Mbona CHADEMA hawana wabunge wahindi au wasomali?

Nchi yetu tukufu ya Tanzania ina raia wanye asili ya kihindi na wasomali, lakini jambo la kishangaza ni kuwa sijawahi kuona mwanachama wa CDM mwenye asili ya kihindi au msomali. Je ni makusudi ya CDM au imetokea kwa bahati mbaya.?

Haukumbuki walikuwa wanae Mmoja wa Kigoma KUSINI pia alikuwa anashiriki HOJA za TIDO MHADO TANZANIA TV; LAKINI

AKASHINDWA NA MBUNGE WA CCM? NI DEMOKRASIA KUSHINDWA.... ANAITWA MUSLIM HASSANALI

ACHA FITINA...
 
Kama wewe una asili ya kihindi jaribu kujiunga na cdm, kama hujafunga biashara yako kwa msululu wa mikodi.
 
mmmh, sehemu ya kujificha kule CDM may be haipo!

Haukumbuki walikuwa wanae Mmoja wa Kigoma KUSINI pia alikuwa anashiriki HOJA za TIDO MHADO TANZANIA TV; LAKINI

AKASHINDWA NA MBUNGE WA CCM? NI DEMOKRASIA KUSHINDWA.... ANAITWA MUSLIM HASSANALI

ACHA FITINA...
 
kwanza ushawahi kuona mabunge yao,yana watz?...ingekuwa uwezo wangu ni kutimua wote,kwanza ni wabaguzi na wana roho mbaya
 
Chadema sio chama cha kikabila bali cha kitaifa na illi uwe mbunge, llazima umbe kugoombea.Kama hakuna aliyeomba na kisha kuchaguliwa ungepataje mbunge?Chama chako CCM hakikushiriki kipindi cha harakati majimboni cha TBC1 2010lakini kama uliangalia ungeona mgombea wa Chadema kule Kasulu kusini alikuwa nani.Hoja yenu ya ukabila haina nafasi Chadema na nadhani inawauma kuona Mzalendo Sabodo akitoa chenji kukisaidia chama chenye sera maridhawa, chama mbadala kwa CCM, kwa maendeleo na ustawi wa Tanzania.
 
Nchi yetu tukufu ya Tanzania ina raia wanye asili ya kihindi na wasomali, lakini jambo la kishangaza ni kuwa sijawahi kuona mwanachama wa CDM mwenye asili ya kihindi au msomali. Je ni makusudi ya CDM au imetokea kwa bahati mbaya.?

Labda MAGAMBA wanao wasomali kwa sababu aliyekuwa meneja wa kampeni za urais naye ni msomali kama unazipenda siasa za Ukabila kama ulivyozianza
 
Mi ni kati ya watu nisiokubali jamii zetu zitawaliwe na hawa raia wenye asili hiyo, mana bado siamini kama wanaUZALENDO na kama wanaweza kutetea maslahi ya sis wabantu???? Wapeni uanachama tu, msiwape uongozi, may badae sana!!!

Uzalendo sio lelemama na kama kweli ni raia na wazalendo wenzetu mbona hatuwaoni kwenye ajira za polisi,jeshini nk. hata wanawake wao ukimpenda humuoi ngó ila wao wanatuharibia dada zetu kwa kutumia pesa zao. Marehemu Karume aliwahi kuwaambia waache kujibagua waingiliane na wazalendo wenzao kwa kuoleana.
 
Nchi yetu tukufu ya Tanzania ina raia wanye asili ya kihindi na wasomali, lakini jambo la kishangaza ni kuwa sijawahi kuona mwanachama wa CDM mwenye asili ya kihindi au msomali. Je ni makusudi ya CDM au imetokea kwa bahati mbaya.?

labda kwa sababu hawana wanachama wenye asili hiyo wenye nia na uwezo wa kuongoza
au....
hawana kawaida ya kupeana madaraka kama ilivyo kwa vyama vingine(waasia au wasomali wenye uongozi kwenye vyama vingine wengi wao ni matajiri na wanakwepa kodi)
 
kwanza ushawahi kuona mabunge yao,yana watz?...ingekuwa uwezo wangu ni kutimua wote,kwanza ni wabaguzi na wana roho mbaya

Wameng'ang'ania majengo yetu,wakiwaajiri ndugu zetu wanawanyanyasa sana,chakula wakishakula wakisaza ndio wanawapa jamaa zetu,
nawachukia sana hawa watu.
 
Nchi yetu tukufu ya Tanzania ina raia wanye asili ya kihindi na wasomali, lakini jambo la kishangaza ni kuwa sijawahi kuona mwanachama wa CDM mwenye asili ya kihindi au msomali. Je ni makusudi ya CDM au imetokea kwa bahati mbaya.?

Wanakimbilia CCM kwa sababu ni pango la kujifichia,wezi,wahujumu uchumi,wakwepa kodi,matapeli,wauaji,wadhurumaji,mafisadi nk.
 
Hawa watu wa rangi nyeupe SIWAPENDI,na nikimkutammoja wapo anataka kufa kwa kiu anafight kuchukua kikombe cha maji,me ntakichukua hicho kikombe na kuondoka nacho,na kama kuna maji yamemwagika ntayafuta yote hata kwa kuyakalia.wanaroho mbaya sana hawa watu na hawatupendi.
 
Nchi yetu tukufu ya Tanzania ina raia wanye asili ya kihindi na wasomali, lakini jambo la kishangaza ni kuwa sijawahi kuona mwanachama wa CDM mwenye asili ya kihindi au msomali. Je ni makusudi ya CDM au imetokea kwa bahati mbaya.?

Jeshini kuna wahindi wangapi?Ukipata jibu basi uje upya.
 
Muulize sabodo atakwambia...ukitaka mambo yako ya kibiashara yaende vizuri iunge mkono ccm. We unadhani wahindi na wasomali wamekuja kufanya siasa hapa? Wamekuja kuwarubuni akina kikwete kwa suti ili wapewe mikataba ya hovyo.....mafisadi wengi ni wahindi na wasomali wengi ni al shababu wkt sisi hatutaki ugaidi
nakupa assignment: Kamconvince rostam na bashe wajiunge cdm
 
CHADEMA wakichukua nchi WAHINDI, WASOMALI, MARAGE wote watahamia CDM.......Wao husapoti aliyeko madarakani
 
mi naona wizi wakubwa ni wazawa wenyewe, huyo mhindi aliingia akavunja benki kuu akaiba? Au alienda wizara akaiba? Wizi ni sisi wenyewe bana. Wahindi hawaendi CDM kwasababu wanajua ni chama cha kibaguzi na pia wameona CDM haina maendeleo.
Hivi yule mtanzania mwenye asili ya kiasia a.k.a Sabodo hayuko timamu kiasi cha kumwaga hela kwenye chama kisicho na mwelekeo na cha kibaguzi. Shem on you hypocrite.
 
Back
Top Bottom