Mbagala Kuzuiani

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
KIJANA aliyejeruhiwa juzi na Simba huko Mbagala Kuzuiani amebainisha kuwa aliponzwa na fulana nyekundu aliyokuwa amevaa siku hiyo ya tukio.

Akiongea akiwa wodini katika taasisi ya MOI Muhimbili alidai kuwa ameponzwa na fulana nyekundu aliyokuwa amevaa kwa kuwa Simba huyo alikuwa akimkimbiza syeye tu katika kundi lote la watu waliofika kumshuhudia.

Alidai siku hiyo alikuwa ni miongoni mwa watu waliofika kumshuhudia lakini ghafla aliweza kurukiwa na Simba huyo na alipokuwa akijaribu kujihami na kukimbia katika kudni la watu sima huyo alizidi kumfata yeye.

Alidai alijihami kwa kukimbilia na kupanda katika mti wa mnazi lakini bado simba huyo alimfata na kumparura kwa kumshika sehemu zake za shingoni na aliweza kuachiwa na simba huyo baada ya kusikia kelele za watu na kukimbia nay eye kukimbizwa hospitali .
 
Logic ni ndogo sana hapa. Simba alidhani kuwa t shirt yako ina damu tahts all.
 
Logic ni ndogo sana hapa. Simba alidhani kuwa t shirt yako ina damu tahts all.
Hapana, animals (cats and dogs) to be specific, ni color blind, they only see very pale shades of color, which means they can't tell the difference between red and green, etc.
 
Hapana, animals (cats and dogs) to be specific, ni color blind, they only see very pale shades of color, which means they can't tell the difference between red and green, etc.

Very true.
Inasemekana huwa wanaona 'black and white'
 
Back
Top Bottom