Mawaziri wa JK: Ngeleja na apartment ya $350,000

Mkuu Invisible, heshima mbele. Hivi benki za hapa Bongo hazina utaratibu wa MORGAGE? Unless ithibitishwe kuwa kalipa CASH vinginevyo kuwa Waziri wa JK haina maana marufuku kumiliki property!

Mkuu kakelenda, sisi wazee na wazoefu wa siasa tunajiuliza hawa wanaoutafuata uwaziri kwa kasi hii wana lengo gani

--nimekuwa bungeni for three weeks hili la juzi na haya tumeyasikia sana pale,hii tuhuma imeanzia pale and we all know nani ana-engineer hizi issue for wrong reason..

Mkuu invisible ,Jitahidi kuwa na details kamili kuliko kujiingiza kwenye mkenge wa wana siasa..
 
Mkuu kakelenda, sisi wazee na wazoefu wa siasa tunajiuliza hawa wanaoutafuata uwaziri kwa kasi hii wana lengo gani

--nimekuwa bungeni for three weeks hili la juzi na haya tumeyasikia sana pale,hii tuhuma imeanzia pale and we all know nani ana-engineer hizi issue for wrong reason..

Mkuu invisible ,Jitahidi kuwa na details kamili kuliko kujiingiza kwenye mkenge wa wana siasa..

We huijui jf.
Utakuja mwepesi ila utaondoka mzito!
 
Hivi mambo haya yanapotambuliwa kwa kuchelewa ina maana watu wa "system" Serikali ya Kikwete inawalipa mishahara ya bure?
 
Hiki ndicho kinawafanya Ma-Professor waache madarasa waende kugombea majimboni, inalipa jamani. Hata mimi nafikiria kuingia kwenye Siasa iwapo tuu CCM itaendelea kuwepo Madarakani maana wao ndiyo wanautaratibu mzuri zaidi wa Kimaslahi.

quote_icon.png
By HKigwangalla
Sina matumaini wala mkakati wa kuingia kwenye Baraza la Mawaziri, kwanza huko CCM wenyewe kuna watu wananishambulia na hivyo sitegemei hata kufikiriwa...na pia kuwaunga mkono madaktari kwenye harakati zao kuliniweka sehemu mbaya sana ndani ya CCM, hivyo ninachokisema hapa hakina uhusiano wowote ule na kuutaka Uwaziri maana najua siwezi kupewa na wala sikosi usingizi nikiuota Uwaziri, na kama wakiwa wanaulizaga kabla hawajakupa nitakataa, maana ni shida tupu na sioni kama niko tayari kwa sasa kukumbana na kero hizo. Angalia tu leo hii mimi ni MB tu mnavyonitukana hapa kana kwamba sijui kuna nini kwenye kuwa MB, sina chochote cha ajabu nilichopata kwenye huu Ubunge zaidi ya kujulikana zaidi na kutukanwa...laiti kama mngejua jinsi wabunge wanavyojuta kuwa wabunge msingekuwa mnawalaumu kiasi hiki...wengine tumeingia na wito wa kusaidia tu lakini kila mtu anataka ajifunzie siasa kwenye kumtukana Mb...
Kigwangala anatudanganya hapo kwenye red.
 
Ndiyo maana hakuna wa lumwajibisha mwingine. CCM ni familia ya mapanya, wote ni majizii!
 
gembe nakuomba unyamaze na usirudie kutoa utetezi usioufahamu...hivi kwana nikuulize ngereja na miongo miwili ya ubunge au umeteleza tu katika kundika?........kingine ukihitaji kujua zaid juu ya ngereja au huyo maige uliza na utajulishwa
 
Nimegundua wasukuma wanaongoza kwa ufisadi. Chenge, Maige, Ngeleja, Feleshi, Hosea, Dialo

Mkuu Ulukolokwitanga. Seriously? That's too low.

You can't have such a conclusive statement basing on those crooks.

Hao jamaa ni licha ya kuwa wasukuma na wengine wanyantuzu,hawa-symbolise wasukuma wote. Udhaifu na uwizi wao ni wao tu;hayo ni mapungufu yao wenyewe.

Mimi ni msukuma na wala sio mwizi. I earn my income in honest ways. I know many Sukuma people earning their livelihoods in honest ways too.
Hivyo mkuu umenivunjia heshima yangu na ya wasukuma wote. Tutake radhi.
 
Last edited by a moderator:
We huijui jf.
Utakuja mwepesi ila utaondoka mzito!
Mkuu John..I know JF for so long hata kabla wewe haujaifahamu..been here for ages mkuu..

--i know facts ,najua siasa na nafahamu mbinu za kisiasa ..plus nawajua wanasiasa wengi kwa majina,matendo yao,tabia zao na dhamira yao..

--kuniambia nisuburi zaidi ili nijue..FYI nina details za kutosha kuhusu hili la kisiasa coz nimelifuatilia kwenye background toka dodoma..

--siasa za bongo zipo straight forward mkuu..
 
Daaaaa kaaazi kweli kweli kila kitu ni deal hivi hamjui kuwa defender na gofu za polisi zinapeleka hesabu kwa maboss wao kama daladala?????
 
Kweli Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni.......Siasa=Biashara hii ni zaidi ya Ukimwi!
 
kazi tunayo mbona. tunashukuru mkuu, tafadhali endelea kutujuza na madudu mengine ukikutana nayo. cc tunakusanya hasira tu hapa.
tehee......teheee.........tihii ! Si unajua Jack Chan, kabla hajapiga huanza ...... Haa huu huuaiiii ! Khaa ! Hiyo ndo kukusanya hasira !
 
mkulu si amesema mawaziri wezi watachukuliwa hatua.naomba asimsahau Ngereja japo sijua atawachukulia hatuagani.
 
Latest news ni kwamba amemnunulia mkewe mercedez benz mpyaaaaaa new model.
 
Halafu kuna hamnazo mmoja humu ndani i.e WJM anakandya miiko ya viongozi iliyotajwa ndani ya azimio la arusha sasa matokeo yake ndo haya, yule mzee JK the 1st aliona mbali and he practised what he preached, he did not loot our coffers nor our natural resources but instead he kept for the next generation which is unfortunately plundering it!!
 
Mkuu kakelenda, sisi wazee na wazoefu wa siasa tunajiuliza hawa wanaoutafuata uwaziri kwa kasi hii wana lengo gani

--nimekuwa bungeni for three weeks hili la juzi na haya tumeyasikia sana pale,hii tuhuma imeanzia pale and we all know nani ana-engineer hizi issue for wrong reason..

Mkuu invisible ,Jitahidi kuwa na details kamili kuliko kujiingiza kwenye mkenge wa wana siasa..
Mkuu, Waziri Maige kakiri tuhuma zilizoletwa na zilianzia huko huko unakosema umezisikia. Amekubali kila kitu.

Ngeleja naye atoke na kauli ili asihukumiwe akiwa kimya!
 
Back
Top Bottom