Mbeya : Watu 40 wakamatwa kwa Tuhuma za kuchepusha Mapato ya serikali , wamo Madiwani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,812
218,471
Screenshot_2023-08-28-11-26-44-1.jpg

Taarifa ya Mkuu wa Mkoa huo Juma Homera , inaeleza kwamba , watu 40 (idadi yao yaweza kuongezeka) wamekamatwa kwa tuhuma za kutengeneza mtandao wa kujipatia mapato ya Halmashauri kinyume cha sheria za Nchi .

Mnyororo wa Watu hawa umeanzia Mbarali , ukaja Busokelo hadi Mbeya Mjini , Taarifa zaidi zinaeleza kwamba Mtaalam Msomi aliyetengeneza mchepuko huo amekamatiwa Jijini Dar es salaam , bado mpaka muda huu hatujapata majina ya watuhumiwa hao (Juhudi zinaendelea)

Bali Mshangao wa wengi ni kuhusu Watuhumiwa hao kukamatwa Mara tu baada ya Kauli ya Rais , ina maana huko Mbeya hakuna viongozi wala vyombo vya dola vyenye uwezo wa kubaini mambo haya ?

Ushauri : Viongozi wote wa Polisi , Tiss , RC na Ma DC wa maeneo yaliyotajwa Watimuliwe mara moja .
 
Siku hizi Watumishi wamekuwa wezi sana.

Majizi hapo Watumishi wa Mahakama zaidi ya 10 walitiwa Mbaroni Kwa upigaji

Watumishi wa Halmashauri zaidi ya 7 walitiwa Mbaroni huko Katavi na

Sasa Watumishi zaidi ya 16 hapa Dar wametiwa Mbaroni kwa.tuhuma.za Ufisadi
Watu wanakula Bata Dubai kwanini na wao wasile si wameambiwa wale kwa urefu wa kamba?
 
View attachment 2731379

Taarifa ya Mkuu wa Mkoa huo Juma Homera , inaeleza kwamba , watu 40 (idadi yao yaweza kuongezeka) wamekamatwa kwa tuhuma za kutengeneza mtandao wa kujipatia mapato ya Halmashauri kinyume cha sheria za Nchi .

Mnyororo wa Watu hawa umeanzia Mbarali , ukaja Busokelo hadi Mbeya Mjini , Taarifa zaidi zinaeleza kwamba Mtaalam Msomi aliyetengeneza mchepuko huo amekamatiwa Jijini Dar es salaam , bado mpaka muda huu hatujapata majina ya watuhumiwa hao (Juhudi zinaendelea)

Bali Mshangao wa wengi ni kuhusu Watuhumiwa hao kukamatwa Mara tu baada ya Kauli ya Rais , ina maana huko Mbeya hakuna viongozi wala vyombo vya dola vyenye uwezo wa kubaini mambo haya ?

Ushauri : Viongozi wote wa Polisi , Tiss , RC na Ma DC wa maeneo yaliyotajwa Watimuliwe mara moja .
Huyo RC ilipaswa na yeye akamatwe
 
Siku hizi Watumishi wamekuwa wezi sana.

Majizi hapo Watumishi wa Mahakama zaidi ya 10 walitiwa Mbaroni Kwa upigaji

Watumishi wa Halmashauri zaidi ya 7 walitiwa Mbaroni huko Katavi na

Sasa Watumishi zaidi ya 16 hapa Dar wametiwa Mbaroni kwa.tuhuma.za Ufisadi

View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1696110418240921616?t=bbRcuTLgRKGEekrLkwK-0Q&s=19

Bila kubadilisha mfumo wa kuongoza nchi ni bure. Katiba mpya ni muhimu ili kuondoa hizo loopholes. Na pia uongozi wa juu uwajibike kwa kuwa mfano. Huwezi kuwaamuru wasimamizi wa uchaguzi wapindishe matokeo halafu utegemee watakutii na kutofanya ufisadi. Pia mawaziri na rais wakiwa wapigaji ngazi za chini nao wanaiga.
 
View attachment 2731379

Taarifa ya Mkuu wa Mkoa huo Juma Homera , inaeleza kwamba , watu 40 (idadi yao yaweza kuongezeka) wamekamatwa kwa tuhuma za kutengeneza mtandao wa kujipatia mapato ya Halmashauri kinyume cha sheria za Nchi .

Mnyororo wa Watu hawa umeanzia Mbarali , ukaja Busokelo hadi Mbeya Mjini , Taarifa zaidi zinaeleza kwamba Mtaalam Msomi aliyetengeneza mchepuko huo amekamatiwa Jijini Dar es salaam , bado mpaka muda huu hatujapata majina ya watuhumiwa hao (Juhudi zinaendelea)

Bali Mshangao wa wengi ni kuhusu Watuhumiwa hao kukamatwa Mara tu baada ya Kauli ya Rais , ina maana huko Mbeya hakuna viongozi wala vyombo vya dola vyenye uwezo wa kubaini mambo haya ?

Ushauri : Viongozi wote wa Polisi , Tiss , RC na Ma DC wa maeneo yaliyotajwa Watimuliwe mara moja .
Mama anaupiga mwingi
 
Itafaa tujue na ukoo wa kila mmoja,isije kuwa ni ule ukoo wa panya😂.Kwani mwisho tunaweza ni kuwalaumu bure🤔
 
Hon
View attachment 2731379

Taarifa ya Mkuu wa Mkoa huo Juma Homera , inaeleza kwamba , watu 40 (idadi yao yaweza kuongezeka) wamekamatwa kwa tuhuma za kutengeneza mtandao wa kujipatia mapato ya Halmashauri kinyume cha sheria za Nchi .

Mnyororo wa Watu hawa umeanzia Mbarali , ukaja Busokelo hadi Mbeya Mjini , Taarifa zaidi zinaeleza kwamba Mtaalam Msomi aliyetengeneza mchepuko huo amekamatiwa Jijini Dar es salaam , bado mpaka muda huu hatujapata majina ya watuhumiwa hao (Juhudi zinaendelea)

Bali Mshangao wa wengi ni kuhusu Watuhumiwa hao kukamatwa Mara tu baada ya Kauli ya Rais , ina maana huko Mbeya hakuna viongozi wala vyombo vya dola vyenye uwezo wa kubaini mambo haya ?

Ushauri : Viongozi wote wa Polisi , Tiss , RC na Ma DC wa maeneo yaliyotajwa Watimuliwe mara moja .
Hongera mama Samia kwa kulishusha valangati!
Hawa mbomo ngafu shida sana!
 
Back
Top Bottom