Mbali na uongozi, mashabiki wa Simba nao ni wa kulamiwa kwani walikuwa hawataki kukubali timu yao ni mbovu na hoja yao ikawa ni Yanga wananunu mechi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,145
144,657
Mashabiki wasimba wakubali kuwa nao ni tatizo tena kubwa sana kuliko hata mabenchi ya ufundi yote yaliyopita kwani tangu msimu uliopita tulikuwa tunawaambia hii Simba ni mbovu wakawa wabishi huku hoja zikiwa ni Yanga kupitia GSM wananua hizi mechi, wanahonga waamuzi, wanacheza kombe la loser, nk.

Hatimae mudau umethibitisha na utaendelea kuthibitisha zaidi pale wataposhika nafasi ya tatu kwenye ligi.

Msiseme sikuwaambia.
 
Wewe Kilaza acha kelele za Unyani Unyani.

SIMBA BINGWA WA NGAO YA JAMII.
SIMBA BINGWA WA KOMBE LA MUUNGANO.
SIMBA FINALIST WA KOMBE LA MAPINDUZI.
Hivi nyie WanaYanga ukitoa pointi 3 za Kagera Sugar na Utoe 3 za juzi mlizopata kwa Coast baada ya ile Red Card ya Mchongo kwenye Ligi unamzidi nini SIMBA!
Je, Hiyo Yanga Imara imeshinda nini hadi sasa??
Acheni kujiaminisha ujinga, WanaSimba wamewaacha muongee kaVichaa maaana wengi wenu hamnazo!
 
Yanga iliposhinda waliambiwa inacheza na timu mbovu,walipo cheza nao wakala 5G wakasema majini hahaha
 
Wewe Kilaza acha kelele za Unyani Unyani.

SIMBA BINGWA WA NGAO YA JAMII.
SIMBA BINGWA WA KOMBE LA MUUNGANO.
SIMBA FINALIST WA KOMBE LA MAPINDUZI.
Hivi nyie WanaYanga ukitoa pointi 3 za Kagera Sugar na Utoe 3 za juzi mlizopata kwa Coast baada ya ile Red Card ya Mchongo kwenye Ligi unamzidi nini SIMBA!
Je, Hiyo Yanga Imara imeshinda nini hadi sasa??
Acheni kujiaminisha ujinga, WanaSimba wamewaacha muongee kaVichaa maaana wengi wenu hamnazo!
We toa povu ila mwisho wa siku utarudi humu kulialia kama mnacyolia leo.
 
Hakuna ubingwa wa ngao ya jamii wewe tutusa, ni mshindi wa ngao ya jamii.

Bingwa wa muungano alikuwa anapitaka zamani enzi.za FAT kulikuwa na ligi ya muungano, home and away na kushiriki ni lazima upate nafasi za juu kwenye ligi ya bara na visiwani, siyo hii kuteuwa viti maalum mechi mbili unachukuwa kombe.

Ligi ni hii ya NBC, mafuta na maji ndio vinajitenga.
 
Jibu hoja, acha viroja, Simba imevuna pesa mara 3 na vikombe 2 nyie mnaoimbishwa jiesieeeeem ka vitoto vya Nursery mna kipi hadi sasa.

Mwenzenu Hersi yuko pale anatafuta Jimbo la Uchaguzi nyie ni kuimba tuuu utazan kwelea kwelea wa mashamba ya Ihefu
 
Hakuna ubingwa wa ngao ya jamii wewe tutusa, ni mshindi wa ngao ya jamii.

Bingwa wa muungano alikuwa anapitaka zamani enzi.za FAT kulikuwa na ligi ya muungano, home and away na kushiriki ni lazima upate nafasi za juu kwenye ligi ya bara na visiwani, siyo hii kuteuwa viti maalum mechi mbili unachukuwa kombe.

Ligi ni hii ya NBC, mafuta na maji ndio vinajitenga.
Kweli wenye akili ni Wawili tu huko Utopolo wewe ndiyeee kopoooo tena la NIDO!
 
Attachments

  • FB_IMG_1713862685968.jpg
    FB_IMG_1713862685968.jpg
    29.1 KB · Views: 2
Sasa mnafukuza makocha wa nini?
Wewe unatakiwa kuitwa Toilet Paper hiyo Salary Slip uliyojiita unaifedhehesha. Ipo tofauti kubwa sana kati ya kuomba kuvunja mkataba na kufukuzwa. Ndio maana mnaambiwa wenye akili ni JK na Baba Manara nyinyi wengine ni Maaamuma wa kutupwa ukiwemo wewe.
 
