Mbatia atofautiana na Lowassa

Watafutia tumbo hao. Duniani kote njia ya kupata takwimu sahihi ni kufanya utafiti.
Viva MAGUFULI Viva.
CHAGUA MAGUFULI!!
#HAPA KAZI TU!!
 
Mbatia ktk ubora wake,kaisaliti NCCR siku hizi kawa msemaji wa chadema kweli kununuliwa kubaya
 
mbatia binafsi nilikuwa namkubali sana .. kufanya utafiti wa ndani si jambo baya na matokeo yao pengine ni yakweli... ok.. lakini kuna huu utafiti wa twaweza ambao umebase on fact wenye akili timamu wote wamekubali.. ni wenye mahaba na vyama ndio hupinga....mbatia unajivua nguo mkuu
 
Wale wote wakatao ku bali Tafiti ya twaweza ni wapumbavu---mbatia huyo
Hahahahaha
 
Uloi nga mâché68;14104016 said:
Matokeo hayo ya Mbatia ni kwa Mkoa wa Kilimanjaro, Arusha na Manyara tu. Kwa Nchi nzima CHADEMA hawana chao!

Tukutane oct, nini kelele
 
Acha uongo james mbatia hakusema hivyo. Jana nilisikiliza hotuba yake mwanzo mwisho.
Mkuu kuna wangese magamba wanakurupuka tu, muda si mrefu nmetoka tena kumsikia mbatia
Hawa wapumbavu wana proprigate tu mambo.

ndomana mbatia akasema kwa wale ambao wataikubali Tafiti ya twaweza watakuwa ni wapumbavu.....hahaahaha
 
Uloi nga mâché68;14104016 said:
Matokeo hayo ya Mbatia ni kwa Mkoa wa Kilimanjaro, Arusha na Manyara tu. Kwa Nchi nzima CHADEMA hawana chao!

Ata Monduli na Vunjo bado Lowassa hawezi shinda kwa 74%; wakijitahidi atapata huko ataishia kwenye 55%, yaan ata Mbunge wa Monduli bado atatoka CCM.
 
Wajitokeze basi kupinga na huu wa Synovate

Hongereni kwa ushindi wa kitafiti.
Swali; tulishuhudia tafiti nyingi wakati wa kura ya maoni ndani ya chama cha Mapinduzi Lowassa akiwa anaongoza Magufuli akiwa mkiani, ebu niambie ilikuwaje mkapuuza tafiti mkachinja Lowassa

Nitawachinja kama mlivyomchinja Lowassa na tafiti zenu za kifisadi
 
Back
Top Bottom