRIKA YA DINI - TBC.
tayari pesa hizi kila mwaka zinatoka ukiachilia Mbali bajeti ya Serekali ya Wizara ya Afya .Haya ni Bugando, KCMC na Mengine

Mbona sioni dalili yoyote Makanisa kwa pamoja kuchukua hatua angalau kwa hizi hospital wanazozimiliki?
misikiti imemsaidiaje?
 
Akili ya kanzu hiyo, Sababu Ni kwamba wanatukia Akili na hawanujuliwi Au kupeleka njaa zao mbele.

UOTE=mlanguzi;4247841]RAIS KIKWETE ATANGAZA SERIKALI KUTOA RUZUKU YA SH 60B KWA HOSPITAL ZA MASHIRIKA YA DINI - TBC.
tayari pesa hizi kila mwaka zinatoka ukiachilia Mbali bajeti ya Serekali ya Wizara ya Afya .Haya ni Bugando, KCMC na Mengine

Mbona sioni dalili yoyote Makanisa kwa pamoja kuchukua hatua angalau kwa hizi hospital wanazozimiliki?
[/QUOTE]
 
[font=&amp]rais kikwete atangaza serikali kutoa ruzuku ya sh 60b kwa hospital za mashirika ya dini - tbc[/font].
Tayari pesa hizi kila mwaka zinatoka ukiachilia mbali bajeti ya serekali ya wizara ya afya .haya ni bugando, kcmc na mengine

mbona sioni dalili yoyote makanisa kwa pamoja kuchukua hatua angalau kwa hizi hospital wanazozimiliki?

nenda shule weweeeeee! ..... Unaleta udini tu hapa ukiambiwa usome uweze kuchambua mambo kitaalam hutaki!
 
Makanisa ndio yalikuwa na taasisi nyingi ambazo serikali ilizichukuwa kama hospitali, shule n.k. Misikiti haikuwa na taasisi nyingi kama kawaida. Pili swaala la madaktari na mgomo na Makanisa kumsaidia Raisi ni kitu kingine. Wakati Makanisa yanaendesha taasisi hizo bila kuchukuliwa na eti kurudishwa tena mgomo haukuwepo. Sasa na Makanisa hayawezi kuingilia sababu wao sio wanaolipa mishahara ya madokta na pia hawana mamlaka kamili ya hospitali hizo. ACHENI UDINI, kulalamika kila kukicha ndio maana hiyo itikadi imekuwa ni laana hapa duniani, sehemu mbalimbali vita, migogoro nk. Kaa ingekuwa ni mimi ningebadili manake huko naona shetani ana nafasi. Bora muwe kama mimi nisiyekuwa na haya maitikadi ya kigeni ya wahuni
Kama ungejua laana mliyolaaniwa nyinyi usingetamka lolote Mungu anijua dini yake iliyoyahaki na ninani aliowabariki! Nyie ndi mnalaana mpaka Maaskofu wenu ni Mashoga na mnang'ang'ania kuongozwa na mashoga hiyo siyo laana?
 
Mungu alishuka kukwambia? Au wewe ni msemaji wa Mungu?

Kama ungejua laana mliyolaaniwa nyinyi usingetamka lolote Mungu anijua dini yake iliyoyahaki na ninani aliowabariki! Nyie ndi mnalaana mpaka Maaskofu wenu ni Mashoga na mnang'ang'ania kuongozwa na mashoga hiyo siyo laana?
 
Hapa ndipo uislamu usipoeleweka. Hivi huyu mungu anayewatuma kutwa kulalama ni nani hasa? Badala ya kupiga kelele ombeni mpatiwe majengo na serikali mfanye hospitali. Mbona Morogoro mmepewa chuo? Kina Ponda badala ya kuwahamasisheni mkatae sensa wangewahamasisha mjenge mahospitali. Shetani ni nouma!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom