matokeo ya darasa la saba yamezingua!! dogo almost kafeli tu!! ENGLISH MEDIUM BURE TU!! AAGGHHH!!

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
19,745
10,078
habari wana jf, mimi ni mgeni humu!

naombeni mnipokee!

pasi na hapo, nimeingia na kilio cha matokeo ya darasa la saba ya mdogo wangu, kasomeshwa shule ya gharama kweli, lakini mwisho wa siku kaambulia grade C. mi hii grade naona tu kama kafeli ukizingatia shule aliyokuwa akisoma ni gharama sana tu!!

jamani wazazi huu ni muda wa kuanza kuwakomalia watoto wetu wasome kwa bidii zote. si la saba, form two, four wala six, ila ili mradi tu yuko shule, mkomalie asome by any means!!!

bora uonekane mbaya na uchukiwe na mwanao for sometime, ila akikua atajua ulichokuwa ukimaanisha!! la sivyo, wengi wataishia kupata division five tu!!!!

ni hayo tu wana jf!
 
  • Hili nalo neno, Wazazi tunapaswa kweli kubadilika, sababu shule ina mchango wake na mzazi pia ana mchango wake kwa mwanafunzi kufaulu vyemakatika masomo yake.
 
Back
Top Bottom