BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
Kweli Tanzania ni kichwa cha chizi sasa, hadi Nchimbi?
Hamko serious jamani, hawezi kuwa na yeye anataka, hilo nakataa
Yaani una mawazo kama mimi Mkuu, huyu jamaa naye eti anagombea Urais!!!! Ni jambo la kushangaza sana wanadhani Urais ni ulelemama hawamuoni Kikwete jinsi anavyovurunda na nchi ikizidi kwenda mrama. Katika Wizara mbali mbali alizowahi kupitia hakuwa na mafanikio yoyote yale kama Kikwete halafu anataka naye kuingia Ikulu!!! Mungu tunusuru nchi yetu.