Michael Chairman
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 922
- 581
Ni baada ya kuongea na vyombo vya habari kuhusiana na utafiti wa TWAWEZA juu ya uchaguzi mkuu. Mhe LOWASSA akihutubia kwenye mkutano wa jimbo la mtama aliukataa utafiti wa Twaweza nakusema kuwa yeye anasubiri mwamuzi tarehe 25/10/2015 na wala si vinginevyo... katika hali ya kushangaza Mwenyekiti mwenza wa ukawa James Mbatia leo amezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na utafiti wa TWAWEZA na kusema kuwa utafiti huo ni feki na wao wanaukawa wamefanya utafiti wa ndani na kugundua kuwa EDWARD LOWASSA atashinda kwa asilimia 74 sasa kwa mantiki hiyo tumuelewe nani kati ya Mbatia na mgombea wa UKAWA Ndugu Edward LowassaView attachment 290780