angalia hiyo minyama ikiisha huchelewi kuficha katikati ya makalio.Mie naficha kwenye minyama ya tumbo maana yako kama daftari
Hajawahi gundua.
Wanawake wa siku hizi wamekuwa na tabia ya kuwasachi waume zao pindi wanapowaambia kuwahawana pesa, mimi binafsi yamenikuta, mwanzoni alikuwa aki search na akikuta anakomba zote au ananiachia kidogo, Sasa hivi nimepata ujanja, huwa naficha ndani ya viatu au chini
ya kiti cha gari, Je wewe una mbinu nzuri zaidi yangu??
Wanawake wa siku hizi wamekuwa na tabia ya kuwasachi waume zao pindi wanapowaambia kuwa
hawana pesa, mimi binafsi yamenikuta, mwanzoni alikuwa aki search na akikuta anakomba zote au
ananiachia kidogo, Sasa hivi nimepata ujanja, huwa naficha ndani ya viatu au chini
ya kiti cha gari, Je wewe una mbinu nzuri zaidi yangu??
ukiona mkeo anakupiga sachi ujue hutimizi majukumu yako kama baba na kiongozi wa familia.....
Wanawake wa siku hizi wamekuwa na tabia ya kuwasachi waume zao pindi wanapowaambia kuwa
hawana pesa, mimi binafsi yamenikuta, mwanzoni alikuwa aki search na akikuta anakomba zote au
ananiachia kidogo, Sasa hivi nimepata ujanja, huwa naficha ndani ya viatu au chini
ya kiti cha gari, Je wewe una mbinu nzuri zaidi yangu??
Ukiona mwanaume anatafuta mbinu za kuficha pesa, jua huyo si mwanaume rijali bali mwanaume suruali.
Haaahaaa! Na kuficha simu je? maana sijui naanzaje kuficha walet na simu yangu
ndio wale wale, waficheni wanawake hata sehemu zenu za siri basi.
kuna rafiki yangu dactari hapo moi mkewe huwa anamwibia nayeye ni mlevi sasa anakwenda kugombana na watu wengine nakuwaita wezi basi siku moja akaibiwa hela nyingi sianakuja amelewa analala na viatu akaibiwa zote na mkewe asubuhi hana hata petrol na hata ya daladala mkewe akampa kidogo kumbe ni ile ya kwake ,akaenda kugombana na mtu kuwa amemwibia siku ya siku akilalamika aliibiwa kiasi fulani na anamshuku mtu mkewe akamwambi ni yeye alichukua du yule bwana alihama 3days homeboflo umenichanganya kidogo hasa hapo penye bold, ina maana ukimwambia mkeo huna pesa anakusachi na akizikuta analamba zote au anakuachia kidogo, hii haimaanishi kuwa huwa una hela halafu una mdanganya na ndiyo maana anakusachi na kuzikuta?
Kitendo cha wewe kusachiwa na kuibiwa hizo hela na mkeo na wewe mwenyewe kukaa kimya hauoni kuwa ndo kinachochea zoezi zima la kusachiwa?
Na kama unasachiwa halafu mkeo anaiba na wewe unakubali, kwa nini usiwe unampa tu ili kutomfundisha mkeo tabia za wizi?
Kuna sababu gani ya kuendelee kuishi na mwizi nyumba moja? Maana mimi ninachofahamu nikiwa na mke tunashare vidogo tulivyo navyo na hali halisi kama ninacho au sina yeye mwenyewe huijua hata bila ya kuambiwa!!! Sikufahamu kuwa kuna katabia ka mke kumwibia mume!
angalia hiyo minyama ikiisha huchelewi kuficha katikati ya makalio.
Hujambo asali ya ODM?