Mazishi ya wanapinduzi wa Nyamongo, TARIME

wezi waitwa wanamapinduzi......! siasa bwana!

wanamapinduzi wanaitwa wezi... siasa bwana!!
wanaoangusha nchi wanasifia amani... siasa bwana!!
wanaohoji wanaitwa wachochezi... siasa bwana!!
mafisadi wanaitwa waheshimiwa... siasa bwana!!
a failed politician anabandikwa udokta... siasa bwana!!
Nimeamini ujinga hauna ujazo!!
 
Taarifa za vyombo vya Dola zilisema walikuwa watu zaidi ya 800, katika hali ya kawaida hakuna majambazi wanoweza kufikia idadi kama hiyo, maana wataonekana hadharani ilhali majambazi wanatakiwa kujificha ili wasionekane. Ni kweli kwamba mgodi unatakiwa kulindwa kama mabenki au Kampuni yoyote yenye vito vya thamani. Lakini katika historia ya nchi yetu hakuna benki iliyowahi kuvamiwa na majambazi 800 au zaidi.

Kulingana na uelewa wangu hawa waliouwawa Nyamongo, ningeweza kuwaita wavamizi, lakini pia najiuliza kulikoni hadi watu 800 wavamie eneo ambalo wanafahamu kuwa lina ulinzi mkali? Kumbuka kuwa mgodi wa North Mara unalindwa na makundi mawili la kwanza ni Askari Polisi/FFU na la pili ni Askari wa Mgodi tena nao wana sila wanaoitwa "Mobile".

Nilipotafakari mambo yote hayo, nikaona kwamba hadi kufikia watu 800 kwenda kuvamia sehemu kama hiyo hata kama walitaka kuiba, maana yake ni kwamaba wamekata tamaa na wanaenda lolote liwe. Kwa maana nyingine ni kwamba wamefikia kikomo cha uvumilivu na hali ya eneo hilo, hivyo, wanahitaji kusikilizwa na mabadiliko kufanyika. KUFIKIA HAPO, NAMI NIKAWAITA WANAMAPINDUZI.
Mkuu usihangaike kumjibu huyo mpumbavu.... anadandia mada bila insight yoyote, si ndio hao wanaokula skolashipu za baba na mama mdogo!!
 
wanamapinduzi wanaitwa wezi... siasa bwana!!
wanaoangusha nchi wanasifia amani... siasa bwana!!
wanaohoji wanaitwa wachochezi... siasa bwana!!
mafisadi wanaitwa waheshimiwa... siasa bwana!!

Nimeamini ujinga hauna ujazo!!

Mafisadi wanawekewa mazuria mekundu siasa bwana
Wezi wa EPA wanaheshimiwa siasa bwana
Wamiliki wa Dowans wanaogopwa siasa bwana
Wala rushwa wana lindwa Siasa bwana
Wauza madawa ya kulevya wanapiga picha na raisi ...siasa bwana

listi inaweza endelea
 
Tujaribu kuwa makini tunapozungumzia mambo yanayohusu jamii yete, wengine mpo wazi mnasema ni majambazi je polisi wanawashikiria wangapi? Kati ya hoa 800 ukiwatoa hao marehemu waliovamia huo mgodi.
 
Kweli JK nyerere hakukosea aliposema tuanze kuchimba migodi ya dhahabu baada kuandaa wataalam wetu leo hili suala linasabisha wenyeji wa sehemu husika kuishi kama wakimbizi,vifo,unyanyasaji,na wengine kuitwa majambazi baada wakat wanapigania haki zao ipo cku watanzania tutachoka kufikia hali kama ya TAHIl SQUARE EGYPTY mlize mbarak na familia wanaozea jela.
 
Ni majambazi sio wanamapinduzi. hivi nyie hamuijui mara kwa ujambazi?

Acha ushabiki wa kijinga! tena inawezekana unaumwa wewe nenda kapate kikombe!
Watu wanadai haki mnawaita majambazi, na je, majambazi mtawaitaje?

jambazi wanapigwa risasi kisogoni we umeona wapi?
 
Subiri watu watakapoanza kuandamana kuelekea magogoni kama ilivyotokea Cairo na Tunis ndipo utakapokuja kujua tofauti kati ya wanamapinduzi na wezi!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mafisadi wanawekewa mazuria mekundu siasa bwana
Wezi wa EPA wanaheshimiwa siasa bwana
Wamiliki wa Dowans wanaogopwa siasa bwana
Wala rushwa wana lindwa Siasa bwana
Wauza madawa ya kulevya wanapiga picha na raisi ...siasa bwana

listi inaweza endelea

MAFISADI WAKIKAMATWA NCHI ITAYUMBA.... SIASA BWANA......!!!i
 
Eti 'WANAMAPINDUZI',kumbe ukiiba ckuiz unakuwa mwanamapinduz?you must be kiddin'

je serikali huwa inatoa kiasi gani inapo ua majambazi..kumbuka kwa hawa wa nyamongo ili ahidi kutoa mil tatu kwa kila familia iliyofiwa..ni sheria ipi ina mruhusu polisi kuua..
 
Taarifa za vyombo vya Dola zilisema walikuwa watu zaidi ya 800, katika hali ya kawaida hakuna majambazi wanoweza kufikia idadi kama hiyo, maana wataonekana hadharani ilhali majambazi wanatakiwa kujificha ili wasionekane. Ni kweli kwamba mgodi unatakiwa kulindwa kama mabenki au Kampuni yoyote yenye vito vya thamani. Lakini katika historia ya nchi yetu hakuna benki iliyowahi kuvamiwa na majambazi 800 au zaidi.

Kulingana na uelewa wangu hawa waliouwawa Nyamongo, ningeweza kuwaita wavamizi, lakini pia najiuliza kulikoni hadi watu 800 wavamie eneo ambalo wanafahamu kuwa lina ulinzi mkali? Kumbuka kuwa mgodi wa North Mara unalindwa na makundi mawili la kwanza ni Askari Polisi/FFU na la pili ni Askari wa Mgodi tena nao wana sila wanaoitwa "Mobile".

Nilipotafakari mambo yote hayo, nikaona kwamba hadi kufikia watu 800 kwenda kuvamia sehemu kama hiyo hata kama walitaka kuiba, maana yake ni kwamaba wamekata tamaa na wanaenda lolote liwe. Kwa maana nyingine ni kwamba wamefikia kikomo cha uvumilivu na hali ya eneo hilo, hivyo, wanahitaji kusikilizwa na mabadiliko kufanyika. KUFIKIA HAPO, NAMI NIKAWAITA WANAMAPINDUZI.

Idadi ya watu 800 kwa vijiji vya Mara, ukiondoa wanawake, wazee na watoto? Hicho kijiji kina watu wangapi.....
 
hivi ukimwibia mzungu ni kosa? wakati wao walituibia mali zetu na bado wanatufata kutuibia, hawa vijana walikuwa wakijaribu kujikwamua kimaisha kwani wao ndio waliogundua madini, ifike hatua kwamba wananchi wakigundua madini wapewe kipaumbele wafaidi mali zao . Hata hivyo inasemekana ilikuwa dili la polisi na baadhi ya wananchi police huwapa magwanda polisi ili waingie wachimbe alafu wagawane dili lilipokufwa ili wasipoteze ajira ilibidi wawaue wpoteze ushahidi
 
Jambazi babayako, mdogo wako, dada yako, mmeo, mbwa wako, fenicha zako, nyumba yako, wewe mwenyewe, na vyote vinavyokuhusu
wamevamia mali yenye wenyewe sasa ulitegemea wapewe matofali ya dhahabu? mbona nyie wake zenu wakisemeshwa mnakua wakali? Kila mtu lazima alinde chake na wewe kwa akili zako unafikiri kwanini waliwekwa walinde polisi hapo? Hakuna cha wanamapinduzi hapa. Siku zote wanaiba hapo mgodini lakini safari hii walitaka wachukue yote.
 
wanamapinduzi wanaitwa wezi... siasa bwana!!
wanaoangusha nchi wanasifia amani... siasa bwana!!
wanaohoji wanaitwa wachochezi... siasa bwana!!
mafisadi wanaitwa waheshimiwa... siasa bwana!!
a failed politician anabandikwa udokta... siasa bwana!!
Nimeamini ujinga hauna ujazo!!

Hivi somo!
kwanini hiyo Nyamongo isingekua hukohuko Canada?
maana hiyo nyamongo ipo bongo lakini bado raia wananyanyasika
MAGAMBA eleweni kwamba Mungu hakuw mjinga kuiweka Nyamongo Tanzania.
 
Back
Top Bottom