Wewe Kilaza acha kelele za Unyani Unyani.

SIMBA BINGWA WA NGAO YA JAMII.
SIMBA BINGWA WA KOMBE LA MUUNGANO.
SIMBA FINALIST WA KOMBE LA MAPINDUZI.
Hivi nyie WanaYanga ukitoa pointi 3 za Kagera Sugar na Utoe 3 za juzi mlizopata kwa Coast baada ya ile Red Card ya Mchongo kwenye Ligi unamzidi nini SIMBA!
Je, Hiyo Yanga Imara imeshinda nini hadi sasa??
Acheni kujiaminisha ujinga, WanaSimba wamewaacha muongee kaVichaa maaana wengi wenu hamnazo!
Pacome ni mchezaji bora wa ligi ya ivory coast msimu wa 2022/2023 na sio kramo
 
Bado hamjasema.
 
Kwahiyo hilo unalokataa sio la muungani tff inalitambua vipi?
Hakuna ubingwa wa ngao ya jamii wewe tutusa, ni mshindi wa ngao ya jamii.

Bingwa wa muungano alikuwa anapitaka zamani enzi.za FAT kulikuwa na ligi ya muungano, home and away na kushiriki ni lazima upate nafasi za juu kwenye ligi ya bara na visiwani, siyo hii kuteuwa viti maalum mechi mbili unachukuwa kombe.

Ligi ni hii ya NBC, mafuta na maji ndio vinajitenga.
 
Kwahiyo hilo unalokataa sio la muungani tff inalitambua vipi?
Hakuna ubingwa wa ngao ya jamii wewe tutusa, ni mshindi wa ngao ya jamii.

Bingwa wa muungano alikuwa anapitaka zamani enzi.za FAT kulikuwa na ligi ya muungano, home and away na kushiriki ni lazima upate nafasi za juu kwenye ligi ya bara na visiwani, siyo hii kuteuwa viti maalum mechi mbili unachukuwa kombe.

Ligi ni hii ya NBC, mafuta na maji ndio vinajitenga.
 
Pacome ni mchezaji bora wa ligi ya ivory coast msimu wa 2022/2023 na sio kramo
Duuuu wewe naye ni GT wa JF mwanaYanga au siyo? Poa,
Mkuu mimi nimeongelea Top Scorer/Mfungajii Kinara.
Hayo ya Mchezaji bora Ongelea wewe mkuu. Hongera mwamba unajua haswaa
 
Wewe Kilaza acha kelele za Unyani Unyani.

SIMBA BINGWA WA NGAO YA JAMII.
SIMBA BINGWA WA KOMBE LA MUUNGANO.
SIMBA FINALIST WA KOMBE LA MAPINDUZI.
Hivi nyie WanaYanga ukitoa pointi 3 za Kagera Sugar na Utoe 3 za juzi mlizopata kwa Coast baada ya ile Red Card ya Mchongo kwenye Ligi unamzidi nini SIMBA!
Je, Hiyo Yanga Imara imeshinda nini hadi sasa??
Acheni kujiaminisha ujinga, WanaSimba wamewaacha muongee kaVichaa maaana wengi wenu hamnazo!
Salary slip njoo uone hii takataka!
 
Kwasasa Yanga haina kitu ila bado inapigania malengo yao ya msimu huu.
1) Klabu bingwa kucheza makundi
2) Kombe la FA bado yupo mashindanoni hatua ya robo fainali na kesho wakishinda wanaenda nusu fainali.
3) ligi kuu Tanzania bara bado yupo kwenye mbio za kutetea akiwa kamwacha point 8 timu ya pili.

Hivyo Yanga bado yupo katika harakati za kutimiza malengo yake ya msimu huu.

Nyie kama mpaka sasa mmeshatimiza malengo yenu mpaka sasa basi ni jambo la kumshukuru Mungu katika hilo kwasababu kila timu na mashabiki wake inapoanza msimu huwa na shauku ya kuona wanapata makombe yapi.

Hivyo hongereni kwa kutimiza malengo yenu hadi sasa kwa kuwa mabingwa wa Muungano, mshindi wa pili wa Mapinduzi na mshindi wa ngao ya jamii.

Yanga bado inajitafuta kutimiza malengo yake ya msimu huu japo bado hayuko mbali endapo juhudi zao za upambanaji utaendelea.
 
Back
Top Bottom