Mbarali: Kampeni ya kuifuta CCM yafika vijiji visivyofikika , Liberatus Mwang'ombe aongoza kikosi cha ufutaji

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,743
218,334
Hali ndio kama mnavyoiona


Screenshot_2023-11-25-17-48-13-1.png
Screenshot_2023-11-25-17-47-20-1.png
Screenshot_2023-11-25-17-47-29-1.png

Aliyekuwa mgombea Ubunge Jimbo la Mbarali kwa tiketi ya Chadema, ndugu Liberatus ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram kuhusu wanachoendelea kukifanya huko katika kusajili wanachama kidigitali.

Ameandika "Hii ni kata ya Miyombweni, Mbarali. Unaendesha barabara ya vumbi kwa zaidi ya KM 50 kutoka barabara ya lami hadi kufika kata hii. Watu wake walikuwa waoga sana. CHADEMA tukifika walikuwa wanakimbia. Leo wanakuja wanyewe kujiandikisha CHADEMA Kidigitali.

Watu hawa wameelewa tatizo la kunyang’anywa mashamba, mifugo na kupigwa risasi na askari wa TANAPA linasababishwa na CCM. Wanaelewa kuhusu DP World pia."
 
Naona mnajitekenya na kucheka wenyewe!

CCM NI DUDE KUBWA SANA HAMLIWEZI HILI TAASISI, MSIPOKUWA MAKINI MTAFIKA MKIWA MMECHOKA SANA.
 
Back
Top Bottom