Mauwa

Rev Happy new year good to see you again ..
0091.gif
0008.gif

Many returns to you ! I'm always here
 
Shoprite mlimani city wanauza bei rahisi sana. Yale ya kona ya st peters huwa wanashikisha, siku ya pili tu yananyauka. Angalia namanga, kwenye mataa there is Dina Florist. Ubebe ubishi wa bei kama wa kilo moja hivi...

Grazie Menzi
 
Kamanda

Kuna jamaa wa valleyspring watakutengenezea na kukufanyia deliveries kabisa, they are good and at a reasonable price... na wanatoa ushauri wa bure
 
Wapendwa wana MMU

Heri ya Mwaka mpya. Jamani naomba mnijuze hapa Dar Mauwa ya Rose naweza Nunua wapi nimpe Mzenji wangu siku ya kuzaliwa kwake wiki ijayo! Walau mwaka Huu nimsurprise!
Mch

Haya mambo umeyaanza lini kamanda??

Na wewe umeshauvaa mkenge wa egoli egoli??

Mie nilidhani utarudi na bonge la jogoo kutoka kule ulikolia new year ili shem na wadau tupate supu???

Very disappointed mura!!

Babu DC!!
 
DC, acha mchungaji aweke surprise mazee... yawezekana keshamaliza machejo yote sasa limebaki la egoli:poa
 
DC, acha mchungaji aweke surprise mazee... yawezekana keshamaliza machejo yote sasa limebaki la egoli:poa

Acha tu kaka,

Enzi zetu kwanza hakukuwa na haya mambo...Ukimpenda mkeo basi siku hiyo unamrushia kitenge cha bei mbaya, kitambaa cha gauni + viatu vipya...

Mhhhh,

Huyu mchungaji sijui ame-mutate lini???

mwanamke wa kileo humdanganyii hivyo...lol!
 
Acha tu kaka,

Enzi zetu kwanza hakukuwa na haya mambo...Ukimpenda mkeo basi siku hiyo unamrushia kitenge cha bei mbaya, kitambaa cha gauni + viatu vipya...

Mhhhh,

Huyu mchungaji sijui ame-mutate lini???

Babu DC!!

kaka siku hizi tena yanatumwa ofisini kukonga nyoyo nyoyo za mahasidi... wengine hadi wanajinunulia kabisaa!!! sasa we chelewa viserengeti boyz vianze kupeleke flowers na lunch boxes

utaishia kucheza second half tu mkuu... wacha mchungaji aji-update operating systems:wacko:
 
kaka siku hizi tena yanatumwa ofisini kukonga nyoyo nyoyo za mahasidi... wengine hadi wanajinunulia kabisaa!!! sasa we chelewa viserengeti boyz vianze kupeleke flowers na lunch boxes

utaishia kucheza second half tu mkuu...
wacha mchungaji aji-update operating systems:wacko:

Kaka,

Kwa umri huu tulionao,...nina hakika kabisa sitanunua maua katika maisha yangu yaliyobaki!!

Kama ni kupigwa bao/kibuti....Hicho kikombe nitakinywea tu bila kinyongo!!

Mie nahangaika na magunia ya mikaa, metenga ya kuku wa kienyeji, vikapu vya matunda ya Lushoto, vitenge vya Waxy n.k!!....Wapi The Boss??

Haya nawaachia wenyewe muendelee tu.....I already played my part!!

Babu DC!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom