Mbinu za kuficha pesa Mke/Mpenzi asijue...

Mie huwa naweka kwenye mifuko ya nguo zake hapo atasachi wweeeee kwenye mifuko ya suruali yangu na hapati kitu kumbe nimeka kwenye nguo zake teh teh teh eteh hahahahahaa........
 
Kumbe tuko wengi. Nilidhani ni wangu tu ananipigaga sachi nikiwa bafuni.
 
Wanawake wa siku hizi wamekuwa na tabia ya kuwasachi waume zao pindi wanapowaambia kuwahawana pesa, mimi binafsi yamenikuta, mwanzoni alikuwa aki search na akikuta anakomba zote au ananiachia kidogo, Sasa hivi nimepata ujanja, huwa naficha ndani ya viatu au chini
ya kiti cha gari, Je wewe una mbinu nzuri zaidi yangu??

Boflo umenichanganya kidogo hasa hapo penye bold, ina maana ukimwambia mkeo huna pesa anakusachi na akizikuta analamba zote au anakuachia kidogo, hii haimaanishi kuwa huwa una hela halafu una mdanganya na ndiyo maana anakusachi na kuzikuta?

Kitendo cha wewe kusachiwa na kuibiwa hizo hela na mkeo na wewe mwenyewe kukaa kimya hauoni kuwa ndo kinachochea zoezi zima la kusachiwa?

Na kama unasachiwa halafu mkeo anaiba na wewe unakubali, kwa nini usiwe unampa tu ili kutomfundisha mkeo tabia za wizi?

Kuna sababu gani ya kuendelee kuishi na mwizi nyumba moja? Maana mimi ninachofahamu nikiwa na mke tunashare vidogo tulivyo navyo na hali halisi kama ninacho au sina yeye mwenyewe huijua hata bila ya kuambiwa!!! Sikufahamu kuwa kuna katabia ka mke kumwibia mume!
 
Wanawake wa siku hizi wamekuwa na tabia ya kuwasachi waume zao pindi wanapowaambia kuwa
hawana pesa, mimi binafsi yamenikuta, mwanzoni alikuwa aki search na akikuta anakomba zote au
ananiachia kidogo, Sasa hivi nimepata ujanja, huwa naficha ndani ya viatu au chini
ya kiti cha gari, Je wewe una mbinu nzuri zaidi yangu??

Mchawi mpe mwana akulelee.
 
ukiona mkeo anakupiga sachi ujue hutimizi majukumu yako kama baba na kiongozi wa familia.....

Umeona eeh? Huyu atakuwa mzee wa 'sina'! Kila anachoambiwa jibu lake la haraka haraka ni sina! Wakati mwingine huwa hata kusikiliza ni za nini hayuko tayari anarukia sina!

Kwa wakati tulionao, mie naona wanawake wengi wamekuwa watu wa kujitafutia wenyewe, kama siku anakuomba basi ujue nae ametingwa. Hapa siongelei wale extreme cases ambao 'chako changu changu changu'. Kwa sababu hii kadhia ya kuomba omba hela nayo kila siku yataka moyo, uombwe hela kwani wajibu wako umeusahau?

Anyways, wababa na nyie siku hizi mnajisahaulisha majukumu yenu.......
 
Wanawake wa siku hizi wamekuwa na tabia ya kuwasachi waume zao pindi wanapowaambia kuwa
hawana pesa, mimi binafsi yamenikuta, mwanzoni alikuwa aki search na akikuta anakomba zote au
ananiachia kidogo, Sasa hivi nimepata ujanja, huwa naficha ndani ya viatu au chini
ya kiti cha gari, Je wewe una mbinu nzuri zaidi yangu??

Ukiona mwanaume anatafuta mbinu za kuficha pesa, jua huyo si mwanaume rijali bali mwanaume suruali.
 
Bora umeleta hii mada, kwa kuwa kuna wizi dhidi ya waume zao upo kwenye damu. Kuna rafiki yangu anatofautiana na mkewe kila mara, kwa kuwa mke akikuta hela kwenye mfuko nachukua zote. Kuna siku jamaa ameweka hela kwa ajili ya kwenda kulipa deni, wakati jamaa anaoga mke akazipitia zote. Kashshe ilikuwa pale jamaa alipofika kwa mdeni wake ili alipe, akajikuta hana kitu. Nasubiri mbinu kwa mlio ndani ya ndoa.
 
boflo umenichanganya kidogo hasa hapo penye bold, ina maana ukimwambia mkeo huna pesa anakusachi na akizikuta analamba zote au anakuachia kidogo, hii haimaanishi kuwa huwa una hela halafu una mdanganya na ndiyo maana anakusachi na kuzikuta?

Kitendo cha wewe kusachiwa na kuibiwa hizo hela na mkeo na wewe mwenyewe kukaa kimya hauoni kuwa ndo kinachochea zoezi zima la kusachiwa?

Na kama unasachiwa halafu mkeo anaiba na wewe unakubali, kwa nini usiwe unampa tu ili kutomfundisha mkeo tabia za wizi?

Kuna sababu gani ya kuendelee kuishi na mwizi nyumba moja? Maana mimi ninachofahamu nikiwa na mke tunashare vidogo tulivyo navyo na hali halisi kama ninacho au sina yeye mwenyewe huijua hata bila ya kuambiwa!!! Sikufahamu kuwa kuna katabia ka mke kumwibia mume!
kuna rafiki yangu dactari hapo moi mkewe huwa anamwibia nayeye ni mlevi sasa anakwenda kugombana na watu wengine nakuwaita wezi basi siku moja akaibiwa hela nyingi sianakuja amelewa analala na viatu akaibiwa zote na mkewe asubuhi hana hata petrol na hata ya daladala mkewe akampa kidogo kumbe ni ile ya kwake ,akaenda kugombana na mtu kuwa amemwibia siku ya siku akilalamika aliibiwa kiasi fulani na anamshuku mtu mkewe akamwambi ni yeye alichukua du yule bwana alihama 3days home
 
Yaani Asprin, nimekuona hadi moyo ukaruka juu
Where have you been?
Utamwachaje Asali wako analiwa na vi-inzi badala ya wewe nyuki baba lao? Au ndo ushaanza vifinyo na misonyo kama mama wa kambo?
angalia hiyo minyama ikiisha huchelewi kuficha katikati ya makalio.

Hujambo asali ya ODM?
 
usiwe unatembea na hela Boflo si kuna cash mashine huko ulipo au???
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom