Mazingaombwe matokeo Darasa la Saba

Unaweza kuwa na C nyingi na D chache lakini unapokuja kutafuta wastani unapata D... Kwaio sijaona mazingaombwe yoyote hapo
 
Tunakosea tunapoona grades tu hatujui hizo grade zinatokana na marks. Na hizo marks ndo zinatupa average grade.... Kwaio usishangae watu wana grade sawa katika masomo ila wanakuja kutofautiana kwnye average grade
 
formula zinazotumika zimehakikiwa na kukubalika, sio rahisi kihivyo kusema ni mazingaombwe...mnaweza kuwa na grade sawa ila marks tofauti,, mwisho wa majibu ndo hivyo mmoja aliye juu atajulikana..kuwa karibu si sawa na kuwa sawasawa...kama riadha hata ndani ya sekunde kuna tofauti
 
mimi nijuavyo, ukishaamua ku2mia Grade ctegemei kuwa utaanza ku categorize kuwa hii ni C Kubwa, au ni C ndogo,
nafkiri weng hum ha2jui tafsiri ya neno GRADE

Sasa kam ndo hvo kwa nini wasiweke2 alama??? Kumbe hat C zinztofautian, Hapa kweli KAZI TU


Ukienda mashuleni kwa PSLE hua wanatoa RAW SCORE ambazo unaona exactly mwanao alipata ngapi, hebu nenda kaulizie hlo kisha urudi kuongea tena hapa. NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK
 
Tatizo hapo ni alama (marks)) huyo mwenye C inaonekana alama zake zimekaribia sana C au ni juu san lakini mwenye D alama zake zitakua zinakaribia sana D ni za chini
 
BRN semina siku moja kwa saba waliohudhuria sio walimu wa masomo shiiiiiii!! ulipo shika shikilia ukiachia tu atashika mwingine.
 
Hapo nafikiri wamebadilisha kutoka kweny grade kwenda kweny wastani na wakatumia sasa alama za kila mmoja sio daraja tena
 
Back
Top Bottom