Mbinu za kuficha pesa Mke/Mpenzi asijue...

halafu tukificha atakayeathirika na uamuzi huo unafikiri ni nani?

nyie nyie, wengine tuna hormal changes monthly zinazotusaidia kucope na mazingira ya mwili. Hivyo basi mkificha mnajiathiri wenyewe na ndio maana mnaweza kuficha kila kitu isipokuwa uchi. Mkikosa binaadamu wa kike mtawaonyesha mbuzi, nguruwe na hata kuku, bisha!
 
Mie naficha kwenye minyama ya tumbo maana yako kama daftari
Hajawahi gundua.
Kongosho leo umenimaliza! Jamani fanya mazoezi daftari linyooke.
Boflo tabu yote ya nini? Ukificha chini ya kiti cha gari kuna siku waosha gari watazibeba zote! Dawa ni kutimiza wajibu kwa mamaa na hatakuwa na haja ya kukupiga sachi. Na kina dada/mama hebu jishughulisheni muwe na pesa zenu wenyewe sio kila kitu kunyoosha mkono kwa mume/boyfriend. Duh! binafsi huona aibu kuombaomba pesa za matumizi madogo madogo.
 
Last edited by a moderator:
mie sitaki shida, uwa namkabidhi mshahara wote ukitoka, kisha anigawie
 
nyie nyie, wengine tuna hormal changes monthly zinazotusaidia kucope na mazingira ya mwili. Hivyo basi mkificha mnajiathiri wenyewe na ndio maana mnaweza kuficha kila kitu isipokuwa uchi. Mkikosa binaadamu wa kike mtawaonyesha mbuzi, nguruwe na hata kuku, bisha!

Freema Agyeman nabisha kwa nguvu zote...wewe ukijipa mazoezi ya kumkomoa mwanaume anayeokoa jahazi anakuwa mwanamke mwenzako. Ukiona mtu anaenda na mbuzi au mbwa au dume mwenzake sababu sio vikwazo vya kiuchumi alivyowekewa...ni matatizo yake ya akili tu. Ushauri wa bure...dont do that. Itakula kwako maana wadau wa mwanaume kwa asilimia kubwa ni wanawake...sasa inategemea ni wa baa, au wa kazini au mtoto wa shule yaani option hata siwezi kuhesabu.
 
yaani hiyo hainuhusu kabisa 'it is non of my business' kama kuna mwanamke mwingine atakua anaokoa jahazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom