Mbeya yachafuka polisi wapambana na wamachinga

Mkuu kuinyofoa ama kutokuinyofoa haina maana kama habari yenyewe ni ya ukweli ama hata kama si ya kweli,basi cha muhimu ni ku hesabu hizo siku 100 walizotowa.

Haya ya Mbeya bado sidhani kama yana uhusiano wowote na hawa watu.

However wananchi wamekuwa very desparate na siwezi kushangazwa kama kuna some orgnaization ya hata wanajeshi waliochoshwa.

Huwezi juwa watu wamevaa kiraia bado.

habari ninayo sema ni hiyo ya mwakyembe kulishwa sumu
 
Duh! Busara haiwezi kutumika wakuu? JK niteuwe niwe mkuu wa mkoa Mbeya. Nitakua kiongozi na sio Mtawala.
Haya yote yanahepukika kwa mazungumzo
 
Duh! Busara haiwezi kutumika wakuu? JK niteuwe niwe mkuu wa mkoa Mbeya. Nitakua kiongozi na sio Mtawala.
Haya yote yanahepukika kwa mazungumzo
Ukiwa mkuu wa mkoa wa Mbeya utaisaidia vipi Arusha, Kilimanjaro, Mara, Mwanza etc?

Labda uombe kazi nyingine.

There are some things you cana never change.Sometimes you just have to accept it as a matter of fact.
 
khaaa! haya madubwasha ndio yanawasha hivi! nilidhani nimemwagiwa pilipili machoni! hebu ngoja kwanza nikatafute gari maanake sijui nililiacha wapi, bado hali ni tete, mabomu ya machozi bado yanarindima kukabiliana na wananchi

Komaa kaka mkubwa! Onja ladha ya Tahrir Square. Freedom is coming now!
 
watasema ni chadema na siyo kandoro aliyesababisha haya!

magamba inawauma sana kuondolewa ikulu kama gadafi maana Nyerere alishasema, namnukuu " mtu ukiona anakimbilia kwenda ikulu mwogope kama ukoma, pana biashara gani pale mpaka upakimbilie"
 
I wisha i were there nchii hii imenichosha Nina imani kabisa mbunge wa mbeya mjini leo halali dodoma ataondoka kwenda mbeya tafadhali endeleeni na mwendo huohuo UKOMBOZI WA TANZANIA NI SASA
 
Jamani nini kinajiri mlioko mbeya!!!

nimeongea narafiki yangu muda si mrefu hali bado tete wanyakyusa wamekomaa milio ya risasi na mabomu bado yanalindima. polisi na JWTZ wapo barabarani tuombe mungu. wananchi wantaka kandoro aondolewe ndani ya masaa 24 otherwise mbeya haitakalika
 
Back
Top Bottom