bigilankana
Senior Member
- Dec 15, 2009
- 144
- 4
waziri gani Nyerere alipeleka mahakamani akachapwa viboko mtaje?
Fundikira mwaka 1965 alipokuwa waziri wa sheria.
waziri gani Nyerere alipeleka mahakamani akachapwa viboko mtaje?
Kwa nini tusimpate Zuma wa bongo?? yaani ngangari wa misimamo asiyeogopa kichuguu wala mlima ambaye anaweza kupita milango hata yenye zengwe kali lakini nia iwe moja tu kurejesha heshima ya nchi.
kwa hapa nchini naona wassira anafaa sana, kama mkimkataa basi namleta kwenu mzee wetu mahita.
heheheNafikiria zamu ya wajeshi walio na misimamo imefika sasa....tuwajaribu wazalendo wa jeshini labda...wanaweza wakatutoa ujinga huu wa kubebana....labda Brig Ndomba...ila best ya JK
ada ya mja hunena muungwana vitendo
semeni wazi kuwa hamumpendi jk
mbona wakati wa bm hamkuthubutu kusema????
Mzee rukhsa alilizika azimio la arusha mbona hamsemi
chakufahamu hapa ni hata kama sisi wana jf wote hatumtaki pamoja na wasomao magazeti lakini mjue kuna mamilioni ambao wako nyuma yao jee hao wote ni wajinga??????
Hivi ni raisi gani amewahi kuthubutu kuwapeleka mahakamani idadi kubwa ya viongozi tangu tupate uhuru???? Au mlitaka awahukumu kwa kuwaweka kizuizini kama zile enzi???????
achane ulongo, ukitaka kuandika hapa weka habari iliyotafitiwa - no research no right to speak
JF inaelimisha sana, natumai mdau uliyempasha ameelimika.Hii ni kukatishana tamaa. Mwenzetu ameleta hoja ijadiliwe, hajasema fulani na nani anafaa ama hafai. ni wakati wako wewe kutoa mawazo yako kuunga mkono mjadala.
naona leo jua limechomozea magharibi.
unadhani wabongo watampigia kura mmasai huyu tena??? why not Samweli Sitta?? maana ameonesha mwelekeo wa msimamo thabiti dhidi ya tabia legevu ya serikali ktk maamuzi mazito.
Kwa nini tusimpate Zuma wa bongo?? yaani ngangari wa misimamo asiyeogopa kichuguu wala mlima ambaye anaweza kupita milango hata yenye zengwe kali lakini nia iwe moja tu kurejesha heshima ya nchi.
kwa hapa nchini naona wassira anafaa sana, kama mkimkataa basi namleta kwenu mzee wetu mahita.
Orodhesha mafisadisho yake hapa tumchambue mkuuMpaka sasa mie nashangaa huyu Wassira anafanya nini kwenye baraza la mawaziri!!! Huyu bwana toka amepata uwaziri akili yake yote iko kwenye kuiba tu, trying to make up for lost time. Can some one cite one achievement in any of the ministries he has served? Huyu ni mmoja wa wale waliopata vyeo kwasababu ya patronage ya Jakaya.You are insulting people's intergrity by suggesting his name.